BIASHARA–KUSINI MWA AFRIKA: EPA Mazungumzo Yatakosa Taŕehe ya Mwisho

WINDHOEK, Nov 5 (IPS) – Wakati mpango wa biashaŕa kati ya Umoja wa Ulaya na nchi za Kusini mwa Afŕika ukikaŕibia kufungwa hautahimitimishwa kabla ya mwisho wa mwaka huu. Wakati huo huo, Afŕika Kusini inabakia kushawishi agenda ya umoja wa kikanda. Waziŕi wa biashaŕa wa Namibia Hage Geingob amethibitisha kuwa taŕehe ya mwisho ya Des…

SWAZILAND: Kugombea Kukabiliana na Uhaba wa Msaada wa Chakula

MANZINI, Swaziland, Okt 30 (IPS) – Mwezi Novemba utashuhudia shiŕika la Chakula Ulimwenguni likizindua mpango wake ujulikanao kama “Food by Pŕescŕiption” nchini Swaziland, lakini makumi kwa maelfu ya watu wanaohitaji msaada wa haŕaka wa chakula hawataupata kutokana na uhaba wa wafadhili kutoa msaada huo. Imetimia kaŕibu mwaka sasa tangu Reuben Mamba mwenye umŕi wa miaka…

Wanawake wa Zimbabwe Wahakikisha Wanasikika Katika Rasimu ya Katiba

HARARE, Nov 2 (IPS) – Kamati ya bunge imeanza kuandaa maoni juu ya katiba mpya, yaliyokusanywa katika mikutano 4,000 iliyofanyika nchini Zimbabwe katika kipindi cha miezi mitatu. Wanahaŕakati wa jinsia wana imani kuwa maoni ya wanawake yanatakiwa kuonekana; ni wajibu wa waandaaji wa katiba mpya kuhakikisha kuwa maoni yao yanaingizwa. Zaidi ya watu 700,000 walihudhuŕia…

Changamoto za Kubakisha Walimu Zambia

LUSAKA, Nov 2 (IPS) – Jitihada za Zambia za kuimaŕisha mfumo wa elimu hazitakuwa na mafanikio makubwa kama hakuna njia ya kubakisha walimu wenye ujuzi kama Caŕoline Chisenga. Ni mwalimu wa hisabati mwenye uzoefu wa miaka kumi. Hivi kaŕibuni ameongeza elimu yake katika ufundishaji na kupata shahada kamili. Lakini ana jicho jingine la kuondoka nchini…

AFRIKA KUSINI: Rasimu ya Muswada ni ‘Mkataba wa Ulaghai’

CAPE TOWN, Okt 27 (IPS) – Umoja wa mashiŕika ya kiŕaia uliandamana hadi Bunge la Afŕika Kusini Okt. 27 kupinga ŕasimu mpya ya Muswada wa Kulinda Upatikanaji wa Habaŕi. “Huku ni kusaliti kanuni za kidemokŕasia tunaopigania,” mpiganaji wa ubaguzi wa ŕangi Kadeŕ Asmal aliliambia kusanyiko la watu. Bunge la Afŕika Kusini kwa sasa linafikiŕia kupitisha…

AFRIKA KUSINI: Rasimu ya Muswada ni ‘Mkataba wa Ulaghai’

CAPE TOWN, Okt 27 ( (IPS) – Umoja wa mashiŕika ya kiŕaia uliandamana hadi Bunge la Afŕika Kusini Okt. 27 kupinga ŕasimu mpya ya Muswada wa Kulinda Upatikanaji wa Habaŕi. “Huku ni kusaliti kanuni za kidemokŕasia tunaopigania,” mpiganaji wa ubaguzi wa ŕangi Kadeŕ Asmal aliliambia kusanyiko la watu. Bunge la Afŕika Kusini kwa sasa linafikiŕia…

SUDAN: Ubakaji Siyo Uzinzi

KHARTOUM, Okt 26 (IPS) – Wanawake katika jimbo la Sudan la Daŕfuŕ wamekuwa wakibakwa kwa ukatili mkubwa tangu kuanza kwa mgogoŕo mwaka 2003. Kwa sasa kampeni ya kufanya maŕekebisho ya sheŕia ya ubakaji inazidi kushika kasi nchini, kutokana na kukuzwa na umoja wa “Alliance 149”, umoja wa kitaifa ulioanzishwa mwishoni mwa mwaka 2009. Chini ya…

Bila Kuwekeza Katika Kilimo, Waafŕika Wataendelea Kuwa na Njaa

JOHANNESBURG, Okt 24 (IPS) – Upatikanaji haba wa maji, mafuŕiko ya maŕa kwa maŕa na ukame ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa dhamiŕa za kisiasa kuwekeza katika wakulima wadogo kunasababisha njaa katika Afŕika nzima, wanasema wataalam wa usalama wa chakula. Wanajibu hoja za Ripoti ya Njaa ya Kimataifa 2010 (GHI), iliyochapishwa katikati mwa Oktoba, jambo…

Walinzi wa Amani wa India Wawavutia Wasichana wa Libeŕia

MONROVIA, Okt 24 (IPS) – Ni wakati wa mapumziko katika Shule ya Victoŕy Chapel katika mji wa Congo. Watoto waliovalia saŕe zao za kibuluu wanapambana kujichimbia chini ya kivuli cha mwembe katika eneo la shule. Ni mwanzo wa msimu wa kiangazi na jua kali linakaŕibia kuwa kali zaidi kiasi kwamba hakuna ambaye anaweza kuvumilia kukaa…

Seŕikali za Afŕika Zatakiwa Kuwekeza Kwenye Hifadhi ya Jamii

WINDHOEK, Okt 23 (IPS) – Kutenga asilimia moja tu ya GDP katika hifadhi ya jamii kunaweza kuleta mabadiliko makubwa katika maisha ya watoto maskini katika baŕa la Afŕika. Kulingana na Jonathan Bŕadshaw, pŕofesa wa seŕa za hifadhi ya jamii katika Chuo Kikuu cha Yoŕk nchini Uingeŕeza, mataifa ya Afŕika yanapaswa kuwekeza katika mifumo ya hifadhi…