RIFT VALLEY, Kenya, Sept 14, 2011 (IPS) – Kambi ya Mawingu ya watu walioyahama makazi yao walioathiŕika na ghasia za baada ya uchaguzi nchini Kenya mwaka 2007–2008 ni eneo lililojitenga. Ikiwa katika Bonde la Ufa, kambi hiyo ni mkusanyiko wa mahema yaliyochakaa, kuchanika na kuoza. Ukiachana na watoto 120 waliokusanyika katika kichumba kimoja wakati wakijifunza…