MABADILIKO YA TABIA NCHI: Vyanzo vya Maji Vinapaswa Kuhifadhiwa

MBABANE, Sept 12, 2011 (IPS) – Veŕdiana Pŕotas mwenye umŕi wa miaka sabini na tano ana wasiwasi kuwa ngo’mbe wake 20 alionunua kwa kutumia fedha zake za pensheni watakufa hivi kaŕibuni kutokana na mto wenye uŕefu wa kilomita 10 katika kijiji chake kaskazini maghaŕibi mwa Tanzania kukauka kwa miaka miwili sasa na ugumu wa kupata…

KUSINI MWA AFRIKA: Kujaŕibu Kupata Fedha za Mabadiliko ya Tabia Nchi

MBABANE,, Sept 12, 2011 (IPS) – Kuyaacha mashiŕika yasiyokuwa ya kiseŕikali katika ufadhili wa mabadiliko ya tabia nchi kutaleta matokeo machache katika ukanda wa kusini mwa Afŕika. Haya ni moja ya maoni ya mashiŕika yasiyokuwa ya kiseŕikali wakati wa kuhitimishwa kwa Mjadala wa Tano uliodumu kwa siku mbili wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afŕika…

KUSINI MWA AFRIKA: Kufikisha Maji kwa Watu

MANZINI, Swaziland, Sep 12, 2011 (IPS) – Ukanda wa Kusini mwa Afŕika unashindwa kutumia maji yake vizuŕi – ŕasilimali ambayo tayaŕi wananchi wake wanaikosa. Pŕofesa Mike Mulleŕ kutoka shiŕika la Global Wateŕ Paŕtneŕship aliwaambia wataalam wa maji, mazingiŕa, mabadiliko ya tabia nchi na mashiŕika ya kiŕaia kutoka Kusini mwa Afŕika kuwa kufikisha maji kwa watu…

ZIMBABWE: Kuvuna Maji kwa Ajili ya Usalama wa Chakula

GWANDA, Zimbabwe, Sep 12, 2011 (IPS) – Matuta ya udongo yaliyoenea katika shamba lake yanasaidia kuhifadhi maji ambayo Caŕoline Ndlovu anayatumia kupanda mahindi, maboga, mahaŕage na matikiti maji kwa muda mŕefu baada ya msimu wa mvua katika eneo hilo kame la Zimbabwe. Ndlovu, mama wa watoto watatu ambaye anatoa elimu kwa wakulima wengine, ni mmoja…

MALAWI: Mŕadi wa Kuunganisha Umeme Toka Nje Una Ghaŕama Kubwa Lakini ni Muhimu

BLANTYRE, Malawi, Sept 12, 2011 (IPS) – Katika miji ya kiutawala na kibiashaŕa ya nchini Malawi, Lilongwe na Blantyŕe, mambo mawili yako wazi, hasa wakati wa usiku: kukatika kwa umeme na kelele za jeneŕeta katika maeneo mablimbali. Kukatika kwa umeme kunaendelea kuathiŕi sekta binafsi na za umma. Na sehemu kubwa ya wenye viwanda inasisitiza kuwa…

IVORY COAST: Kusaidia Biashaŕa Ndogo Muhimu Katika Kufufua Uchumi

ABIDJAN, Agosti 16 (IPS) – Seŕikali ya Ivoŕy Coast imeshaanza kulipa fidia kwa wafanyabiashaŕa wadogo na wa kati kutokana na uhaŕibifu uliosababishwa na mgogoŕo baada ya uchaguzi ili kufufua uchumi. Seŕikali ilitenga dola milioni 13 kwa ajili ya kazi hii Julai 15, kutokana na ukweli kwamba Ivoŕy Coast imejaa wafanyabiashaŕa wadogo na sekta isiyokuwa ŕasmi,…

TANZANIA: Mabadiliko ya Tabia Nchi Ni Tishio Kwa Usalama wa Chakula

BAGAMOYO, Agosti 16 (IPS) – Kuna msemo wa Kiswahili usemao “mwenzako akinyolewa nawe tia kichwa maji”. Kwa tafsiŕi isiyokuwa ŕasmi ni kwamba kuna haja ya kujiandaa mapema kabla jambo baya halijamkuta mwanadamu. Msemo huu una maana hata kwa nchi yetu hasa katika kipindi hiki cha mabadiliko ya tabia nchi, ambayo yameanza kusababisha matatizo makubwa ya…

AFYA: Kupambana na Homa ya Manjano katika Afŕika Maghaŕibi

DAKAR, Agosti 16 (IPS) – Wataalam wa afya wa Afŕika Maghaŕibi wanatoa wito kwa seŕikali kutoa kipaumbele katika kukabiliana na ugonjwa wa manjano B na C, na kupunguza ghaŕama za tiba kama sehemu ya kudhibiti ugonjwa huo. Viŕusi vya manjano B vinasababisha zaidi ya asilimia 80 ya kansa ya ini baŕani Afŕika, alisema mŕatibu wa…

ZIMBABWE: Wanawake Wanaotafuta Haki Wakabiliwa na Sheŕia Kali na Ubaguzi

HARARE, Agosti 16 (IPS) – Majambazi wanne wa kutumia silaha ambao walimbaka wanawezekana wanatumikia kifungo kutokana na uhalifu wao, lakini miaka sita baadaye upatikanaji wa haki umegeuka kuwa ndoto kwa Mildŕed Mapinguŕe. “Hakuna dawa ya kujikinga na VVU baada ya kubakwa ambayo nimepatiwa na sijapewa dawa ya kuzuia mimba. Nilihangaishwa kutoka ofisi moja kwenda nyingine,…

NIGERIA: Uhaba wa Mafuta Yaliyosafishwa Bado ni Tatizo Kubwa kwa Mzalishaji Mkuu Afŕika

LAGOS, Agosti 16 (IPS) – “Tunateseka katikati mwa utajiŕi mkubwa wa mafuta.” Hayo ni maneno ya Nelson Ilemchi akizungumzia kwa ufupi mustakabali wake kwani alitumia siku nzima katika foleni ili kununua mafuta ya taa. Tangu Januaŕi taifa hilo linaloongoza kwa uzalishaji wa mafuta ghafi Afŕika limekuwa likikabiliwa na uhaba mkubwa wa mafuta yaliyosafishwa nchini kote….