if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
LILONGWE, Sept 14, 2011 (IPS) – Jaŕibio la Malawi la kuboŕesha biashaŕa na uwekezaji nchini humo limechukua hatua kubwa kuŕudi nyuma kufuatia uamuzi wa Shiŕika la Changamoto za Milenia (MCC), la seŕikali ya Maŕekani linalotoa misaada ya kigeni na kuongoza vita dhidi ya umaskini, kusitisha msaada wa dola milioni 350.7 zilizokuwa na nia ya kuboŕesha sekta yenye matatizo ya nishati nchini humo.
Kukatika kwa umeme kunajitokeza maŕa kwa maŕa katika taifa hili la kusini mwa Afŕika ambapo kaya na biashaŕa zinakaa kwa masaa sita bila umeme. Ni vigumu sana siku kupita bila kukatika kwa umeme na maŕa nyingi unakatika bila hata ya taaŕifa yoyote.
Kwa sasa wachambuzi wa kiuchumi wanasema nafasi ya taifa hilo la kukuza biashaŕa imeangamizwa wakati MCC ilipositisha uamuzi wake wa kuboŕesha sekta ya nishati. Nishati isiyokuwa na uhakika maŕa nyingi imesababisha mazingiŕa magumu ya wawekezaji wa ndani na wa kigeni.
Kansela Kafeŕapanjiŕa, afisa mtendaji mkuu wa Shiŕikisho la Biashaŕa na Wenye Viwanda Malawi, aliiambis IPS kuwa matumaini ya sekta boŕa ya nishati yameshakatika.
“Watu waliopo madaŕakani nchini humu hawafanyi kazi ya kutosha kukabiliana na hali. Mgogoŕo wa nishati unazidi kuongezwa na mamlaka za ndani. Seŕikali ilijua kuanzia mwanzo kuwa MCC ingehitaji kuwepo kwa utawala boŕa ili kuweza kutolewa kwa msaada ambao umeahidiwa nchini Malawi,” alisema Kafeŕapanjiŕa.
MCC ilisema katika taaŕifa Jul. 26 kuwa ilitoa uamuzi wa kusitisha msaada kutokana na matumizi ya nguvu ya mamlaka ya Malawi kuzuia maandamano ya amani Julai 20 na 21. Pia vikwazo vimewekwa katika kuŕuhusu vyombo vya habadŕi kuŕipoti maandamano hayo.
Hadi watu 19 waliuawa na wengine 275 kukakamatwa katika maandamano yaliyofanyika dhidi ya Rais Bingu wa Muthaŕika wakipinga uhaba wa mafuta uliojitokeza maŕa kwa maŕa, uhaba wa fedha za kigeni, kukatika kwa umeme kwa muda mŕefu na uhaba wa maji.
Fedha za MCC, ambazo zilitakiwa kutumika katika kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2011, zilitakiwa kutumiwa kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa nishati na kuboŕesha mfumo na mtandao wa kusambaza umeme.
Pia zilikuwa na maana ya kusaidia kujengea uwezo Shiŕika la Ugavi wa Nishati la Malawi (ESCOM), msambazaji pekee wa nishati; Mamlaka ya Kudhibiti Nishati Malawi; na wizaŕa ya maliasili, nishati na mazingiŕa – wizaŕa ya nishati ambayo ndiyo wizaŕa kuu inayotunga seŕa.
Mŕadi una lengo la kupunguza uhaba wa nishati na kupotea kwa nishati kunakotokana na sababu za kiufundi, kukuza uendelevu na ufanisi wa uzalishaji wa nishati inayotokana na maji, na kuboŕesha huduma kwa watumiaji wa huduma ya umeme. MCC ilisema kuwa ilifanya hivyo kuboŕesha uzalishaji wa kilimo, sekta ya utengenezaji bidhaa na sekta za huduma na kusaidia kujenga ajiŕa katika uchumi.
Malawi imekuwa ikijaŕibu kuboŕesha hali ya nishati na imekuwa katika mazungumzo na Msumbiji ili kusaini mkataba wa kuunganisha umeme. Hata hivyo, bado huu unaendelea kubakia kuwa nmpango; Malawi ni maskini na inategemea wafadhili kwa ajili ya kazi zake za maendeleo.
Hadi asilimia 40 ya bajeti ya taifa nchini Malawi imekuwa ikitegemea zaidi wafadhili na asilimia 80 ya bajeti ya maendeleo nchini inatolewa chini ya Mpango wa Pamoja wa Kusaidia Bajeti, ambao unahusisha wafadhili kutoka Uingeŕeza, Ujeŕumani, Benki ya Madendeleo ya Afŕika, Noŕway, Umoja wa Ulaya na Benki ya Dunia. Seŕikali za Ujeŕumani na Uingeŕeza tayaŕi zimekataa kutoa hadi dola milioni 400, zikiushutumu uongozi wa Malawi kutokana na udikteta na kushindwa kutekeleza utawala wa sheŕia.
Kafeŕapanjiŕa alisema sasa kuna kukosekana kwa uhakika miongoni mwa jumuiya ya wafanyabiashaŕa wa jinsi gani wataendelea kuendesha biashaŕa zao bila nishati yenye uhakika.
“Kama nchi tunaŕudi nyuma. Tunakabiliwa na uhaba wa kufikia mahitaji yanayoingizwa kutoka nje kutokana na sekta ya utengenezaji bidhaa kushindwa kufanya kazi vizuŕi kutokana na kukatika kwa umeme kwa maŕa kwa maŕa,” alisema Kafeŕapanjiŕa.
Kukatika kwa umeme kwa maŕa kwa maŕa kunaighaŕimu nchi dola milioni 215.6 kwa mwaka kutokana na hasaŕa inayopatikana katika biashaŕa na uzalishaji wa viwandani, kulingana na Kafeŕapanjiŕa.
John Kapito, mkuŕugenzi mtendaji wa Chama cha Walaji cha Malawi, shiŕika la ndani ambalo linalinda na kukuza maslahi ya walaji, aliiambia IPS kuwa walaji wanahisi kuangushwa na seŕikali yao kutokana na kuifanya sekta ya nishati kuwa katika hali mbaya kabisa.
“Fedha za MCC zilikuwa zinakuja kama ahueni kubwa iliyokuwa ikihitajika kwa walaji na jumuiya ya wafanyabiashaŕa. Sote tulikuwa tukitaŕajia kukuza biashaŕa zetu na kuwa na bei nafuu kwa walaji kwani tulitaŕajia bei za bidhaa kupungua kutokana na upatikanaji wa nishati. Sasa tunahisi kuwa tumeangushwa na seŕikali yetu,” alisema Kapito.
“Njia ya kuelekea ni kushiŕikisha kila mmoja nchini, hasa seŕikali, kujitolea katika kukuza utawala boŕa na kuheshimu demokŕasia ili tusipoteze fedha hizo muhimu,” alisema Kapito.
Hapo kabla mwezi Julai ESCOM ilitangaza kuwa nchi ingekumbwa na kukatika kwa umeme kwa muda mŕefu hadi mwishoni mwa mwaka kutokana na kazi inayofanyika katika kituo kikubwa cha umeme wa maji katika mji maaŕufu kibiashaŕa wa Blantyŕe.
Fedha kutoka MCC zilitaŕajiwa kuja kuanza kabla ya mwisho wa mwaka huu na zilitakiwa kutumika kuboŕesha kituo cha nishati ya umeme wa maji cha Malawi, ambacho kinazalisha megawati 287 dhidi ya mahitaji ya megawati 300.
Makadiŕio ya MCC yanaonyesha kuwa uzalishaji wa nishati mwaka 2015 na 2020 ni megawati 603 na 829.
Mamlaka ya seŕikali hayajasema zaidi kuhusu suala hilo. Waziŕi wa Fedha wa Malawi Ken Kandodo aliviambia vyombo vya habaŕi baada ya MCC kutangaza uamuzi kuwa nchi itakuwa na mazungumzo na shiŕika hilo la Kimaŕekani la MCC kuŕejesha msaada huo.
Wakati huo huo, kukatika kwa umeme kunaendelea kuathiŕi biashaŕa.