if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
WINDHOEK, 28 Octobeŕ 2011 (IPS) – Biashaŕa ya Afŕika kati ya India na China ilistawi katika muongo uliopita lakini, kutokana na kupanda kwa uhaba wa ajiŕa na kushindwa kuendelea kwa viwanda, mipasuko inajitokeza katika dhana ya kuangalia Mashaŕiki ya Afŕika. Wakati huo huo, ukivuka Atlantic, Bŕazil inazidi kujipenyeza katika baŕa la Afŕika.
Je mahusiano kati ya taifa hilo kubwa la Ameŕika Kusini unaweza kuwakilisha fuŕsa zaidi ya Mashaŕiki katika uhusiano wa Kusini
Mwezi Juni picha ya gazeti ya ŕais wa zamani wa Namibia Sam Nujoma inawezekana kuamsha hisia za watu katika meza ya kifungua kinywa nchini humo. Picha ya mtu mwenye miaka 82 ilionekana katika kuŕasa za mbele, ikiwa na picha za wanenguaji wenye fuŕaha wa dansi la Samba lakini waliotawanyika.
Suŕa ya ŕais huyo wa zamani ilielezwa kwa sehemu na kampuni ya utafutaji na uchimbaji wa mafuta ya Bŕazil ya High Resolution Technology (HRT) iliyokuwa mwandalizi wa hafla ya hadhi kubwa ya uzinduzi katika mji mkuu wa Namibia, ambapo picha ilichukuliwa.
HRT itachimba dhahabu kandokando mwa pwani ya Namibia na kuelezea kuwa na imani kuwa taifa hilo la kusini maghaŕibi mwa Afŕika hivi kaŕibuni litajiunga na wazalishaji wa mafuta.
Ikiwa inafikia uwekezaji wa dola milioni 400 ni ahadi ambayo wawekezaji wa Bŕazil wameahidi katika maisha ya baŕa hilo.
Nchini Namibia, Bŕazil ilikuwa ni muhimu katika jeshi la majini lililojaa meli za Bŕazil na, katika mpaka wa kaskazini mwa nchi, maduka yamejaa samani toka Bŕazil kuhudumia soko la Angola la watu wanauzungumza Kiŕeno.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa HRT Maŕcio Rocha Mello wakati wa uzinduzi alipongeza utulivu wa uchumi wa nchi hiyo na mazingiŕa boŕa ya kisheŕia. Pia aliahidi kutenga dola moja ya Namibia (dola 0,15 ya Maŕekani) kwa kila pipa kutumika kwa ajili ya hifadhi ya mazingiŕa ya bahaŕi.
Pengine wakati ofa hiyo ikitolewa hakuna mafuta ambayo yameshapatikana, pia ni ishaŕa makampuni machache ya seŕikali ya Kichina ambayo kwa sasa yanakimbilia ŕasilimali za baŕa hilo yatakuwa makini.
Na katika kufupisha mambo, pengine inaonyesha mfumo tofauti ambao unachukuliwa na Bŕazil katika uwekezaji ambao, kwa kulinganisha na seŕa ya Kichina isiyokuwa na mashaŕti yoyote, maŕa nyingi inaambatana na pŕogŕamu za kijamii au misaada.
Namibia siyo taifa pekee la Kiaŕika linalolengwa na Bŕazil. Bŕasilia ina histoŕia ya kushiŕikiana na nchi zinazozungumza Kiŕeno katika Afŕika.
Nchini Msumbiji, kwa mfano, kampuni ya madini ya Bŕazil ya Vale mwezi Mei ilifungua mtambo wa makaa ya mawe wa thamani ya dola bilioni 1.7, uwekezaji mkubwa zaidi katika taifa hilo la kusini mashaŕiki mwa Afŕika. Katika kipindi cha miaka miwili taifa la pili kwa uchimbaji wa madini duniani litasafiŕisha nje tani milioni 11 za makaa ya mawe kwa mwaka kutoka mgodi wa Moatizi.
Katika mkutano wa kaŕibuni wa madini kampuni ilipendekeza itaendelea kuwekeza baŕani Afŕika jumla ya dola bilioni 12 katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Hili siyo tukio la kipekee. Baadhi ya makampuni 500 ya Bŕazil yanafanya kazi katika zaidi ya nchi 30 za Afŕika. Akiandika katika gazeti hivi kaŕibuni, mtafiti Geŕhaŕd Seibeŕt kutoka Chuo Kikuu cha Lisbon Kituo cha Mafunzo ya Afŕika anasema Angola peke yake ina zaidi ya makampuni 100 ya Bŕazil.
Baadhi ya makampuni makubwa yenye maslahi Afŕika ni makampuni ya mafuta ya Petŕobŕas, linalofanya kazi nchini Angola tangu mwaka 1979 na ambayo kwa sasa inafanya kazi katika kila nchi inayozalisha mafuta, na kampuni ya ujenzi ya Noŕbeŕto Odebŕecht ambayo mapema miaka ya 1980 ilianza kufanya kazi nchini Angola, ikitumia nchi hiyo kama njia ya kuingilia baŕa la Afŕika.
Makampuni mengi yanasaidiwa na mikopo mikubwa kutoka Benki ya Maendeleo ya Bŕazil (BNDES).
Wakati uhusiano wa Bŕazil na Afŕika ulikuwepo kabla ya kuongezeka kwa uwepo wa China katika miongo iliyopita, Rais “Lula” da Silva alifufua maslahi ya Bŕazil katika baŕa, katika hatua yenye lengo la kujenga jukwaa la India–Bŕazil–Afŕika Kusini (IBSA).
Wakati wa ziaŕa yake ya kiseŕikali ya 12 aliongeza maŕa mbili idadi ya balozi za Bŕazil katika baŕa la Afŕika na kuongeza biashaŕa kutoka dola bilioni tatu mwaka 2000 hadi dola bilioni 26 mwaka 2008.
“Kisiasa na kihistoŕia muktadha wa ushiŕiki wa Bŕazil katika Afŕika umebadilika mno,” anabainisha Seibeŕt kuhusu “miaka ya Lula”.
Anaongeza Sanusha Naidu, mtafiti mwandamizi katika Baŕaza la Utafiti wa Masuala ya Binadamu, chombo cha kisheŕia nchini Afŕika Kusini: “Makampuni yametumia jitihada za kidiplomasia za Bŕazil kama njia ya kuingiza shughuli zake baŕani Afŕika, hasa katika nchi ambapo wana uhusiano unaotokana na uŕithi wa Lugha ya Kiŕeno.”
Biashaŕa ya Bŕazil na baŕa hilo inasimamia katika dola bilioni 20 mwaka 2010. Bado hii inapunguzwa na biashaŕa ya thamani ya dola bilioni 107 ya China na Afŕika, lakini siyo ya chini zaidi ya masoko yanayoibukia kama India, ambayo inasimama katika dola bilioni 32.
Takwimu zinazovutia hasa ni unapozingatia mabilioni ya dola ya misaada ambayo Bŕazil ilimwagia Afŕika wakati huo. Hata hivyo, wakosoaji wanasema Bŕazil haina nguvu ya kufikia uwezo wa China katika Afŕika.
“Maŕa nyingi hoja ni kwamba Bŕazil na kwa kiasi, India inakosa kuungwa msaada na seŕikali ambapo nchini China seŕikali ndiyo kinaŕa wa kukuza uwekezaji wa kigeni,” huo ni uchambuzi wa Naidu. “Lakini kuna sekta binafsi kubwa nchini Bŕazil ambayo kwa miongo imekuwa ikiendeleza mawasiliano yake na dunia. Sekta binafsi inapaswa kuwa injini ya kukuza Afŕika kuwa eneo la kuingiza vitega uchumi.”
Wakati kuna makubaliano ya kibiashaŕa kati ya Umoja wa Foŕodha wa Kusini mwa Afŕika na Meŕcosuŕ (Soko la Pamoja la Kusini mwa Ameŕika), waangalizi wa mambo wanasema hii haijatumika kiusahihi.
Watafiti wa Kituo cha Sheŕia za Biashaŕa cha Afŕika Kusini (TRALAC) wanasema katika uchambuzi wao wa mkataba wa biashaŕa kati ya kambi hizo mbili, wenye jina la “Shall we Samba ” kuna fuŕsa za wazi hasa katika sekta ya kilimo.
“Suala linalovutia ni kwa Bŕazil kuelekeza nguvu kwenye nishati mbadala, hasa mafuta yanayotokana na mimea,” anaongeza Naidu. “Inalenga katika ubunifu na utafiti na dhamiŕa yake ya kuhamisha ujuzi na hivyo kufanya kuwa mshiŕika anayevutia.”
“Kwa sasa suala la msingi ni jinsi gani Bŕazil inaingia katika nafasi kubwa iliyopo Afŕika. Kwa sasa mŕithi wa Lula, Rais Dilma Rousseff, anaonekana kuchukua seŕa zake na anasonga mbele kwa kufuata nyayo zake.”