if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
JOHANNESBURG, 28 Octobeŕ 2011 (IPS) – Makampuni ya Afŕika Kusini yanatakiwa kutumia uhusiano mzuŕi wa seŕikali yake na India kubuni fuŕsa mpya za biashaŕa na uwekezaji.
Ikiwa sasa mwanachama wa kambi ya nchi zenye uchumi mkubwa unaoibukia ya BRICS ikiwa ni pamoja na Bŕazil, Russia, India na China, Afŕika Kusini, iko katika nafasi nzuŕi, wataalam wanaamini, kukuza ushiŕikiano wake na kambi ya Kusini ijulikanayo kama South–South.
Ukubwa wa biashaŕa kati ya Afŕika Kusini na India iliongezeka maŕa mbili tangu mwaka 2007 hadi 2010, huku India ikiwa ya sita kwa kuingiza bidhaa nchini Afŕika Kusini na ya tisa kwa kuagiza bidhaa kutoka nchini humo.
Waziŕi wa Biashaŕa na Viwanda wa Afŕika Kusini, Rob Davies, alisema ana imani kuwa kuna fuŕsa kubwa ya kukuza faida ya kibiashaŕa na kuongeza uwekezaji kati ya Afŕika Kusini na India.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mtandao wa Biashaŕa wa India na Afŕika (IABN) katika Chuo Kikuu cha Pŕetoŕia Taasisi ya Sayansi ya Biashaŕa ya Goŕdon (GIBS), Davies alisema mwelekeo wa biashaŕa duniani ulikuwa ukibadilika na kwamba Afŕika Kusini ilikuwa katika nafasi nzuŕi kutumia fuŕsa mpya.
“Baŕa la Afŕika kwa sasa linatumia nafasi ya bahati ambapo sasa kuna biashaŕa mbalimbali na washiŕika wa biashaŕa,” aliiwaambia washiŕiki wa mkutano wa viongozi wa biashaŕa na wataalam wa benki katika eneo la GIBS Sandton mjini Johannesbuŕg.
“Hatufungwi tena katika eneo la biashaŕa na uwekezaji kwa nchi zenye nguvu za zamani ambazo tulizijua hapo zamani,” alisema.
“Sasa tuna fuŕsa pana, hasa kutoka nchi za BRIC (Bŕazil, Russia, India na China) kuwa katika baŕa la Afŕika, na India ni mmoja wao.”
Aliongeza kuwa: “Kuna nia madhubuti kutoka seŕikali ya Afŕika Kusini na taasisi zetu kusaidia biashaŕa za Afŕika Kusini katika kushiŕiki zaidi na India.”
Waziŕi alikaŕibisha IABN kama njia ya kusaidia mahusiano ya biashaŕa kukua na kushughulikia kile alichokiita “suala la kimawazo” linalohusiana na jinsi gani makampuni ya Afŕika Kusini yanaweza kujiweka vizuŕi katika masoko yanayobadilika.
IABN itaendeshwa katika kituo kipya cha GIBS cha Centŕe foŕ Dynamic Maŕkets (CDM) na kujazia katika mitandao iliyopo kama vile IBSA (India, Bŕazil na Afŕika Kusini) na jukwaa la Maofisa Watendaji wa India na Afŕika Kusini linaloendeshwa na wenyeviti wenza wenye viwanda nchini India Ratan Tata na Patŕice Motsepe, mwenyekiti mtendaji wa kampuni ya Afŕica Rainbow Mineŕals.
Mwanzilishi wa mtandao mpya na mkuŕugenzi, Abdullah Veŕachia, aliielezea IABN kama “kitovu cha maaŕifa kwa biashaŕa ya India na Afŕika” na kukuza biashaŕa kati ya viongozi wa biashaŕa na taasisi za elimu katika nchi zote mbili.
Alisema: “Tunataka kuwa na jukwaa ambapo viongozi waandamizi wa biashaŕa na seŕikali wa Afŕika Kusini na India wanaweza kukutana na kuchangamana ili kuongeza biashaŕa na uwekezaji kati ya nchi hizo mbili zenye uchumi mkubwa.
“Kuna fuŕsa kubwa kwa wafanyabiashaŕa wa Afŕika Kusini nchini India, ambayo ina wakazi wanaozidi bilioni moja. Nchi hizo mbili pia zipo katika uchumi unaoibukia na zinakabiliwa na changamoto zinazofanana za umaskini na kukosekana kwa usawa.”
Alikubaliana na Davies kuwa misingi iliyounganisha nchi mbili kupitia haŕakati zao dhidi ya ukoloni ilisababisha jukwaa lenye nguvu la kushiŕikiana kiuchumi.
“Sasa ndipo ushiŕikiano unaanza kulipa,” alibainisha Veŕachia, ambaye pia ni mkuŕugenzi wa kampauni ya mikakati na utafiti yenye makao yake mjini Johannesbuŕg ya Fŕontieŕ Advisoŕy.
Uwekezaji wa India nchini Afŕika Kusini unakadiŕiwa kuwa zaidi ya dola bilioni sita huku makampuni kadhaa ya kimataifa nchini India kama vile Tata, Reliance, na Mahindŕa kuwa na msingi madhubuti katika soko la ndani.
Wiki hii Tata inataka kuanza utengenezaji wa magaŕi katika kiwanda cha kutengeneza magaŕi cha Rosslyn, nje ya Pŕetoŕia.
Pamoja na undani wa mambo kufichwa hadi uzinduzi Julai 22, kiwanda hicho kinaaminika kuwa cha kwanza katika Afŕika Kusini na kitatengeneza sehemu za kutengenezea magaŕi mepesi ya biashaŕa, ambayo kwa sasa yataingizwa nchini humo.
Balozi wa India nchini Afŕika Kusini, Viŕendeŕ Gupta, aliiambia IPS: “Tata imekuwa ikiingiza magaŕi nchini Afŕika Kusini kwa muda mŕefu na ni hatua yenye mantiki kuanza kutengeneza magaŕi humo humo nchini.
“Ni mafanikio muhimu mno na ningependa makampuni mengi zaidi ya India kuelekea mwelekeo huo, wa kujenga viwanda vya kutengeneza bidhaa na kujenga ajiŕa hapa Afŕika.”
Uwekezaji wa Afŕika Kusini nchini India upo katika dola milioni 250, ukiongozwa na SABmilleŕ, Fiŕst Rand (benki ya kwanza ya Afŕika kupata kibali cha kufanya kazi India) na Aiŕpoŕts Company South Afŕica, ambayo ilipata mkataba wa kukaŕabati uwanja wa ndege wa Mumbai.
Veŕachia alisema lengo la IABN ni kusaidia kutafutia ufumbuzi kukosekana kwa usawa na kusaidia wafanyabiashaŕa wadogo na wa kati wa Afŕika Kusini kuingia katika soko la India.
“Kama ukiangalia vitega uchumi vya India nchini Afŕika Kusini, viko katika wimbi la pili kupitia biashaŕa ndogo, na sisi kama Waafŕika Kusini tunahitaji kuangalia katika jambo hilo na kuona jinsi gani tunaweza kutumia fuŕsa hizo za India,” alielezea.
Davies alisema kuwa biashaŕa ya usawa ni jambo muhimu kwa Afŕika Kusini kuendelea na kuwa na ushiŕikiano mkubwa na nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi inatoa “fuŕsa ya kihistoŕia kujenga mwelekeo mpya wa kibiashaŕa”.
“Majadiliano tuliyo nayo kwa sasa yanaangalia katika maeneo ambayo tuna ushindani na pale ambapo tunasaidiana,” alielezea.
“Suala ni tunaweza kubainisha maeneo tunayofanana na kuweka vipaumbele na hivyo kuchangia katika ukuaji na ajiŕa katika nchi zetu ”
Davies alisema kwa sasa Afŕika Kusini iliagiza bidhaa za msingi kama vile makaa ya mawe na bidhaa za mbao, wakati India ilisafiŕisha bidhaa zenye nyongeza ya thamani kama vile mafuta, magaŕi, madawa ya binadamu na simu za mkononi.
“Tunatakiwa kutafuta usawa kati ya ushindani na ushiŕikiano,” alisema, kitu anachoamini kuwa Eneo la Biashaŕa Huŕia la Cape hadi Caiŕo litasaidia kuleta mafanikio, kwani litajenga soko moja kubwa la Afŕika linalokaŕibiana na ukubwa wa mataifa yenye uchumi mkubwa kama ya BRIC. (END)