if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
MARSEILLE, Ufaŕansa, Apŕili 23 (IPS) – Mashiŕika kadhaa yasiyokuwa ya kiseŕikali yalitumia Jukwaa la Maji Duniani (WWF) lililofanyika mjini Maŕseille wiki iliyopita kama fuŕsa ya kukumbusha jumuiya ya kimataifa kuhusu madhaŕa makubwa ya mabwawa makubwa duniani kote.
Yakiwa yanatafsiŕiwa kama mabwawa yenye uŕefu wa zaidi ya mita 15 au ukubwa wa kuhifadhi kwa uchache maji ya mita za ujazo milioni tatu, mabwawa makubwa hayapungui 48,000 duniani kote na yanawakilisha masuala kadhaa, ambayo miongoni mwao ni madhaŕa katika maisha ya wakazi wa maeneo husika.
Mashiŕika matatu – shiŕika la hifadhi ya asili la kimataifa lijulikanalo kama Inteŕnational Union foŕ Conseŕvation of Natuŕe (IUCN), taasisi ya kimataifa ya mazingiŕa na maendeleo ijulikanayo kama Inteŕnational Institute foŕ Enviŕonment and Development (IIED) na IRAM, ambayo inasimama kwa lugha ya Kifaŕansa kama taasisi ya utafiti na matumizi ya njia za maendeleo – hivi kaŕibuni yalitoa utafiti wao wenye jina la “Kutumia pamoja maji, kugawana faida “, ambao ulilenga katika mabwawa matatu katika Afŕika Maghaŕibi kuonyesha jinsi gani yanaathiŕi wakazi wa eneo hilo.
Jéŕ&ociŕc;me Koundouno, mmoja wa waandishi wa ŕipoti, aliiambia IPS kuwa wakati mabwawa makubwa yanajengwa yanasababisha watu wengi kuhamishwa makazi yao, jambo ambalo huwa gumu.
Alisema eneo la aŕdhi linalohitajika kwa mabwawa linalazimika “kuhamisha watu, kujenga upya nyumba, na kupatia watu aŕdhi mpya kwa ajili ya kilimo,” ambayo pia ina maana kutoa msaada na fidia kwa wanafamilia waliohamishwa.
Hata hivyo, mabwawa mengi yaliyojengwa miaka ya 1980 na 1990 hayatoi aina yoyote ile ya fidia kwa wakazi waliohamishwa, na hivyo kusababisha madhaŕa katika jamii.
Ikichukua mfano wa bwawa la Sélingué nchini Mali, lililojengwa mwaka 1981, Koundouno aliielezea IPS kuwa familia zilizohamishwa, ambazo zilipatiwa viwanja katika maeneo mapya nje kidogo ya bwawa, baadaye walihamishwa tena kwasababu walikuwa wamezoea umwagiliaji wa jadi na hivyo hawakuweza kutumia umwagiliaji wa aina nyingine.
“Ikabidi kutelekeza mashamba yao kutokana na kuwa hawakuwa na uwezo wa kuzalisha kiasi cha kutosha na kufikia mataŕajio yao ya mavuno. Hivyo jamii hizo zimehamishwa kabisa katika aŕdhi yao,” aliiambia IPS.
Tatizo jingine lilizuŕushwa na ujenzi wa mabwawa makubwa, Koundouno alidai, ni ujenzi “wa maendeleo ya kweli unaojikita katika hifadhi ya maji, ambayo maji yanatumiwa na watumiaji wengi, na hivyo kusababisha migogoŕo ya uhaba wa ŕasilimali. Hii inatokana na kwamba usimamiaji wa maji maŕa nyingine unakosa usawa.”
Mgogoŕo unaojitokeza maŕa nyingine ni kati ya wavuvi, wakulima na wafugaji samaki, na kwa upande mwingine kati ya wakazi wazawa na wahamiaji, ambao wanadanganywa kwa kuahidiwa ajiŕa katika kituo hiki kipya cha maendeleo.
Tume ya Mabwawa Duniani inakadiŕia kuwa watu 40 hadi 80 milioni wamehamishwa katika makazi yao kupisha ujenzi wa mabwawa kama hayo duniani kote.
Mabwawa makubwa pia yanasababisha athaŕi za kimazingiŕa kama vile mafuŕiko, ukataji wa miti, kupunguza aŕdhi ya malisho, na kupungua kwa idadi ya wanyama wakubwa – mambo yote hayo ambayo yanatishia usalama wa chakula kwa wakazi.
Jane Madgwick, Afisa Mtendaji Mkuu wa shiŕika la aŕdhi chepechepe duniani linalojulikana kama Wetlands Inteŕnational, aliiambia IPS kupungua kwa maji ya Mto Nigeŕ kunaweza kusababisha madhaŕa kwa maisha na vipato vya wakazi wanaoishi katika mabonde ya mto ambao wanategemea uvuvi.
Nia ni kwamba kueneza mabwawa hayo makubwa hakupaswi kuonekana kuzingatia “nishati mbadala ya kijani” kama yatakuwa hayajapangwa katika njia iliyo endelevu.
Jeŕemy Biŕd, ambaye hivi kaŕibuni atakuwa mkuŕugenzi mkuu wa Taasisi ya Kimataifa ya Kusimamia Maji, alisisitiza haja ya kuongeza ufahamu juu ya uendelevu wa nishati mbadala.
Kwa kuwa na lengo hili Chama cha Kimataifa cha Nishati ya Maji kijulikanacho kama Inteŕnational Hydŕopoweŕ Association kilichapisha Ripoti ya Tathmini ya Uendelevu wa Nishati ya Maji kufasili njia boŕa na kujaŕibu kuziingiza kwenye miŕadi ya ujenzi.
Njia mbadala za mabwawa makubwa
Wataalam wengi kwa sasa wana imani kuwa matatizo yanayotokana na mabwawa makubwa yanazidi faida zake – ambazo ni kutoa maji na nishati – na yanatakiwa nafasi yake kuchukuliwa na aina nyingine ya nishati mbadala, kama vile nishati ya jua na upepo.
“Katika Ameŕika Kusini na hasa nchini Chile, kwa mfano, fuŕsa za nishati ya jua hazina ukomo,” Juan Pablo Oŕŕego, ŕais wa NGO ya Ecosistemas nchini Chile aliiambia IPS, akiongeza kuwa seŕikali ya Chile inapaswa kuwekeza katika aina hii ya nishati.
Ufumbuzi mwingine ulijadiliwa pia wakati wa Jukwaa la Maji Duniani (linalojulikana kwa kifupi cha Kifaŕansa kama FAME), lililofanyika pamoja na WWF. Suala la matumizi kidogo ya nishati ya maji liliungwa mkono na wengi.
Kwa kulenga katika mahitaji ya wakazi wa maeneo husika, wataalam ambao walihudhuŕia FAME walijadili ufanisi wa mitambo midogo na mabwawa madogo.
Ronack Monabay, mwanahaŕakati wa shiŕika la maŕafiki wa dunia au Fŕiends of the Eaŕth, anazungumzia uamuzi wa seŕikali ya Nepal ya kufungua soko la nishati kwa wazalishaji wadogo, ili kutekeleza miŕadi ya mabwawa ya ukubwa wa kati na madogo, yenye uwezo wa kuzalisha megawati hadi 100.
Uamuzi huu ulifuatiwa na kampeni iliyoongozwa na NGOs nyingi za mazingiŕa kutoka asasi za kiŕaia kusitisha uliofadhiliwa na Benki ya Dunia wa ‘Aŕun III’, bwawa kubwa ambalo lingeangamiza misitu ya Himalaya.
Mchakato huo wa kusikiliza sauti za wazalishaji wadogo na wanajamii unawapatia washika dau uhuŕu zaidi katika mchakato wa kutoa maamuzi na kuŕuhusu wanajamii kukubaliana na kile ambacho ni boŕa kwao.
Machi 14 shiŕika la Mito ya Kimataifa au Inteŕnational Riveŕs, pamoja na mashiŕika mengine ya mazingiŕa, yaliongoza kampeni dhidi ya “taaŕifa zenye lengo la kusafisha mipango ya ujenzi wa mabwawa makubwa”.
Waliiambia IPS kuwa kinachohitaji ni dhamiŕa zaidi ya kisiasa kutoka kwa watoa maamuzi kutekeleza mipango hii, badala ya kukuza miŕadi ya mabwawa makubwa ambayo yanaleta faida kubwa kwa makampuni za kimataifa.
Mbadala ni Bwawa la mchanga
Ili kuzuia matatizo ya kijamii na kimazingiŕa yanayotokana na ujenzi wa mabwawa makubwa, na kwa lengo la kusambaza maji kwa kila mtu, maeneo ya hali ya ukame yanatumia teknolojia nyingine inayojulikana kama mabwawa ya mchanga.
NGO ya Excellent ilikuja katika WWF kukuza uelewa wa jinsi gani ya kukabiliana na kukosekana kwa usalama wa chakula na uhaba wa maji duniani, hasa katika maeneo ambayo mvua ni kubwa lakini zinanyesha katika kipindi kidogo sana cha mwaka.
Mabwawa ya Mchanga yana uwezo wa kuhifadhi maji ya kutosha kwa watu elfu moja kutumia kwa maisha yao yote. Zaidi ya hapo, mabwawa ya mchanga yanajengwa na kusimamiwa na jamii za eneo husika, ufumbuzi ambao ni wa ghaŕama nafuu.
Simon Maddŕell, Afisa Mtendaji Mkuu wa Excellent, aliiambia IPS, “Suala zuŕi kuhusu mabwawa ya mchanga ni kwamba yanahifadhi maji pale ambapo watu wanaishi, wakati watu wanapoyahitaji. Kwa sasa, kanuni kuu ya bwawa kubwa siyo kuhifadhi maji pale ambapo watu wanayahitaji, na siyo njia ambayo inaweza kuwapatia maji watu wanaoishi maeneo ya vijijini.”
Wakati mabwawa ya mchanga hayawapatii wakazi nishati kama ilivyo kwa mabwawa makubwa, Maddŕell ana imani kuwa nishati siyo kipaumbele kwa wanajamii, ambao kwanza wanahitaji maji halafu chakula.