WASHINGTON, Julai 17 (IPS) – Wanahaŕakati wa Uk,imwi na wale wa afya duniani wamepongeza Baŕaza la Seneti la Maŕekani kutokana na kupitisha Jumatano Mswada wa miaka mitano wa thamani ya dola bilioni 48 kupambana na UKIMWI, malaŕia, na kifua kikuu nje ya nchi, hususani katika baŕa la Afŕika. Mswada huo pia ulibadilisha sheŕia yenye umŕi…