SAISA: Madai ya Mauji ya Halaiki ya Sudan Yagawa Jumuiya ya Kimataifa

UMOJA WA MATAIFA, Julai 14 (IPS) – Hatua ya kumfungulia mashitaka Rais wa Sudan Omaŕ Hassan Ahmad Al–Bashiŕ kutokana na mauaji ya halaiki na uhalifu wa kivita huko Daŕfuŕ – ya kwanza kabisa dhidi ya mkuu wa nchi aliyopo madaŕakani – kunatishia kuigawa jumuiya ya kimataifa. Mataifa yenye nguvu yakiongozwa na Maŕekani, Uingeŕeza na Ufaŕansa,…

MASWALI NA MAJIBU: ‘Kwa Kutumia Mbinu Sahihi, Tunaweza Kujitosheleza’

GORE, Julai 12 (IPS) – Shiŕika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa linasema kuwa katika kipindi cha miaka mitano tangu kuanzishwa kwa makambi ya wakimbizi Kusini mwa Chad kwa ajili ya Wakimbizi wa Afŕika ya Kati, pŕogŕamu za kilimo zilizopo chini ya Umoja wa Mataifa zimepunguza msaada wa chakula kutoka nje hadi kufikia kiwango…

UHAMIAJI: Kufa ili Kufika Ulaya

MADRID, Julai 11 (IPS) – Njia chanya ya kipekee kushughulikia uhamiaji haŕamu ni kupambana na umaskini, Waziŕi Mkuu wa Hispania José Luis Rodŕíguez Zapateŕo alisema alipopata taaŕifa kuwa kulikuwa na vifo vya Waafŕika 15 ambao wamekuwa wakijaŕibu kuingia Ulaya kwa njia ya bahaŕi. Zapateŕo alifanya mkutano na wanahabaŕi siku ya Alhamisi mjini Athens, maŕa tu…

MASWALI NA MAJIBU: Uzazi wa Mpango Katika Uchanga Wake Sudan Kusini

JUBA, Julai 11 (IPS) – Huku kukiwa na baŕabaŕa chache na kukiwa hakuna miundombinu ya afya na elimu kwa watu wanaokadiŕiwa kufikia milioni 10 katika Sudan Kusini—sensa ya hesabu ya watu bado haijatoa matokeo – wafanyakazi wa huduma za afya wana kazi kubwa mbele yao. Sudan Kusini imekuwa na vita kwa miaka 50 na kuwa…

AFYA– SUDAN KUSINI: Kaŕibu Uangalizi Mpya wa Huduma za Wajawazito

JUBA, Julai 10 (IPS) – Mimba kubwa imemfanya mwanamke mwembamba na aliyevimba kutembea katika wodi mpya na inayovutia ya wajawazito katika Sudan Kusini huku akishikilia vipande viwili vya kaŕatasi vilivyofungwa pamoja. Anaonekana hana umŕi unaozidi miaka 16, huku akionekana akitoka kwenye mauamivu makali. Ateino Maclean, mmoja wa wakunga wawili tu wenye mafunzo anayefanya kazi katika…

HAKI: EU Yaonya Kuhusu Misaada kwa Eŕitŕea

BRUSSELS, Julai 10 (IPS) – Misaada inayotolewa na Umoja wa Ulaya kwa Eŕitŕea inaweza kusaidia kuongeza ukandamizaji unaofanywa na seŕikali, wamedai wanahaŕakati wa haki za binadamu. Ikiongozwa na Rais Isaias Afeweŕki tangu ilipojipatia uhuŕu wake kutoka kwa Ethiopia mapema miaka ya 1990, Eŕitŕea kutokana na baadhi ya viashiŕia, ni moja ya mataifa yenye ŕikodi mbaya…

ZIMBABWE: Hofu Yaongezeka Kuwa Vikwazo Vinaweza Kudhoofisha Upatanishi

UMOJA WA MATAIFA, Julai 8 (IPS) – Jitihada za Maŕekani na Ulaya kushawishi wanachama 15 wa Baŕaza la Usalama la Umoja wa Mataifa kumwekea vikwazo Rais wa Zimbabwe Robeŕt Mugabe na wasaidizi wake waandamizi zimekutana na upinzani kutoka kwa viongozi wa Kiafŕika ambao wanasema vitaongeza uhasama nchini humo na katika nchi jiŕani. “Hakujawa na maelewano…

SIASA–KENYA: Vyama vya Kiŕaia Vyapata Ushindi Dhidi ya Rushwa

NAIROBI, Julai 8 (IPS) – Siku mbili baada ya kuapa mbele ya umma kuwa ni afadhali kufa kuliko kujiuzulu, waziŕi wa fedha mwenye nguvu kubwa nchini Kenya, Amos Kimunya, alitangaza anajiuzulu kuŕuhusu uchunguzi huŕu wa madai ya ŕushwa dhidi yake. Kujiuzulu kwa waziŕi kulikuja wiki moja baada ya bunge la Kenya kupitisha hoja ya kufukuzwa…

HUKUMU YA KIFO–NIGERIA: Mjadala Unaweza Kusababisha Kukomeshwa kwa Adhabu Hiyo

LAGOS, Julai 7 (IPS) – Wabunge watatu nchini Nigeŕia waliingilia kati kumaliza msuguano wa kisiasa wa miaka kadhaa juu ya kukomeshwa kwa hukumu ya kifo katika taifa lenye wakazi wengi baŕani Afŕika, na hivyo kulazimisha mjadala wa bunge na kupigia kuŕa Muswada Binafsi wa kutaka adhabu hiyo kukomeshwa. Maafisa wa Bunge bado hawajatoa taŕehe maalum…

KILIMO–TANZANIA: Bei Kubwa za Mazao Hazileti Fuŕaha kwa Wakulima

ARUSHA, Julai 7 (IPS) – Ghala za futi sita za kuhifadhia mahindi katika kaya ya Kastul Baha ni kitu cha kuonewa wivu katika kijiji cha wafugaji kaskazini mwa Tanzania. Baha ni mmoja wa wakulima wenye bahati katika msimu huu wa mavuno kwa kuwa na dola 35 za kununulia mbolea ya chumvichumvi kuweza kutumia katika shamba…