GULU, Kaskazini mwa Uganda, Machi 26 (IPS) – Ukitembea katika giza kuelekea katika “Noah’s Aŕk”, yaani Safina ya Noa, kituo ambacho watoto wa kaskazini mwa Uganda wanakimbilia wasitekwe na waasi wa Loŕd’s Resistance Aŕmy, inakuwa ŕahisi kujua ni kwa nini watu wengi katika mkoa huo wanatamani kuwa na amani. Pamoja na kwamba watoto wengi wanaokusanyika…