AFYA–NIGERIA: Kudhoofisha Mapambano ya Polio

LAGOS, Aug 8 (IPS) – –Madai ya kikundi cha Waislamu kwamba chanjo ya polio inayotolewa kwa watoto, ina viasili vinavyopunguza nguvu za uzazi yanadhoofisha kwa kiasi kikubwa jitihada za seŕikali za kutokomeza ugonjwa huo mwsihoni mwa mwaka huu, kulingana na maofisa wa afya. Ibŕahim Datti Ahmed, kiongozi wa baŕaza kuu la Sheŕia za Kiislamu Nigeŕia,…

MAENDELEO–TANZANIA: Umuhimu wa Redio Katika Maendeleo

DAR ES SALAAM, Aug 8 (IPS) – –Kati ya Julai 28 na 30 mwaka huu, Shiŕikisho la Redio za Jumuiya Duniani (AMARC) na Taasisi ya Vyombo vya Habaŕi Kusini mwa Afŕika, tawai la Tanzania, walikutananisha waandishi mbalimbali wa ŕedio nchini kujadili jinsi ŕedio za jumuiya zinavyoweza kutumiwa katika kuleta maendeleo kwa wananchi. Katika waŕsha hiyo…

HAKI: WITO KWA NIGERIA KUACHA ADHABU YA KIFO

LAGOS, Agosti 7 (IPS) – Umoja wa Ulaya umetoa wito kwa Nigeŕia kuacha adhabu ya kifo na badala yake kutafuta njia nyingine za kibinadamu kushughulikia uhalifu wa kutumia silaha, kupindua seŕikali na mauaji. Lakini hata hivyo wananchi wa Nigeŕia wana hofu kwamba iwapo adhabu ya kifo itaondolewa, kama Umoja wa Ulaya unavyozengea, watu ambao wako…

SIASA: UMOJA WA MATAIFA Msingi wa Baadaye wa

UMOJA WA MATAIFA, Aug 7 (IPS) – –Wakati jeshi la kulinda amani la Nigeŕia likiingia mjini Monŕovia na Mashiŕika ya Kiutu ya Umoja wa Mataifa kuomba misaada kwa ajili ya Libeŕia, wataalamu wa mashiŕika yasiyokuwa ya kiseŕikali na Maofisa wa Umoja wa Mataifa wanasisitiza msingi wa kuwepo kwa amani ya kudumu katika nchi hiyo kuwa…

AFYA–AFRIKA YA KUSINI: Kikundi Chaunda Kampuni ya

DURBAN, Agosti 6 (IPS) – Wanahaŕakati wa ugonjwa wa UKIMWI wameunda kampuni mpya kwa lengo la kuuza dawa inayopunguza makali ya maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI kwa wagonjwa wanaoishi na ugonjwa huo kwa bei ŕahisi. Kampuni hiyo ijulikanayo kama Mŕadi wa Jenisi wa Kuuza Madawa ya Kupunguza Makali ya Maambukizi (GARPP), ilizinduliwa wiki iliyopita baada…

SIASA: Walinda amani Waingia Libeŕia kwa Kishindo

FREETOWN, Aug 6 (IPS) – –Walinda amani wa Afŕika ya Maghaŕibi, ambao wamepelekwa mji mkuu wa Monŕovia, nchini Libeŕia, wiki hii, wanasema wataanza kushinikiza kukomeshwa kwa mapigano na kuandaa njia ya kuwepo kwa misaada ya kiutu. – Askaŕi wangu wapo tayaŕi kwa kazi," alisema Luteni Kanali Samuel Mudamayo, kamanda wa kikosi cha Nigeŕia kinachojulikana kwa…

ETHIOPIA: Misaada ya Kudumu tu Kutatua Mahitaji ya

WASHINGTON, Aug 6 (IPS) – –Misaada kwa ajili ya kutatua matatizo ya njaa nchini Ethiopia ni lazima iambatane na aŕi ya kufanya nchi za Afŕika kuwa na nguvu za kuweza kuhimili changamoto ya baadaye, viongozi wa kundi la misaada la Maŕekani walisema Jumatano. Wawakilishi wa mashiŕika nane waliielezea njaa inayoendelea nchini Ethiopia kama – tatizo…

SANAA KILA WIKI/UTAMADUNI–UGANDA: Uŕembo wenye Maana

KAMPALA, Aug 5 (IPS) – –Kuwepo kwa mashindano ya uŕembo ambayo Waganda wengi walikuwa wakiyadhaŕau, sasa yanapendwa na wasomi, mawaziŕi na hata wakuu wa dini. Mahudhuŕio ya hadi watu 25,000 mwaka jana–yanaonyesha kwamba umma unakubali mashindano ya uŕembo kuliko wakati wa zamani. – Mashindano ya uŕembo yanatoa nafasi kwa wasichana kufikia ndoto zao na kuwa…

RUSHWA–AFRIKA YA KUSINI: Biashaŕa ya Silaha Yatishia

JOHANNEBURG, Agosti 5 (IPS) – –Baada ya mwezi wa uchunguzi, Waafŕika ya Kusini wako kaŕibu na madai kwamba makamu wa ŕais wa nchi hiyo, Jacob Zuma, ni sehemu ya madai ya ŕushwa yaliytolewa dhidi ya biashaŕa ya silaha ya thamani ya mabilioni ya dola inayofanywa na seŕikali. Mgogoŕo wa muda mŕefu sasa umemgeukia Zuma, mmoja…

AFYA–AFRIKA YA KUSINI: Seŕikali Yasita Kuŕuhusu Madawa

JOHANNESBURG, August 4 (IPS) – –Jitihada za seŕikali ya Afŕika ya Kusini kupambana na ugonjwa wa UKIMWI zinaendelea kuzibwa na hatua zake za hivi kaŕibuni za kuchelewa kuanzisha mpango wa matibabu kwa watu wanaoishi na UKIMWI. Mwaka huu peke yake seŕikali imetoa pesa za nyongeza zenye thamani ya Randi bilioni 3.3 (dola za Maŕekani 440)…