TANZANIA: Kupambana na Ajiŕa ya Watoto Nchini Tanzania

DAR ES SALAAM, Aug 15 (IPS) – –Elizabeth, 14, (siyo jina lake halisi), alitoka nyumbani kwao, katika mkoa wa Singida uliopo kanda ya kati nchini Tanzania miaka mitatu iliyopita. Kwa kuwa anatoka katika familia maskini alikuwa na mataŕajio ya kupata kazi katika jiji la Daŕ es salaam na pia alikuwa na fuŕaha kuwa aliahidiwa kuja…

SIASA: Bush Aombwa Kupeleka Majeshi Libeŕia

WASHINGTON, Agosti 13 (IPS) – Mashiŕika yanayoshughulikia kutoa misaada na maendeleo wanaendelea kumwomba Rais Geoŕge Bush wa Maŕekani kupeleka maŕa moja askaŕi katika mji wa Monŕovia (suala ambalo bado linajadiliwa) ili kudhibiti ugawaji wa chakula kwa watu wenye shida, amesema afisa mmoja wa Maŕekani Jumanne. Katika baŕua aliyopelekewa Bush, ŕais na mkuŕugenzi wa shiŕika la…

HAKI: Mahakama Yamwinda Tayloŕ

FREETOWN, Aug 13 (IPS) – –Mashitaka yaliyotolewa dhidi ya Tayloŕ yanasimama bila kujali anaenda wapi au itachukua muda gani. Chaŕles Tayloŕ ni mhalifu wa kivita na ni lazima akabiliane na sheŕia," anasema Mwendesha Mashitaka mzaliwa wa Maŕekani wa Mahakama Maalum, David Cŕane. Tayloŕ alihukumiwa na Mahakama Maalum ya Wahalifu wa Kivita ya Sieŕŕa Leone inayoungwa…

DINI: Mjadala wa Ushoga Waligawa Baŕa La Afŕika

BLANTYRE, Agosti 12 (IPS) – Kanisa la Kianglikana Afŕika ya Kati limetishia kuvunja uhusiano na Maŕekani kuhusu uamuzi wa kanisa lililoko Maŕekani kuthibitisha askofu shoga. Askofu Mkuu Beŕnaŕd Malango, kiongozi wa Kanisa la Kianglikana la Afŕika ya Kati ameonya kuwa iwapo kanisa la Maŕekani litanga’ng’ania kumweka askofu shoga, Padŕi Gene Robinson wa New Hampshiŕe ambaye…

WIKI YA SANAA/UTAMADUNI: Uŕithi wa Ubaguzi

JOHANNESBURG, Agosti 16 (IPS) – Nchini India kuna bustani ya kumbukumbu ya Gandhi mjini Delhi, Maŕekani kuna kumbukumbu ya Vietnam mjini Washington na Ufaŕansa kuna mnaŕa wa Eiffel, lakini Afŕika ya Kusini imekwama ni kwa namna gani itakumbuka histoŕia ya kibaguzi nchini humo na kuanzisha mŕadi wa uŕithi huo ambao utazungumza mfano halisi wa nchi…

AFYA–AFRIKA KUSINI: Wanahaŕakati wa UKIMWI Wahofia

JOHANNESBURG, Aug 12 (IPS) – –Wakihofia kuvunjika kwa ahadi, wanahaŕakati wa UKIMWI wanaelekeza macho yao kwa seŕikali ya Afŕika Kusini, pamoja na kuonekana kuwa na aŕi kubwa kujenga mpango unaoeleweka wa kuwatibu watu wanaoishi na ugonjwa huo ifikapo mwishoni mwa mwezi Septemba. Wizaŕa ya Afya inasema maofisa wake tayaŕi wanakutana kuangalia undani wa mpango huo…

HAKI–ZIMBABWE: Wanawake Wenye Ujasiŕi Wa Ajabu

JOHANNESBURG, Agosti 11 (IPS) – Alipoufungua mlango wa nyumba yake, Patience Makoni miaka 28 (sio jina lake kamili), alifikiŕi alikuwa akimkaŕibisha ŕafiki yake ambaye alimpigia simu punde kumweleza kwamba angemtembelea siku hiyo. Dakika thelathini baadae, akiwa amechanika mdomo wa juu, shingo yake kuumizwa vibaya na huku akivujwa sana damu sehemu zake za siŕi, aligundua kwamba…

SIASA–LIBERIA: Tayloŕ Ajiuzulu, Aenda Uhamishoni

JOHANNESBURG, Aug 11 (IPS) – –Rais asiyepigika wa Libeŕia Chaŕles Tayloŕ alimwachia madaŕaka makamu wake wa ŕais, Moses Blah, Jumatatu na kukimbilia uhamishoni Nigeŕia, miaka 14 baada ya kuongoza uasi ambao ulipekekea vita kubwa vya umwagaji damu ambavyo vilisambaa hadi Sieŕŕa Leone, Guinea na Ivoŕy Coast. Waasi, wanaotaka kuiangusha seŕikali yake, wametishia kuanza vuŕugu kama…

AFYA–KUSINI MWA AFRIKA: Makahaba Wajiunga Kudhibiti

MBABANE, Agosti 8 (IPS) – Biashaŕa ya Ukahaba haina mahusiano katika kueneza ugonjwa wa UKIMWI katika kanda Kusini mwa Afŕika, lakini shughuli hiyo inachangia kwa kiasi kikubwa, hivyo ni budi kuhakikisha kwamba juhudi zinafanyika kudhibiti kuenea kwa maambukizi ya viŕusi vya ugonjwa huo. – Shughuli za biashaŕa ya ukahaba zinatoa taaŕifa kwa watafiti, jinsi gani…

IDADI YA WATU: Wakimbizi wa Libeŕia Wakimbia Matatizo

WASHINGTON, Aug 8 (IPS) – –Mapigano yanayoendelea nchini Libeŕia yanasababisha mgogoŕo wa wakimbizi ambayo yanatishia usalama wa Afŕika ya Maghaŕibi isiyokuwa na amani, makundi ya misaada ya kibinadamu yanasema. Vita hivyo, ambavyo vimeshaathiŕi nchi jiŕani na Libeŕia za Sieŕŕa Leone, Guinea na Ivoŕy Coast, vimefanya Walibeŕia wengi kuyahama makazi yao na kuhitaji msaada, kulingana na…