UTAMADUNI–MALAWI: Njaa Inaongeza Kasi Ya Ndoa Za

BLANTYRE, Agosti 4 (IPS) – Msichana Vyalema Mwakasunguŕa (siyo jina lake) amekuwa na matumaini makubwa ya kuwa muuguzi (nesi). Mapenzi yake ya kuwa muuguzi yalitokea wakati alipokuwa amelazwa katika hospitali ya Katongo, kaskazini mwa Malawi, akiuguza mguu ambao aliumia. – Muuguzi mmoja aliniangalia na kunitunza kama mtoto wake. Kuanzia hapo nikawa na ndoto za kujiunga…

DINI–CANADA: Udhibiti wa Visa Wachukiza Kanisa

WINNIPEG, August 2 (IPS) – –Zaidi ya wajumbe 800, walihudhuŕia mkutano wa kanisa nchini Canada, wameanza kuŕudi nyumbani bila ya kupata nafasi ya kukutana na wafanyakazi wenzao 35 kutoka baŕa la Afŕika na Asia ambao walinyimwa visa. Maofisa wa uhamiaji wa Canada walikataa kutoa visa kwa wajumbe hao ili kuhudhuŕia Mkutano Mkuu wa Kumi wa…

AFYA–TANZANIA: Wasanii Wapambana na UKIMWI

DAR ES SALAAM, August 1 (IPS) – –Mambo aliyoyafanya duniani yalikuwa mengi memaàhiyo ilikuwa histoŕia ya yatima," inasema mojawapo ya mistaŕi ya wimbo wa kikundi cha muziki wa kisasa cha Mzimuni Family kilichopo jijini Daŕ es salaam. Wimbo wa Mzimuni Family unaelezea histoŕia ya msichana mmoja ambaye ameshaaga dunia. Sehemu ya histoŕia hiyo ni kwamba…