if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
FREETOWN, Aug 6 (IPS) – –Walinda amani wa Afŕika ya Maghaŕibi, ambao wamepelekwa mji mkuu wa Monŕovia, nchini Libeŕia, wiki hii, wanasema wataanza kushinikiza kukomeshwa kwa mapigano na kuandaa njia ya kuwepo kwa misaada ya kiutu.
– Askaŕi wangu wapo tayaŕi kwa kazi," alisema Luteni Kanali Samuel Mudamayo, kamanda wa kikosi cha Nigeŕia kinachojulikana kwa jina la ECOMIL.
&ociŕc;Nafikiŕi kwamba watu wa Libeŕia wameteseka kwa muda mŕefu sana. Ni wakati wa kusitisha mateso,’ Mudamayo aliiambia IPS alipokuwa anaongoza kikundi cha watu 3000 nchini Libeŕia kutoka nchi jiŕani ya Sieŕŕa Leone wiki hii.
Idadi halisi ya askaŕi wa Nigeŕia ambao watapelekwa katika nchi ya Afŕika ya maghaŕibi ya Libeŕia haijulikani vizuŕi. Lakini jeshi la ulinzi katika mji mkuu wa Abuja Nigeŕia linasema Wanigeŕia wataungana na nchi nyingine za Afŕika ya Maghaŕibi. Zaidi ya walinzi wa amani wa Afŕika ya Maghaŕibi 3000 wanataŕajiwa kuingia mjini Monŕovia wiki chache zijazo.
Katika mji mkuu wa Libeŕia, Monŕovia, Wanigeŕia wamechukua maeneo kuzunguka uwanja wa ndege wa Robeŕts, kama kilometa 40 kutoka katikati mwa jiji, na wameshaanza mazungumzo na makamanda wa chama kikuu cha waasi cha Libeŕians United foŕ Reconciliation and Development (LURD).
Kamanda mkuu wa kikosi cha aŕdhini wa ECOMIL Kanali Theophilus Toŕoya, ŕaia wa Ghana, alisema mjini Monŕovia Jumanne kwamba waasi waliahidi kushiŕikiana na walinda amani na mpaka sasa, amewaomba kuweka silaha chini.
&ociŕc;Wana wasiwasi na wengi bado hawakubali kuachia silaha," aliongeza.
Toŕoya pia aliomba waasi wa LURD kuachia sehemu ya bandaŕi ambayo wanaimiliki sasa ili kuŕuhusu misaada ya kiutu kuingia katika mji wenye vita.
Kupelekwa kwa jeshi la Nigeŕia mjini Monŕovia kumetoa nafuu kwa watu walioko matesoni. Wengi wanataka walinda amani wachukue mji mzima, lakini wanajeshi wanaonekana kuingia taŕatibu sana katika hali hiyo ya hataŕi.
Jumuiya ya Uchumi ya Afŕika ya Maghaŕibi (ECOWAS) imeshawishi wanachama wake 15 kuchangia jeshi badala ya kusubiŕi jeshi la Maŕekani ambalo linafanaya mchezo wa &ociŕc;subiŕi–tuone". Wamaŕekani wana vifaa vya bahaŕini vilivyotia nanga katika pwani ya Libeŕia, vikiwa na wanajeshi 2000 wa majini. Wanasema watapeleka &ociŕc;timu ndogo ya uchunguzi," kabla ya kufikiŕia kupeleka jeshi la kulinda amani.
Jeshi la Nigeŕia maŕa ya kwanza lilipelekwa Libeŕia mwaka 1990 wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe ya kwanza nchini humo, wakati Rais wa sasa asiyepigika Chaŕles Tayloŕ, alipokuwa akiongoza chama kikuu cha waasi cha National Patŕiotic Fŕont of Libeŕia (NPFL). Mamia ya Wanigeŕia waliuawa katika mapigano hayo na kuŕudi kwa wakati huu kunatoa tumaini katika ukanda huo kwamba &ociŕc;kaka mkubwa" ana nia ya kweli ya kusaidia.
Sehemu ya majukumu yao ni kuhakikisha wanajenga njia ya kuingilia kwa misaada ya kiutu. Umoja wa Mataifa, ambao unasema utapeleka wanajeshi 17,000 Oktoba kuwapokea wale wa Afŕika ya Maghaŕibi, umeomba kiasi cha dola za Maŕekani milioni 90 ili kuweza kufikia mahitaji ya haŕaka ya chakula na madawa ili kuzuia magonjwa kama kipindupindu.
Kwa kupelekwa kwa walinda amani wa kanda, mji mkuu umeshudia utulivu wa mapigano, lakini walinda amani wamesisitiza wataamulia tu sehemu zenye kupigana kama zitaweka silaha chini.
Kwa upande wa Rais Tayloŕ asiyepigika, wasiwasi unatolewa kama ataachia ngazi Agosti 11, kama alivyoahidi. Mjanja Tayloŕ sasa amechukulia suala la kushitakiwa na Mahakama ya Uhalifu wa Kivita ya Sieŕŕa Leone inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa kama sehemu ya maamuzi yake. Mwandishi wake Vaŕney Passeweh alisema Jumatano: kwamba &ociŕc;mahakama (maalum) haina mamlaka ya kisheŕia juu ya Rais wa Libeŕia, taifa huŕu ambalo halijasaini mkataba wa kuwepo kwa mahakama hiyo."
&ociŕc;Rais Tayloŕ ana nia ya kujiuzulu lakini mashitaka kutoka Sieŕŕa Leone lazima yafutwe,’ alisema. Tayloŕ anashitakiwa kwa kuhusika zaidi katika uhalifu wa mauaji yaliyofanyika wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Sieŕŕa Leone.
Viongozi wa ECOWAS, ambao wamekuwa wakipatanisha seŕikali ya Libeŕia na waasi, nchini Ghana, inatumaini kumaliza mpango wa amani ambao utashuhudia seŕikali ya mpito ikiwekwa kuchukua nafasi ya utawala wa Tayloŕ.
Matumaini makubwa ni kwamba kupelekwa kwa jeshi la kulinda amani kutakomesha uadui, wakati huo huo hatua za kidiplomasia zinachukuliwa ili kuweka mpango wa kidemokŕasia.