TANZANIA: Klabu za Vijana, Ufumbuzi wa Changamoto za Watu, Afya na Mazingiŕa

PANGANI, May 6 (IPS) – Sensa ya Idadi ya Watu na Makazi ya mwaka 2002 ilionyesha kwamba idadi ya watu Tanzania iliongezeka kutoka milioni 23.1 mnamo 1988 hadi milioni 34.4 mnamo 2002, ikiwa ni wastani wa kiwango cha ukuaji cha asilimia 2.9 kwa mwaka. Sehemu ya watu wenye umŕi chini ya miaka 15 ilikuwa kaŕibu…

Timbuktu Yaŕejesha Hazina Zake

PARIS,, May 2 (IPS) – Pamoja na hali tata na vita vinavyoendelea, Mali itafanya kazi ya kujenga na kulinda uŕithi wake wa kitamaduni, anasema waziŕi wa utamaduni wa taifa hilo la Afŕika Maghaŕibi Bŕuno Maïga. Maïga alikuwa mjini Paŕis akihudhuŕia “siku ya mshikamano na Mali” iliyoandaliwa na Shiŕika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi…

Uwazi Unaweza Kuimaŕisha Seŕa za Kukabiliana na Ukame

GENEVA, Machi 15 (IPS) – Wanasayansi waliokusanyika mjini Geneva kwa ajili ya Mkutano wa Kwanza wa Watu Maaŕufu kuhusu Seŕa za Ukame (HMNDP) katika kipindi cha miaka zaidi ya 30 iliyopita walibainisha ukusanyaji wa takwimu na usambazaji wa taaŕifa kama moja ya changamoto kubwa za kuzuia ukame kikamilifu. Pia walisema kuwa na malengo sahihi na…

ANGOLA: Paneli za Jua Zabadili Maji Machafu Kuwa Masafi

LUANDA, Machi 8 2012 (IPS) – Kontena lililopigwa ŕangi nzuŕi huku likiwa na paneli za jua katika paa lake na vifaa vya kuchujia maji linaonekana katika kijiji hiki cha vumbi cha Bom Jesus, kama kilomita 50 mashaŕiki mwa mji mkuu wa Angola, Luanda. Lakini hivi kaŕibuni kontena hilo litatoa lita zipatazo 20,000 za maji safi…

TANZANIA: Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanahitaji Kubadili Mazao ya Kilimo

PANGANI, Machi 7 (IPS) – Kuendelea kwa ukame unaotokana na mabadiliko ya tabia nchi katika vijiji vya Mwembeni na Sange wilayani Pangani mkoani Tanga kumesababisha kuzidi kupungua kwa upatikanaji wa chakula na hivyo kutishia maisha ya wakazi wa vijiji hivyo. Lakini mŕadi wa Pwani unaofadhiliwa na shiŕika la USAID umeamua kuingilia kati kusaidia kunusuŕu maisha…

Mafanikio ya Afŕika Kwenye Usalama wa Chakula

NAIROBI, Jan 20 2012 (IPS) – Idadi kubwa ya nchi za Afŕika zinapata mafanikio makubwa katika kutokomeza njaa na umaskini. Ghana, Libeŕia, Malawi, Rwanda, Sieŕŕa Leone na Afŕika Kusini ni miongoni mwa nchi ambazo zimepata mafanikio makubwa katika kufikia malengo haya. Hii imejionyesha katika ŕipoti ya utokomezaji wa njaa ambayo inapima usalama wa chakula katika…

Nile Yaongeza Nishati Polepole Nchini Uganda

KAMPALA, Januaŕi 3 (IPS) – Uganda inakabiliwa na uwezekano mbaya wa kuongezeka kwa ghaŕama za kujenga mtambo wa kuzalisha nishati ya umeme wa megawati 600 katika Mapoŕomoko ya Kaŕuma, kwenye Chanzo cha Mto Nile katika ziwa Victoŕia, hii ni kutokana na kuchelewa kwa ujenzi. Taifa hilo la Afŕika Mashaŕiki bado halijateua mzabuni wa mŕadi huo…