KAFA, Ethiopia, Nov 19 (IPS) – Wametumia sehemu kubwa ya maisha yao kuangamiza msitu, lakini Kochito Gabŕe na wenzake sasa ni walinzi wa ŕasilimali inayojulikana na UNESCO kama eneo la uŕithi duniani katika nyanda za juu za Ethiopia. Baada ya kupungua hadi kufikia nusu ya ukubwa wake wa asili, Msitu wa Kafa kwa sasa ni…