LUSAKA, Nov 29 (IPS) – Chini ya moja ya nne ya watoto nchini Zambia ambao wangepaswa kutumia madawa ya kupunguza makali ya ugonjwa ya UKIMWI hawayapati. Nchi ilipanga kuongeza ARVs kwa watoto kutoka kiasi cha sasa cha watoto 20,000 hadi 120,000, lakini hospitali chache zinaleta changamoto. Kuna wastani wa watoto 85,000 wanaoishi na VVU nchini…