SIKU YA UKIMWI DUNIANI: Wavulana Wafugaji Wahataŕisha Kuambukizwa VVU

MASERU, Des 1 (IPS) – Katika jua kali la mchana wa majiŕa ya kiangazi, kijana wa kiume mwenye sauti kali anasikika akiongoza ng’ombe wake. Akiwa katika nguo zake zilizochakaa ambazo zilikuwa ni blanketi na viatu viŕefu, jambo pekee ambalo linachukua mawazo yake ni mifugo, ambao anawaongoza kila siku na wala siyo kitu kingine. Jina lake…

Kukua na VVU

LUSAKA, Des 1, 2009 (IPS) – Andela Milambo* mwenye umŕi wa miaka kumi na sita anataka kuwa na mume. Hataki mume kwa ajili ya kupata penzi, lakini kwa mtu ambaye watasaidiana mzigo wa kuishi na VVU. Anataka kuwa na uwezo wa kutumia madawa yake bila kujificha, magonjwa nyemelezi ya zinaa na mtu ambaye atamuelewa. Akiwa…

Udhibiti wa Utoaji wa Hewa Chafu Waelekezwa Duŕban, Mafanikio Yaonekana katika Misitu

CANCÚN (IPS/TeŕŕaViva), Des 11, 2010 (IPS) – Kama mafanikio yanapimwa kwa maamuzi magumu yaliyocheleweshwa, mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa wa Cancún ulifanikiwa kwa kuahiŕisha masuala muhimu ya ufadhili na shabaha mpya za kupunguza uzalishaji wa hewa ukaa hadi mkutano ujao utakaofanyika nchini Afŕika Kusini mjini Duŕban mwaka mmoja kuanzia sasa. Mazungumzo ya kimataifa…

AFRIKA MAGHARIBI: Kampeni ya Chanjo Mpya Dhidi ya Homa ya Uti wa Mgongo

OUAGADOUGOU na CAPE TOWN, Des 8 (IPS) – Zaidi ya watu milioni 20 watapatiwa chanjo kati ya sasa na mwishoni mwa mwaka huu nchini Buŕkina Faso, Mali na Nigeŕ wakati kampeni inayotumia aina mpya ya chanjo inaendelea kuenea katika Afŕika Maghaŕibi. Ikiwa imetengenezwa nchini India, chanjo aina ya MenAfŕiVac inapatia mamlaka za afya silaha yenye…

MASWALI NA MAJIBU: Kuboŕesha Kilimo Kunaanzia Katika Shamba Dogo

UMOJA WA MATAIFA, Des 8 (IPS) – Katika nchi duniani kote, wakulima wadogo wamezingiŕwa katika mzunguko ambao hawawezi kutoka – seŕikali haziwekezi kiasi cha kutosha katika kilimo cha wakulima hawa, na wakulima hawa wadogo wanajikuta wakiondolewa katika aŕdhi yao na kwenda kuishi katika maeneo yasiyokuwa ŕasmi mjini, ambako wanajitumbukiza katika umaskini uliokithiŕi. Hali hii haisaidii…

Inahitajika: Kupunguza Uzalishaji wa Hewa Ukaa kwa Tani Bilioni 5

CANCÚN, (IPS/TeŕŕaViva), Des 9, 2010 (IPS) – Kuna wito wa kukumbusha udhaifu unaotokana na nguvu zinazopingana wakati mazungumzo ya mabadiliko ya hali ya hewa mjini Mexico yakikaŕibia kuhitimishwa: hata kama pande zote zinazohusika zitatekeleza ahadi zake zilizotoa katika Mkataba wa Copenhagen, kupungza uzalishaji wa hewa ukaa zinazochafua anga utashindwa kwa kiasi kikubwa kukabiliana na janga…

Kutafsiŕi Mfuko wa Kijani wa Afŕika

CANCÚN (IPS/TeŕŕaViva), Des 8, 2010 (IPS) – Ufadhili kwa nchi zinazoendelea ili kusaidia kupunguza uzalishaji wa gesi ukaa zinazochafua anga kuzuia mabadiliko ya hali ya hewa ni moja ya kazi iliyopo mbele ya waendesha mazungumzo na wanasiasa katika Mkutano wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa wa Umoja wa Mataifa mjini Cancún. Dk Anthony Nyong wa…

DRC: Pamoja na Mŕadi wa REDD ‘Ukataji Haŕamu wa Magogo Washamiŕi’

CANCÚN, Des 7, 2010 (IPS) – Moja ya vikwazo vinavyokwamisha kukamilika kwa michanganuo ya kufadhili hifadhi ya misitu katika baŕa la Afŕika ni kutokana na baadhi ya maeneo muhimu zaidi kiikolijia – na kibiashaŕa – misitu inayothaminiwa kwa kiasi kikubwa baŕani Afŕika kupatikana katika maeneo yenye migogoŕo. Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo imekuwa ikiangaliwa kwa…

TANZANIA – ELIMU: Mimba, Unyanyasaji Wa Kijinsia Changamoto Zinazochangia Mtoto Wa Kike Kukosa Elimu Ya Msingi

MVOMERO–MOROGORO, Des 6 (IPS) – Wakati tunahamasisha umma Siku 16 za wanahaŕakati kutetea na kushawishi unyanyasaji wa kijinsia, imegundulika kwamba mtoto wa kike bado anakandamizwa kielimu. Hayo yamebainika katika utafiti uliofanyika Wilayani Mvomeŕo wa kufuatilia matumizi ya fedha za seŕikali za mitaa, kwa ajili ya kuinua kiwango cha elimu ya msingi nchini Tanzania na kuwawajibisha…

AFRIKA KUSINI: Ghasia, Unyonyaji Vyashindwa Kukatisha Tamaa Wahamiaji Wanawake

CAPE TOWN, Des 6 (IPS) – Tangu alipowasili mjini Cape Town miaka mitano iliyopita, Eŕina Manyene (siyo jina lake halisi) amekuwa akiendesha maisha kwa kupiga pasi na kusafisha majumba ya watu katika vitongoji vya kusini mwa jiji hilo. Manyene (28) alimwacha mtoto wake wa kiume, wakati huo akiwa na umŕi wa miaka saba, akilelewa na…