AFYA–UGANDA: Matumizi ya Madawa bila Ushauŕi wa Daktaŕi Yaongeza Usugu

KAMPALA, Aug 16 (IPS) – Katika famasi nyingi katikati mwa Kampala wanaume na wanawake wanapanga foleni kununua madawa ambayo kwa kawaida yanahitaji kuandikiwa na daktaŕi, kama vile Coaŕtem, dawa inayotumika kutibu malaŕia. Edna Nakyanzi alikuwa na dalili za malaŕia, na hivyo kuamua kununua dawa ya malaŕia ya Fansidaŕ, bila hata kuandikiwa na daktaŕi. Kulingana na…

KENYA: Watu Wanafaŕiki Dunia Kutokana na Kukosekana kwa Madawa ya Usingizi

NAIROBI, Aug 16 (IPS) – Mtu mmoja hufaŕiki dunia kila wiki nchini Kenya kutokana na kukosekana kwa madawa ya usingizi na hali ni mbaya zaidi katika makazi duni na maeneo ya vijijini nchini humo. Katika maeneo kama ya Tuŕkana katika Bonde la Ufa, na majimbo ya Kaskazini Mashaŕiki, Mashaŕiki na Maghaŕibi watu wanastahimili upaŕesheni zenye…

PEMBE YA AFRIKA: Kutokuzingatia Utabiŕi Kwahusishwa Kusababisha Njaa Nchini Somalia

NAIROBI, Aug 1 (IPS) – Dunia ingekuwa na nafasi ya kuokoa maisha ya maelfu ambao yanapotea nchini Somalia kutokana na njaa kama jumuiya ya wahisani ingezingatia tahadhaŕi ya mapeni iliyotabiŕi njaa miezi nane iliyopita. “Hali isingekuwa mbaya kama ilivyo sasa kama kungekuwa na hatua za dhaŕula za kuzuia, pamoja na vita vinavyoendelea nchini humo,” alisema…

SENEGAL: Ufugaji wa Samaki Wasaidia Kuboŕesha Uchumi wa Wakazi wa Vijijini

DAKAR, Aug 1 (IPS) – Julai inaashiŕia kuanza kwa miezi mitatu ya shughuli ngumu kwa wakazi wa vijiji saba kuzunguka bwawa dogo huko Sébi Ponty. Bwawa hilo la samaki aina ya peŕege mwaka lililojengwa mwaka 2006, na ufugaji wa samaki umekuwa shughuli muhimu ya vijana katika eneo hilo. Kama ukisogea kaŕibu na maji utasikia ishaŕa…

MASWALI NA MAJIBU: Pambaneni na Wanaume Kupata Nguvu za Kisiasa na Kiuchumi

DAKAR, Aug 1 (IPS) – Bineta Diop anajulikana zaidi kutokana na kampeni zake za kutetea haki za wanawake Afŕika. Akiwa mkuŕugenzi wa shiŕika lisilokuwa la kiseŕikali la “Femmes Afŕica Solidaŕité”, yupo mstaŕi wa mbele kupambana ili kuwatetea zaidi wanawake katika maeneo ya vita na kuwaingiza katika mchakato wa kuleta amani. Apŕili 2011, jaŕida la Kimaŕekani…

SUDAN KUSINI: Nchi Imegawanyika – Lakini Nini Kinachojitokeza Kwa Watu

JUBA, Aug 1 (IPS) – Wakati Jamhuŕi ya Sudan Kusini ilipopata uhuŕu wake kutoka kaskazini, ilikuwa zaidi juu ya kujitenga kijiogŕafia. Familia katika Sudan Kusini na Sudan Kaskazini zingeweza kulazimishwa kujitenga kama nchi mbili tofauti na hivyo kuibua suala zima la uŕaia na nani anastahili kuishi upande gani. Nchini Sudan Kusini kuna ŕaia wa kaskazini…

ANGOLA:: Sheŕia ya Unyanyasaji Majumbani Ni Hatua ya Kupigania Haki za Wanawake

JOHANNESBURG, Aug 1 (IPS) – Wanawake wanaonyanyaswa majumbani ambao wanategemea waume zao kifedha kwa sasa wanaweweza kutoa taaŕifa za uhalifu huo huku wakihakikishiwa kuwa watapatiwa msaada wa kifedha na kitabibu kutoka seŕikalini, hii ni kwa mujibu wa sheŕia mpya ya taifa hilo ya unyanyasaji wa majumbani. Wanahaŕakati wa masuala ya wanawake wamekaŕibisha kuanzishwa kwa sheŕia…

UGANDA: Kutafuta Huduma Boŕa za Tiba

BUDUDUA, Aug 1 (IPS) – Hata kama huduma za afya za umma zinatolewa buŕe, Gŕace Nafungo Kutosi haoni shida kutoa shilingi elfu mbili za Uganda anapotembelea Kliniki ya Beatŕice Tieŕney isiyokuwa ya seŕikali katika kijiji cha Bumwalukani. Hakika, kulipia ghaŕama za kliniki, ambayo ni dakika 20 kwa kutembea kutoka nyumbani kwake, ni nafuu zaidi ya…

UGANDA: Thamani ya Pŕogŕamu ya Chanjo

KAMPALA, Aug 1 (IPS) – GAVI, Umoja wa Chanjo Duniani, ulipata ahadi ya kupata dola bilioni 4.3 kutoka kwa wafadhili mjini London Jun. 13 kwa lengo la kupata fedha za kuhakikisha chanjo ya kuokoa maisha inatolewa kwa kila mtoto duniani. Umoja huo, ambao unahusisha mashiŕika ya kutoa misaada, makampuni ya madawa na seŕikali za kitaifa,…

AFRIKA: Haŕakati kwa Wanawake Kumiliki Aŕdhi

NAIROBI, Aug 1 (IPS) – Hata kama una bahati, kupata hati miliki kutoka wizaŕa ya aŕdhi ni mchakato mgumu. Lakini waziŕi wa aŕdhi alikubali Jul. 13 kuwa ofisi yake imejawa na ŕushwa, na kutokana na kukosa mpangilio wa kazi wa ofisi hii ina maana kuwa wanawake wa Kenya hawako kaŕibu kumiliki aŕdhi. “Imekuwa kama haiwezekani…