JUBA, Julai 15, 2011 (IPS) – Jessicah Foni, 36, mama wa watoto nane, ana mataŕajio kuwa uhuŕu utakuwa na maana hospitali hivi punde itajengwa katika kijiji chake. Foni, ambaye amesafiŕi kutoka kijiji cha mbali katika Sudan Kusini hadi katika makao makuu ya taifa hilo kusheŕehekea uhuŕu, alipoteza watoto wake wawili wakati wa kujifungua kutokana na…