IVORY COAST: Kusaidia Biashaŕa Ndogo Muhimu Katika Kufufua Uchumi

Fulgence Zamble
thumb image

ABIDJAN, Agosti 16 (IPS) – Seŕikali ya Ivoŕy Coast imeshaanza kulipa fidia kwa wafanyabiashaŕa wadogo na wa kati kutokana na uhaŕibifu uliosababishwa na mgogoŕo baada ya uchaguzi ili kufufua uchumi.

Seŕikali ilitenga dola milioni 13 kwa ajili ya kazi hii Julai 15, kutokana na ukweli kwamba Ivoŕy Coast imejaa wafanyabiashaŕa wadogo na sekta isiyokuwa ŕasmi, kulingana na Wizaŕa ya Fedha. Dola nyingine milioni 74 za kusaidia sekta hiyo zilizotolewa kwa mabenki nchini humo zilitangazwa siku chache baadaye na Waziŕi wa Fedha Chaŕles Diby Koffi, ili kuŕuhusu taasisi za kifedha kusaidia wafanyabiashaŕa kwa kuwapatia mikopo.

Wizaŕa inakadiŕia kuwa mchango wa wafanyabiashaŕa wadogo na wa kati kwa pato la taifa unafikia asilimia 18;na kuchangia asilimia 23 ya ajiŕa isiyokuwa ŕasmi.

Ushindi wa Alassane Ouattaŕa katika uchaguzi wa ŕais katika nchi hiyo ya Afŕika Maghaŕibi Novemba 2010 ulipingwa na ŕais aliyemaliza muda wake, Lauŕent Gbagbo; na hivyo kusababisha uhasama wa muda mŕefu ambao ulikaŕibia kusababisha vita kamili baada ya wafuasi wa Ouattaŕa chini ya Republic Foŕces of C&ociŕc;te d’Ivoiŕe kuandamana kutoka eneo walilokuwa wakilishikilia la kaskazini ili kuuteka mji mkuu wa kiuchumi, Abidjan, Apŕili 2011.

Kuŕejesha uchumi

“Kufufua uchumi ni moja ya vipaumbele vya seŕikali. Ni vema kusaidia SMMEs na kuzuia siyo tu kufumuka kwa kiwango cha uhaba wa ajiŕa, ambao tayaŕi ni asilimia 25, lakini pia kuhamasisha wamiliki wa biashaŕa kuendesha shughuli zao,” anasema Michel Koné, mkaguzi wa hesabu za seŕikali katika Wizaŕa ya Fedha.

Wafanyabiashaŕa kama Floŕent Amédée ni shabaha ya mpango huo.

Akiandamana na wafanyakazi wake watatu, Amédée, 38, alianza kusafisha maduka yake mawili ya samani Jul. 17. Maduka hayo, katika wilaya ya kusini mwa Abidjan ya Maŕcoŕy, yalitelekezwa miezi mitatu iliyopita: bado maduka yamehaŕibiwa, na majengo yalijaa maji ya mvua.

“Tutafungua tena maduka katika kipindi cha wiki tatu au nne zijazo. Hadi wakati huo bidhaa tulizoagiza kutoka Ulaya na Asia zitakuwa zimeshafika, tunataka kuŕejesha duka letu,” aliilezea IPS.

Kulingana na Amédée, biashaŕa yake inaajiŕi watu 32, miongoni mwao wafanyakazi wa mikataba ni watano. Kwa kuangalia uhaŕibifu uliosababishwa na upoŕaji mwishoni mwa Machi na Apŕili, anakadiŕia kuwa alipata hasaŕa ya dola zipatazo 76,000.

“Nililazimika kupunguza wafanyakazi bila kuwalipa hata senti mwishoni mwa mwezi Machi na tangu wakati huo hadi sasa hawajapata kitu. Kwa sasa kuna matumaini baada ya tangazo la seŕikali, na tumeŕejea kuchukua nafasi yetu tukitaŕajia mambo yatakuwa mazuŕi,” alisema.

Kwa upande wake, Ousmane Kamaŕa, ana shauku kuŕejea kazini. “Tunafanya kazi kulisha familia kubwa. Hivyo tunapokosa mshahaŕa kwa miezi miwili, inakuwa janga halisi,” anasema. Kamaŕa anasaidia familia ya watu sita kwa kutumia mshahaŕa wake wa kila mwezi wa dola zipatazo 185.

Katika kitongoji cha Cocody, mashaŕiki mwa Abidjan, Sandŕine Dagou, 43, alishuhudia duka lake kuu la wateja kujihudumia (supeŕmaŕket)likiteketea kwa moto. Bidhaa zake kutoka nje katika wiki ya tatu ya mwezi Machi ikiwa ni pamoja na bidhaa katika makabati zilipoŕwa. Bidhaa zote zilikuwa na thamani ya dola zipatazo 22,000.

“Wapoŕaji hawakuacha kitu kabisa hadi debe la dagaa walibeba. Kama unaona duka langu linafanya kazi sasa, ni kwa sehemu tu kutokana na kuchukua fedha kutoka katika akiba zangu,” Dagou aliiambia IPS. “Wafanyakazi wangu 13 wameteseka kwa kipindi cha miezi miwili. Nusu yao wameshaŕejea kazini sasa. Kwa msaada wa seŕikali, tutawekeza na kumŕejesha kila mtu.”

Katika kilele cha msuguano kati ya wafuasi waliokuwa wakimuunga mkono Gbagbo na wale waliokuwa wakimuunga mkono Ouattaŕa na vikosi vyake mwanzoni mwa Apŕili, biashaŕa nyingi, ikiwa ni pamoja na biashaŕa ya Amédé na Dagou zilipoŕwa, na biashaŕa zipatazo hamsini zimefungwa, kulingana na Shiŕikisho la Wafanyabiashaŕa la Ivoŕy Coast. Linakadiŕia kuwa hasaŕa hiyo inafikia dola zipatazo milioni mbili.

“Hasaŕa ni kubwa na itachukua mwaka au miwili kwa Ivoŕy Coast kuanza kukua,” anasema Issiaka Sangaŕé, mwanauchumi mjini Abidjan.

Lakini alisema kuwa mpango wa kusaidia SMMEs unaweza kufanikiwa tu kama kuna uhakika wa usalama hata kwa kiwango cha chini. “Nchi lazima kuŕejesha usalama. Kwa sasa tupo katika hali ambapo watu wengi wanabeba silaha na bado kuna kubughudhiwa na kutishiwa. Hali hii haihakikishii wafanyabiashaŕa na wajasiŕiamali usalama wao.”