DADAAB, Kaskazini–Mashaŕiki mwa Kenya, Juni 26 (IPS) – Kwa upande wa Aaliya Omaŕ Alas, Machi. 20, 2006 ni chanzo cha kukumbu mbaya. Mume wake na motto wao wa kiume waliuawa siku hii nchini Somalia, wakati wa vita ambavyo pia viliwakimbiza wanafamilia wnegine waliosalia. “Nina machungu kwasababu nimepoteza mume na mtoto, sijui wanafamilia wengine, mabinti wanne…