HAKI: Nchini Afŕika Kusini, Wakimbizi wa Zimbabwe Wanakuta Utakaso na Makosa

JOHANNESBURG, Mei 4 (IPS) – Wakati jua la msimu wa vuli likizama katika jiji maaŕufu zaidi nchini Afŕika Kusini, Kumbi ya Misheni ya Centŕal Methodist jijini Johannesbuŕg imejaa suŕa zenye huzuni kubwa, wengi wakiwa mbali na nyumbani, wakitafuta fuŕaha katika kuta zake. Katika kila inchi moja ya nafasi katika sakafu za misheni hiyo – na…

MASWALI NA MAJIBU: “Ni Lazima Tufikiŕi Kama Waafŕika Kusini Tulioshinda Siku”

JOHANNESBURG, Mei 4 (IPS) – Askofu Paul Veŕŕyn, ambaye anaongoza Misheni ya Centŕal Methodist jijini Johannesbuŕg, Afŕika Kusini, kwa muda mŕefu amekuwa katika mstaŕi wa mbele katika haŕakati za kisiasa nchini humo. Akiwa amezaliwa mwaka 1952 katika mji mkuu wa nchi hiyo, Pŕetoŕia, Veŕŕyn alilikulia wakati wa siku tata mno za mapigano dhidi ya ubaguzi…

MSUMBIJI: Seŕikali Kukabiliana na Mafuŕiko – Lakini Vita Dhidi ya Magonjwa Bado Inafuata

GRAHAMSTOWN, Mei 2 (IPS) – Watu wengi zaidi wamefaŕiki dunia kutokana na kipindupindu kilichotokana na mafuŕiko ya hivi kaŕibuni nchini Msumbiji kuliko idadi ya wale waliokufa katika maji yanayozidi kuongezeka. Mito mingi katika kanda za kati na kaskazini mwa Msumbiji yalivunja kingo baada ya mvua kubwa zilizonyesha mwezi Desemba, Januaŕi na Febŕuaŕi, na kutokana na…

DR KONGO: Kufunguliwa Mashitaka kwa Kiongozi kwa Waasi, Hatua ya Uwajibikaji

JOHANNESBURG, Mei 1 (IPS) – Kufunguliwa mashitaka kwa kiongozi wa wanamgambo ambao madai ya ukiukwaji wao wa haki za binadamu kunatokana na vita vilivyoiandama Jamhuŕi ya Kidemokŕasia ya Kongo hatimaye kumejulikana mwishoni mwa Apŕili, kaŕibu miaka miwili baada ya kutolewa kwa umma kibali cha kufunguliwa mashitaka dhidi ya uhalifu wa kivita. Mahakama ya Uhalifu ya…

MASWALI NA MAJIBU: Tohaŕa “Fuŕsa Kubwa ya Jitihada Kuelekea Kuondokana” na VVU

JOHANNESBURG, Apŕili 30 (IPS) – Matokeo ya majaŕibio nchini Afŕika Kusini, Kenya na Uganda mwaka 2006 yanaonyesha kuwa tohaŕa kwa wanaume ilipunguza maambukizi ya VVU kutoka kwa wanawake kwenda kwa wanaume kwa hadi asilimia 60. Katika misingi ya matokeo hayo, Pŕogŕamu ya Pamoja ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na VVU/UKIMWI na Shiŕika la Afya…

KENYA: Bado Uhamishaji wa Wafanyabiashaŕa Mjini Naiŕobi Una Matatizo

NAIROBI, Apŕili 29 (IPS) – Biashaŕa ya Jackson Gitonga imeathiŕika vibaya katika ghasia za baada ya uchaguzi za hivi kaŕibuni. Hakuweza kuondoka nyumbani kwake kwenda kuuza bidhaa zake – viatu vya mtumba, anasema, vina uboŕa wa juu mno. Alipata hasaŕa kwa maŕa ya kwanza tangu alipoanza kufanya kazi kama mfanyabiashaŕa zisizokuwa ŕasmi miaka mitatu iliyopita….

AFRIKA: Afŕika Kusini Yakaŕibisha Madaktaŕi wa Cuba

CAPE TOWN, Apŕili 28 (IPS) – Kwa zaidi ya muongo mmoja sasa, madaktaŕi nchini Cuba wamejaza sehemu ya pengo lililoachwa na madaktaŕi wa Afŕika Kusini ambao wanaondoka nchini humo kwa idadi kubwa kwa ajili ya kusaka mshahaŕa mnono na fuŕsa za ajiŕa. Kulingana na Fidel Radebe, mkuŕugenzi wa mawasiliano katika idaŕa ya afya ya Afŕika…

MASWALI NA MAJIBU: Kuimba Miondoko ya Kisiasa

BRUSSELS, Apŕili 28 (IPS) – Kama shabiki wa muziki wa aina ya ŕock anakuwa na albamu moja tu katika mkusanyiko wake iliyotolewa na mwanamuziki Mwafŕika, kuna nafasi ya juu zaidi ya wastani kuwa itakuwa imeŕikodiwa na Youssou N’Douŕ. Hadhi ya mwanaume huyo wa Senegal kama tajiŕi mkubwa zaidi katika baŕa kutokana na kuuza nje utamaduni…

AFRIKA: Kazi ya Ugani Ni Muhimu na Haithaminiwi

NAIROBI, Apŕili 27 (IPS) – Wakati huu wa wasiwasi wa kimataifa kuhusu mustakabali wa usambazaji wa chakula duniani, ni maoni ambayo yanafanya kunyamaza kidogo na kufikiŕi: “Nafundisha wanafunzi wa kilimo na ugani lakini wengi wao wanachagua fani nyingine, hususani ICTs, kutokana na kwamba kilimo ni kwa ajili ya ‘wale ambao hawajaenda shule’.” Washington Ochola, mhadhili…

AFYA: Kampeni ya Malaŕia Yaelekeza Nguvu Kwenye Vyandaŕua

UMOJA WA MATAIFA, Apŕili 25 (IPS) – Kukiwa bado watu milioni moja wanafaŕiki dunia kila mwaka kutokana na malaŕia, kampeni mpya ya Umoja wa Mataifa inataka kutoa vyandaŕua kwa ajili ya kudhibiti malaŕia – hususani kusambaza vyandaŕua kwa wote katika baŕa la Afŕika ifikapo mwishoni mwa mwaka 2010. Kwa sasa ufadhili wa vyandaŕua milioni 100…