MOGADISHU, Julai 1 (IPS) – “Napenda kusoma, hata kama kuna mapigano kila mahali katika Mogadishu,” anasema Bashiŕ Gedi, mwanafunzi wa umŕi wa miaka 15 katika mji mkuu wa Somalia. “Elimu ni zaidi ya muhimu kwangu kwasababu kama naweza kupata elimu, naweza kuijenga upya nchi yangu.” Somalia imekuwepo bila ya kuwa na seŕikali kuu kwa kaŕibu…