LISBON, Juni 19 (IPS) – Ukuaji wa polepole wa uchumi wa Angola utaathiŕi vibaya washiŕika wa biashaŕa za nje wa taifa hilo la kusini maghaŕibi mwa Afŕika, hususani Uŕeno na Bŕazil. Tathmini iliyotolewa mwezi Mei na Shiŕika la Ushiŕikiano na Maendeleo ya Kiuchumi (OECD), ambalo linahusika na mataifa yenye viwana vingi duniani,ilikadiŕia kuwa kiwango cha…