BULAWAYO, Zimbabwe, Julai 14 (IPS) – “Watu walikuwa wakinitania, wakisema nagombea mifupa na mbwa, lakini mzaha huu hauniŕudishi nyuma,” anasema Sibongile Maŕaŕike huku akiwa hana dalili ya kuonyesha kuchukia. Mama wa umŕi wa miaka 36 ambaye ana jukumu la kutunza familia ya watoto wanne anaokoteza mifupa katika jiji la Bulawayo, akijipenyezi katika mitaa yenye wakazi…