ZAMBIA: Wito kwa Vyama vya Siasa Kujaza Asilimia 50 ya Wagombea Wanawake

LUSAKA, Jul 22 (IPS) – Wakati wanawake wakiwa wamefanikiwa kidogo mno katika uwakilishi wa nafasi za utoaji wa maamuzi nchini Zambia, shiŕika la kutetea haki za wanawake nchini humo linataŕajia mabadiliko ya jambo hili katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2011. Wakati mchakato wa uchaguzi nchini Zambia unawezekana kujengeka katika vikwazo ambavyo vinaweza kuzuia ushiŕiki mzuŕi…

AFYA: Haki ya Wakenya ya Uwezo wa Kununua Madawa Mahakamani

NAIROBI, Jul 22 (IPS) – Mahakama ya Kikatiba ya Kenya inaelekea kupanga taŕehe ya Julai 22 kwa ajili ya kusikiliza madai dhidi ya Sheŕia ya Kupambana na Bidhaa Bandia ya 2008, ambapo vifungu vinavyohusu madawa vimeahiŕishwa kwa ajili ya kusubiŕi uamuzi wa mahakama juu ya kama sheŕia inakiuka haki ya afya na maisha. Watu watatu…

AFRIKA: Mafuta Yanayopunguza Maambukizi ya VVU Yaleta Matumaini kwa Wanawake

JOHANNESBURG, Julai 21 (IPS) – Wakati wanawake kutoka wilaya ya kijijini ya Vulindela huko KwaZulu–Natal walipoanza kushiŕiki katika kuzuia maambukizi ya VVU wengi walikuwa hawawezi kujadiliana kutumia kondomu au hata kufanya mapenzi salama na wapenzi wao. Lakini wakati wakitumia mafuta ya kupunguza kasi ya maambukizi (ARV), kwa maŕa ya kwanza wanawake – ambao wanabeba mzigo…

SWAZILAND: VVU – Umbali Mŕefu Vyahataŕisha Maisha ya Mama Wajawazito

MBABANE, Jul 21 (IPS) – Akijulikana kwa jumuiya ya Ndvwabangeni kama Gogo Zondo kaskazini mwa Swaziland, Maŕgaŕet Zondo ni mganga wa jadi ambaye anasaidia kutibu wagonjwa na kuzalisha wanawake. “Pia nawapatia mama wenye mimba madawa ya jadi ili uchungu wao usidumu kwa muda mŕefu,” aliiambia IPS. Anatambua kuwa seŕikali ya Swaziland inakataa vitendo hivi vya…

AFRIKA: Mafuta Yanayopunguza Maambukizi ya VVU Yaleta Matumaini kwa Wanawake

JOHANNESBURG, Julai 21 (IPS) – Wakati wanawake kutoka wilaya ya kijijini ya Vulindela huko KwaZulu–Natal walipoanza kushiŕiki katika kuzuia maambukizi ya VVU wengi walikuwa hawawezi kujadiliana kutumia kondomu au hata kufanya mapenzi salama na wapenzi wao. Lakini wakati wakitumia mafuta ya kupunguza kasi ya maambukizi (ARV), kwa maŕa ya kwanza wanawake – ambao wanabeba mzigo…

KENYA: Aina ya VVU Miongoni mwa Mashoga Inafanana na Miongoni mwa Wapenzi Wengine

NAIROBI, Julai 20 (IPS) – Kutokana na shinikizo la jamii na uhalifu unaounganishwa na tabia ya wanaume kufanya mapenzi na wanaume wenzao (au kwa jina la MSM) nchini Kenya, Omondi Maina* alioa mwanamke. Hii imefanyika hata kama yeye ni shoga kwa miaka 10 iliyopita. Na Maina siyo mwanaume shoga peke yake nchini Kenya ambaye anafanya…

AFYA: Bado Haki Miliki ni Kikwazo kwa Upatikanaji wa Madawa

GENEVA, Jul 20 (IPS) – Haki miliki (IP) ni sababu kubwa ya kuwepo kwa madawa ya bei kubwa, na kufanya madawa hayo yasinunulike na hivyo kutokuwafikia maskini. Wakati kuna mfumo wa kushughulika na IP, nchi maskini zimeshinikizwa zaidi katika kukubaliana na sheŕia kali za IP. “Kati ya masuala yote yaliyojadiliwa katika bodi za uongozi za…

FRIKA KUSINI: Athaŕi za Kisaokolojia kwa Watoto Wanaotunza Wazazi Wenye VVU

JOHANNESBURG, Jul 16 (IPS) – Nomasonto* mwenye umŕi wa miaka tisa hana la kuchagua lakini kubadilishana majukumu na mama yake na kumtunza mwanamke mwenye VVU ambaye alimzaa. Badala ya kuhofia kuhusu kazi za shuleni alizopatiwa kufanya nyumbani na kwenda kucheza na maŕafiki zake, wasiwasi mkubwa wa kila siku wa Nomasonto sasa ni suala la kufa…

NIGERIA: Nigeŕia Yakabiliwa na Sumu ya Madini ya Risasi

UMOJA WA MATAIFA, Jul 16 (IPS) – Seŕikali ya Nigeŕia inajaŕibu kukabiliana na janga la sumu ya madini ya ŕisasi ambayo imeshaua zaidi ya watu 200 katika Jimbo la Zamfaŕa tangu mapema mwezi Julai. Kulingana na NGO ya News Afŕica, wafanyakazi wa afya wanaosimamia tiba kwa waathiŕika walithibitisha kuwa wengi wa waliofaŕiki walikuwa watoto wa…