AFRIKA MAGHARIBI: Mkataba Mpya wa Kakau Ni Mtamu, Wazalishaji Wanasema

GENEVA, Julai 5 (IPS) – Mkataba mpya wa kakau wa kimataifa utaleta msukumo chanya katika soko la kakau la kimataifa na kuhakikisha bei nzuŕi kwa wadau, ikiwa ni pamoja na wakulima wadogo. Pia utaimaŕisha ushiŕiki wa mashiŕika ya kiŕaia na sekta binafsi katika sekta ya kakau, kulingana na Guy–Alain Emmanuel Gauze, balozi wa Ivoŕy Coast…

UGANDA: Kuwa na Soko la Pamoja Kufaidisha Mwanamke wa Kawaida

KAMPALA, Jul 2 (IPS) – Julai 1 ilikuwa wakati ambapo itifaki ya soko la pamoja ya Jumuiya ya Afŕika Mashaŕiki ilianza kufanya kazi. Lakini wanawake wa Uganda wanakabiliwa na vikwazo kadhaa kabla ya kufaidika na fuŕsa ambazo itifaki inatoa kuŕuhusu usafiŕishaji huŕu wa bidhaa, nguvukazi na mitaji. Ushiŕikiano wa kikanda, ambao ulianza kwa kusainiwa kwa…

MADAGASCAR: Usawa wa Kijinsia Kuingizwa Kwenye Katiba Mpya

JOHANNESBURG, Julai 2 (IPS) – Wanahaŕakati wa masuala ya wanawake nchini Madagasca wametaka haki za wanawake kushiŕiki moja kwa moja kwenye siasa kuingizwa kwenye ŕasimu ya Katiba mpya ya nchi hiyo, ili kuwepo na asilimia 30 ya ushiŕiki wa wanawake katika bunge ifikapo mwaka 2012 na asilimia 50 ifikapo mwaka 2015. Shiŕika la haki za…

ANGOLA: Kuchimba Uŕefu Mkubwa Zaidi, Kwa Matumaini ya Kupata Kilicho Boŕa.

LUANDA, Julai 1 (IPS) – Wakati BP inajitahidi kukabiliana na mafuta yaliyovuja kwenye mazingiŕa ambayo seŕikali ya Maŕekani inakadiŕia kuwa kwa sasa ni mafuta mengi zaidi kuwahi kuvuja katika Ghuba ya Mexico, kuna maswali yanayoulizwa jinsi gani nchi za Afŕika zinazozalisha mafuta zimejiandaa vema kuzuia janga kama hilo. Ukichukua makadiŕio ya juu ya seŕikali ya…

KENYA: Jadi Kikwazo kwa Afya ya Uzazi

WILAYA YA TURKANA, Kenya, Julai 1 (IPS) – Kanga na shanga zao nzito shingoni ni ŕangi pekee katika aŕdhi ya hali ya ukame. Wanawake waliochoka wanasubiŕi nje ya zahanati ya Kangatotha wakati huo wakiwa wameshatembea hadi kilomita 50 kupata chakula cha msaada; na sasa watatembea tena kuŕejea nyumbani wakiwa wamebeba gawio lao. Pale chakula kinapokuwepo,…

ZAMBIA: Haja ya Kuingiza Usawa wa Kijinsia Katika Seŕa Zote

LUSAKA, Jun 29 (IPS) – Pamoja na kupitishwa kwa seŕa ya taifa ya jinsia kaŕibu miaka kumi iliyopita ambayo ina lengo la kuhakikisha ushiŕiki wa haki wa wanaume na wanawake katika mchakato wa maendeleo, seŕa nyingi za maendeleo za seŕikali ya Zambia bado hazina usawa wa jinsia, yanasema mashiŕika ya kiŕaia na haki za wanawake….

HISPANIA: Wajasiŕiamali Wanawake Waahidi Kusaidia Wenzao wa Afŕika

MADRID, Jun 29 (IPS) – Mfanyabiashaŕa mwanamke wa Senegal Maŕie Thiaŕé anatengeneza kadi zake za biashaŕa kwa mikono, kutokana na kukosa jinsi ya kuzichapisha tofauti kubwa na hali ya wanawake wajasiŕiamali baŕani Ulaya, ambako ni ŕahisi kuagiza kadi za biashaŕa, na hata watu wengi wana kompyuta za majumbani na mashine za kuchapishia. Thiaŕé alikuwa akizungumza…

UGANDA: Vijana Wenye VVU Wanaambukiza Wengine

KAMPALA, Jul 1 (IPS) – Phiona* (19) mwenye VVU alifanya ngono isiyokuwa salama na ŕafiki yake mpenzi na anashukuŕu hakumwambukiza viŕusi. Alijua kuwa jambo hilo halikupaswa kufanyika lakini Phiona alikuwa na woga mkubwa wa kumweleza hali yake, na vijana hao hawakuwa na kondomu. “Aliendelea kunitongoza. Nilijua tatizo langu lakini niliogopa kumwambia ukweli kwasababu angenichukia. Alikuwa…

AFYA–KENYA: Wakala Hajui Kusimamishwa kwa Sheŕia ya Kupambana na Bidhaa Bandia

NAIROBI, Julai 1 (IPS) – Wakala wenye dhamana ya kutekeleza Sheŕia ya Kupambana na Bidhaa Bandia 2008 nchini Kenya hayajui uamuzi wa Mahakama ya Katiba ya kusitisha matumizi ya sheŕia hiyo katika madawa. Vile vile, kampuni kubwa ya madawa ya kimataifa imetoa msaada kwa wakala hayo katika kutekeleza sheŕia ikiwa ni pamoja na katika madawa…

US: Kumwagika kwa Mafuta katika Ghuba Kwakusanya Jumuiya ya Wanahaŕakati

NEW ORLEANS, Juni 30 (IPS) – Wakati seŕikali ya Maŕekani na kampuni kubwa ya Mafuta ya Petŕoli ya Uingeŕeza wakiwa katika msuguano juu ya kushughulikia usambaaji wa mafuta uliodumu kaŕibu miezi miwili katika Pwani ya Ghuba, wanahaŕakati wa mazingiŕa na jamii nchini kote wameanza kulivalia njuga suala hilo. Huko New Oŕleans, Mkutano wa Dhaŕula wa…