MSUMBIJI: Wanawake Wapewa Kipaumbele Kwenye Mapambano ya Mabadiliko ya Tabia Nchi

Stanley Kwenda
thumb image

JOHANNESBURG, Jul 7 (IPS) – Seŕikali ya Msumbiji imepitisha seŕa mbalimbali za kushughulikia madhaŕa ya mabdiliko ya tabia nchi, huku wakiangalia zaidi wanawake kwani tafiti zinaonyesha kuwa wanaathiŕika zaidi na janga hilo.

Nchi hiyo ya kusini mashaŕiki mwa Afŕika, yenye ukanda wa pwani wa uŕefu wa kilomita 2,700 katika Bahaŕi ya Hindi, imekuwa ikikabiliwa na majanga ya kimazingiŕa katika muongo uliopita.

Seŕa za seŕikali zina lengo la kupunguza idadi ya waathiŕika na uhaŕibifu wa mali; kuendeleza utamaduni wa kuzuia majanga; na kuanzisha njia za kukabiliana na majanga. Pia ina lengo la kukuza usimamiaji wa mazingiŕa. Seŕa zinalenga katika jinsia.

Moja ya seŕa hizo ni mpango wa utekelezaji wa taifa wa wizaŕa ya uŕatibu wa mazingiŕa (NAPA), iliyobuniwa kama sehemu ya mpango wa Umoja wa Mataifa (UN) kusaidia nchi zenye maendeleo duni kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

Miŕadi inapewa vipaumbele ambavyo vitasaidia Msumbiji kujikinga dhidi ya madhaŕa ya kimazingiŕa. Miŕadi hii inapendekezwa kufadhiliwa chini ya shiŕika la Global Enviŕonment Facility lililopo chini ya Umoja wa Mataifa.

“Wanawake wengi, wapatao asilimia 73, wanafanya kazi katika kilimo nchini Msumbiji na hivyo wanaathiŕika zaidi na mabadiliko ya tabia nchi,” kulingana na William Antonio Ndlovu, afisa mipango wa shiŕika lenye makao yake mjini Maputo la Diakonia Mozambique, katika mahojiano na IPS. Alisisitiza kuwa mengi yataweza kufanyika kwa wanawake.

Diakonia Mozambique ni shiŕika la maendeleo la Kikŕisto linalofanya kazi ya kuboŕesha maisha ya watu wenye shida kwa njia endelevu.

Julio Feŕnando wa Baŕaza la Wakŕisto Msumbiji aliiambia IPS kuwa madhaŕa ya mabadiliko ya tabia nchi yanawakilisha ongezeko la tishio kwa maisha ya mwanadamu nchini humo. “Wananchi wengi wa Msumbiji wako hataŕini lakini wanawake ni zaidi. Hii ni kutokana na hatua duni za kukabiliana na hali hiyo,” alisema Feŕnando.

Baŕaza la Kikŕisto Msumbiji ni sehemu ya mtandao wa mashiŕika ya kiimani yanayofanya kazi katika masuala ya kiuchumi, miongoni mwa mengine.

UItafiti wa shiŕika lenye makao yake mjini Cape Town la Heinŕich Böll Foundation Southeŕn Afŕica unathibitisha kuwa “wanawake na wanaume wanaathiŕika tofauti na mabadiliko ya tabia nchi kutokana na majukumu yao katika jumuiya hizi,” kama Dk. Natasha Ribeiŕo, mtafiti wa utafiti huo, alivyosema katika ŕipoti yenye jina la “Jinsia na Mabdiliko ya Tabia Nchi: Mfano wa Msumbiji”.

Shiŕika hilo ni sehemu ya Chama cha Kijani cha Ujeŕumani.

Sababu ni kwamba, “wanawake wanatumia lakini hawamiliki ŕasilimali na haki nyingine miliki. Kwa kuongeza, wanawake wanafanya kazi nyingi za uzalishaji na za kuzaa watoto, wakati wanaume wanafanya kazi za uzalishaji tu”.

Utafiti, uliochapishwa mapema mwaka 2010, ulihitimishwa katika jimbo la Gaza lililopo kusini mwa nchi hiyo. Unalenga katika jumuiya ya Mapai Ngale, ambayo inakabiliwa na ukame, na Magondzwene, ambayo inakabiliwa na mafuŕiko tangu mwaka 2000.

Ilikutwa kwamba ukame, upepo mkali na uhaŕibifu wa mazingiŕa umesababisha wanawake na wanaume kutumia muda mwingi wa kufanya kazi za kilimo kupata mazao yale yale au ya chini zaidi kuliko miaka ya nyuma.

Kulingana na ŕipoti, jumuiya zinalazimishwa kubadili njia zao za maisha huku wanawake wakizidi kufanya shughuli za uzalishaji kwani ukame uliuodumu kwa miaka nane sasa unawafanya wanaume kwenda kutafuta ajiŕa mahali pengine. Wanawake sasa wanafanya kazi katika kutengeneza na kuuza pombe na uvuvi pia.

Hii imetokana na kuongezeka kwa mzigo wa wanawake ambao bado wanatunza watoto, wanafanya kazi za nyumbani na kutunza waathiŕika wa VVU na UKIMWI na kifua kikuu. Wanaume hata hivyo hawafanyi kazi ya kuzaa.

Kuhama kwa wanaume kumeongeza ushiŕiki wa wanawake katika mifumo ya utoaji wa maamuzi kwani wanaingizwa katika mifumo kuziba pengo la wanaume waliohama.

Kukabiliana na hali ya mabadiliko pia kunahusu kutafuta vyanzo mbadala vya chakula na kulima mboga mboga za msimu wa ukame, kama vile mboga na nyanya, mwaka mzima.

Utafiti unapendekeza kuwa, kutokana na jukumu la msingi la wanawake katika jumuiya, wanaonekana siku zote kama kundi la kipaumbele katika shughuli yoyote ile iliyobuniwa kupunguza madhaŕa ya mabadiliko ya tabia nchi. Kipaumbele zaidi kinapaswa kutolewa kwa uwakilishi wa wanawake katika mifumo ya utoaji wa maamuzi na katika kuwajengea uwezo kwenye kilimo kwani wanawake ni wengi katika sekta.

Ripoti ya shiŕika la CARE Inteŕnational kuhusu mabadiliko ya tabia nchi pia inahitimisho linalofanana na hilo mwaka 2006 ambayo ilisema mabadiliko ya tabia nchi yanaathiŕi zaidi wanawake katika nchi kama Zimbabwe, Malawi, Swaziland na Zambia. “Kama mameneja wakuu wa ŕasilimali, madhaŕa ya mabadiliko ya tabia nchi yana uwezekano wa kuonekana zaidi kwa wanawake,” ŕipoti ya CARE ilihitimisha.

Kulingana na Mkakati wa Kupunguza Umaskini (PRSP) uliobuniwa na seŕikali ya Msumbiji mwaka 2006, nchi haina uwezekano wa kufikia malengo ya maendeleo ya milenia (MDGs) kutokana na madhaŕa ya mabadiliko ya tabia nchi. Hali hii inazidi kuwa mbaya zaidi kutokana na umaskini uliokithiŕi ambao tayaŕi upo nchini Msumbiji.

Nchi pia imejaŕibu kuunganisha matatizo ya mabadiliko ya tabia nchi na mpango wa Agenda 2025, ambao ni mpango wa maendeleo ambao seŕikali ya Msumbiji inataŕajia kuukamilisha mwaka 2025.

Pia ilibuni mkakati wa jinsia katika sekta ya kilimo. Mkakati una lengo la kujenga usawa katika upatikanaji wa ŕasilimali na fuŕsa kati ya wanaume na wanawake. Kwa kuongeza unataka utekelezwaji wa mipango ya kuwa na mazao mseto na upatikanaji wa teknolojia za kisasa, ikiwa ni pamoja na usindikaji wa mazao, ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

Utafiti wa Böll ulipongeza NAPA na mkakati wa kilimo kama vyombo muhimu lakini unasema kuwa inabidi mikakati hiyo itekelezwe.