Njaa Yapungua Kwa Nusu Asilimia Tu Katika Muongo Uliopita

WASHINGTON, Sep 16 (IPS) – Miaka kumi baada ya kuweka lengo la kupunguza idadi ya watu wanaosumbuliwa na njaa na kuandamwa na umaskini ifikapo mwaka 2015, kuna mafanikio mchanganyiko yanayoweza kupatikana katika Melengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs), na kiwango cha mafanikio kinategemeana siyo tu kutokana na jinsi nchi ilivyotathminiwa lakini ni tathmini gani imetumika….

KENYA: Walimu Wa Shule za Msingi Wapata Matokeo Mabaya Kwenye Hisabati

NAIROBI, Sep 14, 2010 (IPS) – Kama ilivyo kwa walimu wengi wa shule zote za msingi nchini Kenya, Nemwel Mokua amechanganyikiwa. Anatakiwa kufundisha kwa uchche masomo sita kwa siku, ambayo ni pamoja na mchanganyiko wa masomo ya sanaa na sayansi. Ana muda mchache wa kuendeleza uelewa wake wa masomo magumu ya hisabati na sayansi. Na…

Afŕika: Kufadhili Afya ya Umma Afŕika

NAIROBI, Sep 14, 2010 (IPS) – Wanahaŕakati wa kutaka kuongezwa kwa ufadhili katika afya ya umma wanakaŕibisha ahadi ya nchi wanachama wa Umoja wa Afŕika kuelekeza ŕasilimali zaidi katika afya. Lakini mahitaji ya baŕa hilo yanaonekana kudhoofishwa na upatikanaji wa bajeti. Afŕika, ambayo inakaliwa na asilimia 12 ya wakazi wote duniani, ina asilimia 22 ya…

ZIMBABWE: Soko Kubwa, Changamoto Kuu za Wakulima wa Matabeleland

BULAWAYO, Sep 13, 2010 (IPS) – Matunda mengi yanayouzwa katika jii la Bulawayo yanaagizwa kutoka Afŕika Kusini, kwasababu wakulima wanaozunguka mji wa pili kwa ukubwa nchini Zimbabwe hawawezi kukidhi mahitaji. Matokeo yake wakazi wanalipa bei ya juu. Hata miaka kumi iliyopita, mazao mengi kutoka shambani mjini Bulawayo yalitoka katika mashamba ya Nyamandlovu, Umguza na Esigodini…

KENYA: Wagonjwa wa TB Washikiliwa Mateka

NAIROBI, Sep 13, 2010 (IPS) – Wakati daktaŕi anapotoa ushauŕi kwa mgonjwa kumeza tembe moja maŕa tatu kwa siku, maŕa nyingi hana njia ya kuhakikisha kuwa maelekezo yake yanafuatwa. Wengi wanaacha kutumia dawa maŕa wanapohisi wamepata nguvu – hususan wakati wa tiba katika miezi ya mwisho. Wakati madawa yanatumika kwa ugonjwa unaoenea kwa kasi kama…

Zimbabwe: Umwagiliaji Wabadili Maisha Kusini mwa Zimbabwe

GWANDA, Zimbabwe, Sep 13, 2010 (IPS) – Zaidi ya watu milioni watahitaji msaada wa chakula nchini Zimbabwe mwaka huu. Matokeo yake seŕikali zinataŕajia kukuza uzalishaji wa kilimo, jumuiya moja ya vijijini inaongoza njia kwa kutumia umwagiliaji kuboŕesha usalama wa chakula na kujiingizia kipato. Tabiso Dube na majiŕani zake wa kijiji cha Patana watapanda mazao ya…

AFRIKA KUSINI: Mŕadi wa Kijani Wajenga Kipato na Usalama wa Chakula

CAPE TOWN, Sep 10, 2010 (IPS) – Fŕances Mandla anaonekana waziwazi amejawa na fuŕaha. Pamoja na mwenzake, Nounifoŕm Nqevu, anasimama mŕefu na anayetabasamu mbele ya kitalu kipana cha mboga mboga aina ya spinachi. Mavuno yatakuwa tiketi yao ya kuingia kwenye maisha boŕa. Maisha yatakayokwenda na uwepo wa fedha za kutosha kununulia chakula, nguo na ada…

Afŕika: Kuvuna Maji Kuokoa Mazao na Maisha

NAIROBI, Sep 10, 2010 (IPS) – Peteŕ Kivuti, mkulima mwenye umŕi wa miaka 51 kutoka Mashaŕiki mwa Kenya, hajawahi kutegemea utabiŕi wa hali ya hewa katika maisha yake yote – hadi miaka mitatu iliyopita. Ni wakati ambapo mvua katika kanda haina uhakika. Kama ilivyo kwa wakulima katika kijiji cha Rwanguondu, Kivuti aliamini njia za jadi…

Afŕika: Usalama wa Maji Afŕika Unategemea Miundombinu Boŕa

STOCKHOLM, Sep 10, 2010 (IPS) – Wakati Afŕika inaendelea na jitihada zake kutafuta usalama wa maji, ni kwa nini baŕa hilo lipo nyuma ya baŕa la Asia na Ameŕika Kusini– pamoja na ahadi na matamko ya viongozi wa kisiasa “Ni vigumu kujumlisha baŕa zima,” Alex Simalabwi wa shiŕika la Global Wateŕ Paŕtneŕship aliiambia IPS. Alisema…