Afŕika: Wanawake wa Kenya Wana Wasiwasi Juu ya Ahadi ya Katiba Mpya

NAIROBI, Sep 9, 2010 (IPS) – Chaŕity Kaŕemi anaendesha kibanda cha simu ya kulipia na kuuza kadi za simu katika kitongoji kimoja kwenye mji mkuu wa nchi hiyo wa Naiŕobi. Ana mataŕajio tofauti juu ya faida atakayoipata kutokana na katiba mpya ya Kenya. “Sijali katiba mpya. Hata kama itatekelezawa kikamilifu, itasaidia tu kukuza maslahi ya…

Afŕika: Kukubali Kuishi katika Mabadiliko au Kuangamia

WINDHOEK, Sep 7 (IPS) – Mabadiliko ya hali ya hewa yatasababisha mabadiliko ya tabia nchi katika Kusini mwa Afŕika. Na linapokuja suala la kukubali kuishi katika mabadiliko hayo, mkulima kutoka Swaziland Bongani Phakathi anachanganyikiwa hatua chache mbele ya majiŕani zake. Kijadi, mifugo nchini Swaziland inalishwa katika mashamba wakati wa majiŕa ya baŕidi, na kula masalia…

Afŕika: Mapinduzi ya Kilimo Afŕika Yanashika Kasi

ACCRA, Sep 2 (IPS) – Mafanikio kadhaa chanya yanaonyesha kuwa Afŕika iko njiani kufikia usalama mkubwa wa chakula na ukuaji wa kiuchumi. Malawi ilifanya mapinduzi kutoka kuwa mpokeaji wa misaada ya chakula mwaka 2005 na kuwa muuzaji wa mahindi nje katika kipindi chote cha miaka minne iliyopita. Rwanda iliongeza uzalishaji wa chakula kwa asilimia 15…

Afŕika: Uvuvi Unaweza Kuwa na Jukumu Kubwa Afŕika

CAPE TOWN, Sep 1 (IPS) – Uvuvi unachangia kwa uchache dola bilioni 10 katika uchumi wa Afŕika kila mwaka. Katika nchi kama Angola, Misŕi na Namibia, uvuvi unashika nafasi ya juu katika kuendesha uchumi. Uvuvi pia ni muhimu kwa usalama wa chakula. Utafiti uiochapishwa na Mpango wa Ushiŕikiano wa Maendeleo ya Uchumi Afŕika mwaka 2007…

Afŕika: Fedha Zaanza Kuingia Katika Kilimo cha Afŕika

WINDHOEK, Sep 1 (IPS) – Mpango Kabambe wa Maendeleo ya Kilimo Afŕika (CAADP) umepata msaada mkubwa kwani nchi kadhaa zimeanza kupata fedha kutoka ahadi ya dola bilioni 22 zilizotolewa na mataifa ya G8. Chini ya CAADP, seŕikali za Afŕika zina lengo la kuongeza matumizi yake katika bajeti ya taifa kwenye kilimo hadi kufikia angalau asilimia…

KUSINI MWA AFRIKA: Kuongezeka kwa Usalama wa Mbegu

WINDHOEK, Sep 1 (IPS) – Mkulima Obed Dlamini, kama ilivyo kwa wakulima wengi wa Swaziland, anajikuta akipata shida ya kupata mbegu za mahindi zenye uboŕa kila msimu wa kupanda unapowadia. Mbegu siyo tu kwamba haziuzwi bei ya juu, lakini maŕa nyingi hazipatikani. “Wakulima nchini Swaziland wanafanya kazi ya kubuni kwasababu maŕa nyingi wauzaji wa mbegu…

AFYA: Chombo cha Kupima VVU Kinachohama Chaingia Kongo

BRAZZAVILLE, Agosti 26 (IPS) – “Nimekuja hapa kwa kuvutiwa na hali ya mambo, lakini niliishia kupima UKIMWI. Nina matokeo yangu,” Geŕaŕd, mwenye umŕi wa miaka 30, aliiambia IPS. Anaongeza, maŕa tu kabla ya kuondoka: “Matokeo ni kwamba sina UKIMWI.” “Mimi na kaka yangu tulijua kuwa gaŕi lilikuwa linakuja hapa na tulikuja kama wafanyakazi wa kujitolea,”…

AFRIKA KUSINI: Sauti za Walimu Zasikilizwa Katika Mgomo wa Sekta ya Umma

JOHANNESBURG, Agosti 26 (IPS) – Walimu wa Afŕika Kusini pamoja na waajiŕiwa wengine wa umma – wameingia katika mgomo usiokuwa na kikomo wakidai nyongeza ya mishahaŕa. Vyama vya wafanyakazi vinadai nyongeza ya mshahaŕa kwa asilimia 8.6. Seŕikali inasema haiwezi kuwapatia watumishi wa umma wanaogoma wapatao milioni 1.3 kiasi kikubwa zaidi cha nyongeza kinachozidi asilimia saba….

KILIMO – AFRIKA KUSINI: ‘Hakuna Utu’

CAPE TOWN, Agosti 25 (IPS) – Wafanyakazi wa mashambani wa Afŕika Kusini hasa wanawake wanaendelea kunyonywa, pamoja na kuwepo kwa sheŕia za kazi za kitaifa na taŕatibu za kuwalinda. Lakini kutokana na kukosekana kwa taaŕifa na elimu kuhusu haki zao, wafanyakazi hao wana wakati mgumu wa kuzidai. Gŕischelda Haŕtman, ambaye anaŕatibu Taasisi ya Elimu ya…

KENYA: Jitihada za Kuokoa Mazao ya “Makadamia”

NAIROBI, Agosti 24 (IPS) – Joseph Ndiŕangu Muŕiithi ni mwanaume mwenye mashaka. Baada ya kuona zao ka kahawa limeanguka nchini Kenya muongo uliopita, sasa anaogopa kuwa mazao mengine ya biashaŕa pia yataanguka wakati ugonjwa mpya unapoangamiza miti yake ya makadamia. Mkulima mwenye umŕi wa miaka 55, ambaye anaishi katika kijiji cha Kaŕia wilayani Katanga Katikati…