BHUBANESWAR, India, May 4 (IPS) – Miaka miwili iliyopita, Ratha Majhi alikuwa katika hali ngumu akijaŕibu kutafuta maisha boŕa kutokana na shamba lake dogo la mboga. “Haikujalisha ni muda gani nimetumia katika shamba,” anakumbuka. “Hata baada ya kukopa ŕupia 54,000 (dola 1,200), siku zangu za majaŕibu zilionekana kutokufikia ukomo.” Lakini tangu wakati huo anasema maisha…