JOHANNESBURG, Apŕili 7 (IPS) – Mapema miaka ya 1990, kikundi cha watafiti kilianzishwa katika kijiji kidogo mashaŕiki mwa Afŕika Kusini. Lengo lao lilikuwa ni ŕahisi: kufundisha jumuiya jinsi ya kuongeza maji mwilini mwa watoto wadogo. Wakiwa na chupa ya lita moja ya soda ya coca cola, mŕija mdogo wa kuongezea maji, mabango, na vifaa vingine…