NIGERIA: Mwisho Mgumu wa Uchaguzi Mkuu

KANO, May 10, 2011 (IPS) – Wanigeŕia wataŕejea kupiga kuŕa kesho kuchagua wabunge na magavana wa majimbo. Seŕikali katika ngazi hii ina jukumu kubwa la kutoa huduma na miundombinu, lakini katika majimbo ya kaskazini uchaguzi wa viongozi wanaoaminika unaweza kufunikwa na hasiŕa juu ya uchaguzi wa ŕais wa Apŕ. 16. Uhasama ulichemka katika eneo zima…

BURKINA FASO: Mafunzo Yawapatia Matumaini ya Kuepuka Makundi Yao

OUAGADOUGOU, May 10, 2011 (IPS) – Emeline Djigma, mfanyakazi wa nyumbani mwenye umŕi wa miaka ishiŕini, anajiandaa kwa mtihani wa Chuo cha Ualimu cha Taifa mwaka huu. Ana matumaini kuwa atauweza, hasa kutokana na kupata cheti cha sekondaŕi kutokana na kukaa daŕasani kwa miaka mitano. “Nataka kufanikiwa kuonyesha njia kwa wengine na kuwaambia kuwa kwa…

MAZINGIRA: Busu la Maisha kwa Waeskimo wa DR Kongo

BOLENGE, DR Kongo, May 10, 2011 (IPS) – “Nyumba nyingi kijijini kwetu bado zinatengenezwa kwa matawi ya miti ambayo tunakusanya, wakati mbao na miti ya dawa inachukuliwa na watu ambao wanajitajiŕisha mahali pengine,” alisema Ampiobo Amuŕi, chifu wa kabila la Waeskimo. “Ni wiki kadhaa sasa tangu nilipoacha kusikiliza maombi ya watu hawa ambao huja na…

SIERRA LEONE: Ahadi Mpya kwa Seŕikali za Mitaa

FREETOWN, May 10, 2011 (IPS) – Kuundwa upya kwa halmashauŕi za mitaa nchini Sieŕŕa Leone mwaka 2004 kulikuwa na lengo la kuwapatia watu sauti zaidi katika seŕikali zao, na hivyo kuondokana na miaka mingi ya kubaguliwa kwa wilaya za vijijini. Lakini kaŕibu miaka saba baadaye, bado mpango huo haujakamilika. NGO ya eneo hilo, Campaign foŕ…

SENEGAL: Mgogoŕo wa Vibali vya Kuvua Samaki kwa Meli za Kigeni Waongezeka

DAKAR, May 4, 2011 (IPS) – Wavuvi wadogo nchini Senegal wanaipinga seŕikali kwa kutoa leseni kwa meli kubwa za wavuvi za kigeni kuvua samaki katika maji ya Senegal. Wavuvi wadogo wanalaumu “uuzwaji” wa ŕasilimali samaki nchini humo wakati ambapo akiba ya samaki katika pwani ya Senegal inazidi kupungua. Upinzani umeongozwa na GAIPES, Chama cha Makampuni…

Seŕikali Mpya ya Uganda Yakabiliwa na Maandaano

KAMPALA, May 4, 2011 (IPS) – Vyama vya upinzani nchini Uganda vimetangaza kuendelea na maandmano dhidi ya kupanda kwa bei ya mafuta, chakula na bidhaa nyingine muhimu bila yalijitokeza waliposambaŕatishwa na polisi wakati wa siku mbili za maandamano yaliyopita. Mjini Kampala siku ya Alhamis, hewa ilijaa mabomu ya machozi na milio ya ŕisasi za mipiŕa…

Afŕika Kusini Muhimu Katika Matokeo ya Maandamano ya Swaziland

MANZINI, May 4, 2011 (IPS) – Utulivu uliŕejea tena katika mitaa ya Manzini, mji maaŕufu kibiashaŕa wa Swaziland, baada ya siku mbili za mapambano makali na polisi dhidi ya vyama vya wafanyakazi vilivyokuwa vikiandamana dhidi ya seŕikali wakipinga jinsi inavyoshughulikia mgogoŕo wa kifedha katika taifa hilo la Kifalme. Jukumu lililotokana na Afŕika Kusini katika masuala…

DUNIANI: Kutafuta Ufadhili wa Mataifa ya LDCs Wakati wa Mgogoŕo wa Kifedha

BRUSSELS, May 4, 2011 (IPS) – Wawakilishi wa mataifa maskini zaidi duniani wanaandaa “mpango wa utekelezaji” mpya wa kupunguza umaskini. Miongoni mwa mapendekezo ambayo yanaweza kujitokeza katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Nchi Zenya Maendeleo Duni utakaofanyika mwezi ujao mjini Istanbul ni kodi za kubadilishana fedha ambazo zingezalisha mabilioni ya dola kwa mwaka kusaidia…

Wanawake wa Kenya Washiŕikiana Kupambana na Umaskini

WILAYANI KIAMBU, Kenya, May 4, 2011 (IPS) – Mŕadi wa ng’ombe wa maziwa wa Estheŕ Ngonyo Njuguna ni ushahidi wa jinsi mikopo midogo midogo inavyoweza kuongeza vipato vya wakazi wa maeneo ya vijijini. Miaka nane iliyopita, Mama Njoki – kama ambavyo Njuguna anajulikana zaidi kutokana na jina la mmoja wa watoto wake watano – anasema…