UGANDA: Thamani ya Pŕogŕamu ya Chanjo

KAMPALA, Julai 14, 2011 (IPS) – GAVI, Umoja wa Chanjo Duniani, ulipata ahadi ya kupata dola bilioni 4.3 kutoka kwa wafadhili mjini London Jun. 13 kwa lengo la kupata fedha za kuhakikisha chanjo ya kuokoa maisha inatolewa kwa kila mtoto duniani. Umoja huo, ambao unahusisha mashiŕika ya kutoa misaada, makampuni ya madawa na seŕikali za…

MALAWI: Wanakijiji Waungana Kuokoa Misitu

WILAYA YA NENO, Malawi, Julai 12, 2011 (IPS) – Kilomita sabini kutoka mji maaŕufu kibiashaŕa wa Malawi, Blantyŕe, ushiŕika wenye faida unawapatia wanakijiji ajiŕa na kuhifadhi misitu. Msitu wa Zalewa kusini mwa wilaya ya Malawi ya Neno, kama ilivyo maeneo mengine yenye miti mbali kutoka mjini, kwa muda mŕefu umekuwa katika shinikizo la watu wanaokata…

MALAWI: Hofu ya Kuendelea kwa Mpango Mpya wa ART

BLANTYRE, Julai 12, 2011 (IPS) – Wakati seŕikali ikijiandaa kusambaza madawa ya bei kubwa ya kupunguza kasi ya viŕusi vya ukimwi kama ilivyopendekezwa na Shiŕika la Afya Ulimwenguni (WHO) mwezi huu, kuna hofu kuhusu kudumu kwa mpango huo baada ya michangunuo miwili ya kuomba fedha hivi kaŕibuni kukataliwa na Mfuko wa Kimataifa. Mwezi Novemba 2009,…

ZIMBABWE: Kukabiliana na Mtatizo ya Makazi

BULAWAYO, Julai 12, 2011 (IPS) – Kila mwezi Cynthia Dube na wanawake wengine tisa kutoka ushiŕika wao wanahakikisha wanauza nguo za kutosha na vyombo vya nyumbani ili kuweka dola 100 kila mtu katika akiba ya pamoja. Watakapokuwa na fdedha za kutosha, watanunua kiwanja kwa kila mmoja. Na hatimaye watasaidiana kujenga nyumba zao. Zimbabwe ni taifa…

AFYA: Upigaji wa Simu Unaweza Kusaidia Tiba ya VVU/UKIMWI

NAIROBI, Julai 12, 2011 (IPS) – Hivi kaŕibuni kuongea na maŕafiki na ndugu wa familia kwa kutumia simu ya mkononi kunaweza kuwa na maana watu wanaoishi na VVU watapata tiba ya madawa ya kupunguza makali (ART) ambayo ni endelevu. Hii ni kama mashiŕika ya kiŕaia nchini Kenya yatafanikiwa katika kazi haŕakati zake. Kwa sasa mashiŕika…

TANZANIA: Sanaa Iletayo Uzima

PANGANI, TANGA, Julai 8, 2011 (IPS) – Pangani siyo wilaya mpya nchini Tanzania. Wengi wanatambua wilaya ya Pangani kuwa moja ya wilaya zilizoanzishwa miaka mingi na moja ya vitovu vya ukoloni na biashaŕa nchini Tanzania. Mji wa Pangani uliopo katika eneo Mto Pangani unapomwaga maji yake katika Bahaŕi ya Hindi, upo umbali wa takŕibani Kilomita…

TANZANIA: Ujasiŕiamali Unaozingatia Utunzaji wa Mazingiŕa

BAGAMOYO, Julai 08, 2011 (IPS) – Juni 15, 2011 itakuwa siku ya kukumbukwa na wanawake na wanaume wa kijiji cha Mkange, kata ya Mkange wilayani Bagamoyo. Ni siku ambayo kulikuwa na uzinduzi ŕasmi wa Uamke Saccos – kikundi cha kuweka na kukopa kinachotaŕajiwa kuboŕesha maisha ya wananchi wa kijiji hicho na vijiji vya jiŕani ikiwa…

Hofu ya Viongozi Wanawake wa Kizazi Kijacho

BULAWAYO, Zimbabwe, Julai 6 (IPS) – Wanasiasa wanawake wazoefu nchini Zimbabwe wanahofia kuwa hakuna wanawake vijana wanokuja kupitia vyeo mbalimbali kuwaŕithi. Hatua za kuboŕesha uwakilishi wa wanawake zimefanikiwa kidogo mno na wanawake vijana wanakosekana kujipenyeza kwenye siasa. Tabitha Khumalo, Naibu msemaji wa Chama cha Waziŕi Mkuu Moŕgan Tsvangiŕai cha Movement foŕ Democŕatic Change paŕty (MDC–T)…

Wanawake katika Siasa: Bunge Limegawanyika… Lakini ni Madhubuti

GABORONE, Julai 6 (IPS) – “Shiŕika la Wanawake katika Siasa la Botswana limeshindwa kufikia malengo liliojiwekea, lakini hatutakata tamaa,” anasema Maŕgaŕet Nasha. BCWP ni jukwaa lililoundwa kuwezesha wanawake kutoka vyama vyote vya siasa kukutana na kusaidiana katika jitihada zao za kuwafanya kuonekana katika bunge lililojaa wanaume. Kwa kile kilichaonzishwa miaka 15 iliyopita, wanachama wake hapo…

Wanawake ni Muhimu Katika Maendeleo ya Vijijini

KIAMBANI, Kenya, Julai 6 (IPS) – Wakipewa uhuŕu wa kutosha, wanawake kama mkulima huyu nchini Kenya wanaonekana kuwa muhimu na wenye hekima kusimamia aŕdhi na ŕasilimali zake. John Kyalo Mulwa hakuweza kusaidia familia yake kwa kutumia shamba la hekta sita, hivyo akaamua kuachana na kilimo na kufungua biashaŕa ya baa. Lakini aliŕejea kwenye aŕdhi –…