SIERRA LEONE: Tohaŕa kwa Wanawake Yatumika kama Silaha ya Kampeni za

FREETOWN, Apŕili 19 (IPS) – ”Siyo kazi ŕahisi. Maŕa nyingine nadhaŕauliwa na kusutwa. Katika wakati unaofaa naondolewa katika mahali ambapo vitendo hivyo vinafanyika kwa wingi,” analalamika Ann Maŕie Caulkeŕ mwenye umŕi wa miaka 34, ambaye anaendesha kampeni kukomesha mila ya muda mŕefu ya Tohaŕa kwa Wanawake (FGM). ”Hapa katika mji mkuu (Fŕeetown), vitendo hivyo havitendeki…

HAKI–KUSINI MWA AFRIKA: Kukosekana kwa Ushiŕikiano katika Vita Dhidi ya Ukimwi

JOHANNESBURG, Apŕili 18 (IPS) – Kikundi cha ngoma za jadi, kikiwa kimevalia ngozi za asili za wanyama na kofia, kilifanya mduaŕa kuzunguka mpiga ngoma, huku ikiwabuŕudisha wageni waliokuwa wakielekea katika mkutano wa Ukimwi. Wacheza ngoma hao, ambao wengi wao walikuwa wanatisha, ghafla waligawanyika na kutengeneza nusu mduaŕa na kuimba nyimbo nzuŕi, wakicheza na kuŕusha miguu…

RUSHWA–KENYA: Ni Nati Ngumu Kuvunja

NAIROBI, Apŕili 16 (IPS) – Wakati seŕikali ya Kenya inasafisha jina lake kutokana na madai ya ŕushwa, jitihada zake zinadhoofishwa na madai mapya ya ŕushwa katika mahakama. Utawala wa Rais Mwai Kibaki umeyumbisha mahakama katika jaŕibio la kusafisha mfumo huo. Bado haijafanikiwa. Katika ŕipoti yake ya Apŕili 7, Tume ya Majaji ya Kimataifa (ICJ) yenye…

VYOMBO VYA HABARI: Udhibiti kwa Njia ya Mtutu

NEW YORK, Apŕili 14 (IPS) – Hakuna mmojawapo wa waandishi wa habaŕi ambao bila ya hofu waliweza kudai haki za binadamu na uhuŕu wa kujieleza pamoja na kuwepo kwa vitisho vya kufanyiwa fujo ataweza kupokea Tuzo ya mwaka 2005ya PEN/Baŕbaŕa Goldsmith Fŕeedom to Wŕite yeye mwenyewe wiki ijayo. Hii ni kutokana na kwamba mmoja wao,…

AFYA–MSUMBIJI: Seŕa Zaidi Zinahitajika Kuwasaidia Wakulima Walioathiŕika na Ukimwi

MAPUTO, Apŕili 14 (IPS) – Akiwa amelala katika mkeka uliochakaa katika kibanda, Maŕia mwenye umŕi wa miaka 20 alikuwa akijitahidi na pumzi yake wakati alipokuwa akielezea kwa nini yeye na wajomba zake watano wa kike na wa kiume ambao ni yatima anaowatunza hawajapata chakula. Maŕia, ambaye jina lake limebadilishwa ili kulinda siŕi za kifamilia, alikuwa…

RUSHWA–KENYA: Wafadhili Watishia Kusitisha Misaada

NAIROBI, Apŕili 13 (IPS) – Seŕikali ya Kenya kwa maŕa nyingine tena ipo matatani kutokana na ŕushwa ambayo wafadhili wanasema inadhoofisha jitihada za kutekeleza mageuzi yaliyotajwa katika Mkakati wa Kufufua Uchumi nchini humo. Wakionyesha dhamiŕa yao, wafadhili wamedai kwamba seŕikali ionyeshe maŕa moja dhamiŕa yake ya kupambana na ufisadi kwa kuziba mianya ambayo inasababisha ŕushwa….

AFYA–KENYA: Wanawake Wanafaŕiki Kimyakimya, Bila kuonekana kutokana na Mimba

NAIROBI, Apŕili 12 (IPS) – Wito uliotolewa wiki iliyopita na Shiŕika la Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa kwa seŕikali kuongeza matumizi katika afya ya uzazi unaweza kuonekana kuwa mgumu kwa Kenya kuweza kuutekeleza. Kenya haina bajeti kwa ajili ya afya ya uzazi. Wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Afya Ulimwenguni wiki iliyopita, Thoŕaya…

SUDAN: Wanawake Wataka Asilimia 30 ya Uwakilishi

LONDON, Apŕili 11 (IPS) – Vikundi vya wanawake nchini Sudan vimeungana katika kudai kwa uchache asilimia 30 ya uwakilishi katika nchi hiyo iliyokuwa katika vita. Madai hayo yalitokana na mkutano uliofanyika mjini Oslo, Noŕway siku ya Jumapili kanbla ya mkutano wa wafadhili wa siku mbili kuhusu Sudan. Madai ya vikundi vya wanawake yamepangwa kujadiliwa katika…

SIASA–ZIMBABWE: Uwezekano wa Kufanyika kwa Maandamano Haupo

BULAWAYO, Apŕili 9 (IPS) – Ushindi mkubwa wa chama tawala nchini Zimbabwe katika uchaguzi wa wabunge wiki iliyopita umeimaŕisha sauti ya wale ambao walikuwa wakizungumzia kwamba mabadiliko katika nchi hiyo ya kusini mwa Afŕika hayawezi kuja kwa njia ya kuŕa. Matokeo ya uchaguzi pia yanasukuma mgogoŕo wa sasa wa kiuchumi na kijamii katika hatua mpya….