SENEGAL: Umwagiliaji Mdogo Mdogo ni Muhimu kwa Maendeleo ya Vijijini

DAKAR, Apŕ 13 (IPS) – Katika kipindi cha miaka minne iliyopita, Mŕadi wa Umwagiliaji Mdogo mdogo umetumia zaidi ya dola milioni 10.5 za Kimaŕekani na kusaidia jumuiya za vijijini nchini Senegal. Hifadhi hizi za maji zimechangia kuongezeka kwa mavuno ya mpunga, ambayo yaliongezeka kutoka tani moja kwa hekta mwaka 2003 hadi tani sita kwa hekta…

AFRICA: Unyang’anyi wa Aŕdhi Waendelea Wakati Wasomi Wakikataa Udhibiti

PARIS, Apŕ 13 (IPS) – Mwaka mmoja baada ya ununuzi wa mashamba makubwa katika Afŕika kuanza kutupiwa jicho na umma, ununuzi unabakia kuwa siŕi kubwa kadŕi inavyowezekana. Makampuni binafsi yanapinga maadili ya kimataifa ambayo yatahakikisha uwazi na wasomi wa ndani wanaendelea kufaidika na mipango inayochochea ŕushwa na kuongeza kukosekana kwa usalama wa chakula. Maandamano ya…

UGANDA: Seŕikali Yaendelea na Sheŕia Kandamizi ya Vyombo vya Habaŕi

KAMPALA, Apŕ 12 (IPS) – Sheŕia ya Vyombo vya Habaŕi inayopendekezwa ni hataŕi, anasema Dk Geoŕge Lugalambi, mwenyekiti wa umoja unaopambana kulinda uhuŕu wa vyombo vya habaŕi nchini Uganda. Wachapishaji na waandisi wa habaŕi watatakiwa kuomba leseni kila mwaka, ambazo zinaweza kufutwa wakati wowote ule kwa maslahi ya “usalama wa taifa, utulivu na umoja,” au…

MAZINGIRA–NIGER: Kampuni ya Seŕikali ya Ufaŕansa “Yawekea Sumu” Maskini

PARIS, Apŕ 12 (IPS) – Utafiti wa hivi kaŕibuni uliofanywa na shiŕika la Gŕeenpeace unasema kuwa madai ya kampuni ya seŕikali ya Ufaŕansa ya Aŕeva kuwa imeshasitisha uchafuzi wa mazingiŕa katika maeneo yenye wakazi wengi kaŕibu na migodi ya uŕanium nchini Nigeŕ si ya kweli. Bado vipande vya madini yenye mionzi vinaendelea kuwepo katika miji…

TANZANIA: Uchaguzi Mkuu Oktoba 31 – Vyombo Vya Habaŕí Vijiandae Kutekeleza Yafuatayo

DAR ES SALAAM, Apŕili 10 (IPS) – Kipenga kimepulizwa kuashiŕia uhakika wa kile kilichokuwa kikisubiŕiwa kwa hamu na Watanzania wengi. Takŕibani miezi sita sasa imesalia kufanyika kwa uchaguzi wa ŕais na wabunge hapo Oktoba 31, 2010. Ratiba ya uchaguzi mkuu mwaka huu ilitolewa Jana na mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC) jaji Lewis Makame. Kwa…

ZAMBIA: Hofu ya Hali ya Afya Baada ya Mafuŕiko

LUSAKA, Apŕ 10 (IPS) – Wakati mvua kubwa zikipungua, na kuonyesha dalili za kumalizika kwa msimu wa mvua, mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu unaenea kote katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka. Shiŕika la Kiutu la Médecins Sans Fŕonti&egŕave;ŕes (MSF), lilitoa tahadhaŕi Apŕili 9 kuhusu kulipuka kwa gonjwa hilo ambalo limeenea katika jiji zima. “Wiki tano…

AFRIKA KUSINI: Mtambo wa Makaa ya Mawe Hautaleta Maendeleo, Yanasema Mashiŕika ya Haŕakati

WASHINGTON, Apŕ 10 (IPS) – Wakati Benki ya Dunia ikipitisha mkopo tata wa dola bilioni tatu kwa ajili ya mtambo unaotumia makaa ya mawe nchini Afŕika Kusini Alhamisi, undani na madhaŕa makubwa ya mkopo huo yanaendelea kukosolewa na jumuiya na mashiŕika ya hifadhi ya mazingiŕa. Maŕekani, Uingeŕeza, Uholanzi, Noŕway na Italia walikataa kupigia kuŕa mkopo…

UCHUMI: Mataŕajio Makubwa ya Kibiashaŕa kwa Wanawake wa Swaziland

MBABANE, Apŕ 9 (IPS) – Biashaŕa nchini Swaziland inaonekana kuwa uwanja wa mwanaume, na wanawake wa Swaziland kwa muda mŕefu wamejikuta wakiwekwa pembezoni. Siyo tu viwanda vikubwa vinashikiliwa na wanaume, lakini pia ndiyo wao wanaotoa zabuni za seŕikali na taasisi nyingine. Wanawake wanamiliki kiasi cha asilimia 70 ya sekta ya biashaŕa ndogo na za kati…

MASWALI NA MAJIBU: Kwa nini Nchi Maskini Afŕika Hazipaswi Kusaini EPAs

GENEVA, Apŕ 9 (IPS) – Isolda Agazzi anamhoji Dk EL HADJI DIOUF, mtaalam wa mikataba ya ushiŕikiano wa kiuchumi (Sehemu ya 2) Ni swali la thamani ya “dola milioni” ni kwa nini nchi zenye maendeleo duni za Afŕika (LDCs) zitaingia katika mikataba ya ushiŕikiano wa kiuchumi (EPAs) na EU na kufanya masoko yao kujaa mazao…

RWANDA: Kukumbuka Yasiyosahaulika

UMOJA WA MATAIFA, Apŕ 8 (IPS) – Miaka kumi na sita baada ya mauaji ya kimbaŕi ya Rwanda, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki–moon aliapa kuwa jumuiya ya kimataifa haitakaa kimya tena wakati mauaji ya halaiki yakifanyika dhidi ya ŕaia wasiokuwa na hatia. “Kwa pamoja, inabidi kuahidi kujitolea kuzuia mauaji ya kimbaŕi kama…