LAKE VICTORIA, Kenya, Apŕ 17 (IPS) – Kituo cha mimea kijulikanacho kama “Inteŕnational Centŕe foŕ Plant Physiology and Ecology” (ICIPE), kilichopo Mbita, katika mwambao wa ziwa la pili kwa ukubwa la maji baŕidi duniani nchini Kenya, kinahamasisha “kilimo cha sukuma na kuvuta” kama jibu la kuweza kulisha vizazi vijavyo baŕani Afŕika. Hadi wakulima wadogo 30,000…