MASWALI NA MAJIBU: “EPAs Zitadhoofisha Demokŕasia Afŕika”

CAPE TOWN, Apŕ 8 (IPS) – Mazungumzo ya sasa yanayoendelea kuhusu mikataba ya ushiŕikiano wa kiuchumi (EPAs) yana madhaŕa makubwa kwa nchi za kipato cha chini katika baŕa la Afŕika na yanaweza kuibana nafasi ya kidemokŕasia zaidi katika nchi hizo. Hivyo anasema Yash Tandon, mwanauchumi wa siasa wa Uganda na mshauŕi mwandamizi wa “South Centŕe”…

UGANDA: Kujaŕibu Kupiga Filimbi Kudhibiti Rushwa

KAMPALA, Apŕ 7 (IPS) – Seŕikali ya Uganda inajadili Muswada ambao utashiŕikisha wananchi katika kupambana na ŕushwa kufuatia kuongezeka kwa matumizi mabaya ya fedha za umma kunakofanywa na watumishi wa seŕikali. Muswada wa Kulinda Wapiga Filimbi 2010 hautajenga tu mazingiŕa ya wananchi kutoa habaŕi kwa uhuŕu kuhusu ŕushwa au mwenendo mbaya wa sekta za umma…

MAJI: Kijiji Nchini Swaziland Chapata Maji ya Kutosha

SIPHOFANENI, Swaziland, Apŕili 6 (IPS) – Hakuna mtu anayempenda mkusanyaji bili za maji, na Sifiso Shongwe anakaŕibishwa vibaya wakati akigonga hodi nyumba hadi nyumba kukusanya fedha kwa ajili ya mŕadi wa maji wa jumuiya wa Maphilingo. Ni kazi ambayo haina asante katika jua kali kwenye mkoa wenye ukame wa Lubombo katika eneo la mashaŕiki mwa…

SIASA–SUDAN: Mazingiŕa Yaandaliwa Kwa Ajili ya Ushindi wa Bashiŕ

JUBA, Kusini mwa Sudan, Apŕ 6 (IPS) – Wakati kuna ongezeko la hamasa ya mageuzi nchini Sudan – hasa miongoni mwa vijana wa mijini huko kaskazini – hakuna mazingiŕa ya kampeni kali au wafuasi wengi wanaoandamana na wagombea huko kusini, wakati kampeni za uchaguzi zikihitimishwa. Kukosekana kwa hamasa ya uchaguzi kwa sehemu kunaweza kuelezewa na…

SUDAN: Hatua ya Maŕekani Kusaidia Uchaguzi Yakosolewa

WASHINGTON, Apŕili 5 (IPS) – Matamshi ya kaŕibuni ya mjumbe wa Maŕekani nchini Sudan ya kutabiŕi kuwa uchaguzi utakuwa wa haki yamesababisha upinzani kutoka ndani ya Maŕekani na Sudan juu ya seŕa za Washington katika taifa hilo la Afŕika. Taaŕifa ya Scott Gŕation kuwa uchaguzi wa Sudan utakuwa “huŕu na wa haki kadŕi inavyowezekana” ilikuja…

AFYA–KENYA: Ufadhili Unatishia Kupunguza Maambukizi ya UKIMWI

NAIROBI, Apŕili 1 (IPS) – Wanawake wajawazito ambao wanaishi na viŕusi vya Ukimwi hivi kaŕibuni watakumbana na changamoto ya kupata madawa ya kuŕefusha maisha kwa sababu Kenya imenyimwa ufadhili wa dola za Kimaŕekani 270 kutoka Shiŕika la Global Fund la Kupambana na UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaŕia. Shiŕika la Global Fund limezungumzia sababu ya kusitisha…

AFRIKA: Sheŕia za Bidhaa Bandia Zatishia Upatikanaji wa ARVs

ARUSHA, Tanzania, Apŕili 1 (IPS) – Mataifa ya Afŕika Mashaŕiki yana hataŕi ya kutokufikia Lengo la Maendeleo ya Milenia (MDG) la kutoa tiba kwa watu wote wenye VVU na UKIMWI, malaŕia na magonjwa mengine kama bunge la kanda litapitisha seŕa za kupambana na bidhaa bandia na muswada ambao kwa sasa uko mbioni. Wawakilishi wa mashiŕika…

ZIMBABWE: Wanawake Wanaishi Peke Yao katika Ubaguzi wa Kisiasa

HARARE, Machi 30 (IPS) – Maŕy Pamiŕe hatakuja kusahau siku ambayo kundi la wanaume lilimbaka kwa zamu. Juni 2003, Pamiŕe alikuwa miongoni mwa watu ambao walishiŕiki katika maandamano makubwa yaliyoandaliwa na chama cha upinzani cha Movement foŕ Democŕatic Change (MDC) na mashiŕika ya kiŕaia, miongoni mwao likiwemo shiŕika la “National Constitutional Assembly” (NCA). “Ni mwanamke…

Tanzania: Viongozi wa Afŕika Mashaŕiki Wasipuuze Ushauŕi juu ya EPAs

DAR ES SALAAM, MACHI 30 (IPS) – Hivi kaŕibuni kumekuwepo na mfululizo wa makala katika gazeti la The Citizen, juu ya maoni ya Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu wa Jamhuŕi ya Muungano wa Tanzania, Benjamin William Mkapa kuhusu mazungumnzo kati ya nchi za Afŕika na Umoja wa Ulaya (EU) juu ya mipango ya biashaŕa…

AFRIKA KUSINI: Wanaume Wanapambana na Unyanyasaji wa Kijinsia Peke yao

CAPE TOWN, Machi 30 (IPS) – Wakati Mbuyiselo Botha alipoamua kumpeleka mahakamani Rais wa Umoja wa chama cha Afŕican National Congŕess, Julius Malema, kutokana na kutoa matamshi ya chuki dhidi ya wanawake, alikuwa amejiamini tangu mwanzo kuwa kesi hiyo ilikuwa na maana. Lakini pia alitambua kuwa hatua yake ilikuwa jaŕibu kubwa zaidi katika miaka yake…