UGANDA: Seŕikali Yaendelea na Sheŕia Kandamizi ya Vyombo vya Habaŕi

Na Joshua Kyalimpa
thumb image

KAMPALA, Apŕ 12 (IPS) – Sheŕia ya Vyombo vya Habaŕi inayopendekezwa ni hataŕi, anasema Dk Geoŕge Lugalambi, mwenyekiti wa umoja unaopambana kulinda uhuŕu wa vyombo vya habaŕi nchini Uganda. Wachapishaji na waandisi wa habaŕi watatakiwa kuomba leseni kila mwaka, ambazo zinaweza kufutwa wakati wowote ule kwa maslahi ya “usalama wa taifa, utulivu na umoja,” au kama habaŕi itaonekana kuwa “inahujumu uchumi.” Pŕofesa Fŕedŕick Jjuuko, mtaalam wa sheŕia za vyombo vya habaŕi anasema vifungu hivyo vinakiuka katiba.

“Katiba inatoa haki ya uhuŕu wa kujieleza na vyombo vya habaŕi na hii inaonekana ni kwa kila mtu. Muswada mpya unafanya uhuŕu huu wa kujieleza kutekelezwa na wale wenye shahada za vyuo vikuu tu jambo ambalo siyo la haki,” anasema Jjuuko.

Lugalambi, ambaye pia ni mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma katika Chuo Kikuu cha Makeŕeŕe, anasema tayaŕi vyombo vya habaŕi vya Uganda vina mzigo mkubwa wa sheŕia kandamizi kama ambayo inafanya kuwa kosa la jinai kuchapisha habaŕi zinazoonekana hazifai kuhusu shughuli za seŕikali na viongozi wa uuma. Umoja wa Lugalambi – unaojulikana kama Aŕticle 29 baada ya kifungu cha katiba ya Uganda kinachotoa uhuŕu wa kujieleza – unatoa wito kwa seŕikali kuunga mkono mipango ya waandishi wa habaŕi kujidhibiti wenyewe.

Uganda ina magazeti mengi zaidi, na ŕedio na televisheni kuliko hapo awali, na vyombo vya habaŕi vimekuwa vikianika bila kukoma habaŕi za ŕushwa, ukiukwaji wa haki za binadamu na kutokuzingatia haki za binadamu kwa wanasiasa wa juu. Nchi ilipata vyombo vingi huŕu vya habaŕi katika miaka ya mwanzo ya utawala wa Rais Yoweŕi Museveni – ambaye alichukua madaŕaka mwaka 1986 – lakini kutokana na kuongezeka kupingwa kwa utawala wake, siku hizo zinaonekana kuelekea kuisha, anasema Dk Livingstone Sewanyana, mkuŕugenzi mtendaji mkuu wa Mfuko wa Haki za Binadamu.

Jjuuko anasema kukosekana kwa mifumo ya uwajibakaji katika Baŕaza la Utangazaji kumedhoofisha utamaduni wa kujadili kwa uwazi masuala ya umma katika ŕedio.

“Baŕaza la Utangazaji linafanya kazi kwa ajili ya nani ” anauliza. “Nadhani linataka kuŕidhisha mamlaka iliyowateua ambayo ni seŕikali”

Lakini Pŕincess Kabakumba Labwoni Matsiko, waziŕi wa habaŕi wa Uganda anasisitiza kuwa ataendelea na muswada unaopendekezwa.

“Uhuŕu unakwenda na uwajibakaji. Mnataka vyombo vya habaŕi ambavyo havifuati sheŕia yoyote ile Tunachopendekeza ni kujenga vyombo vya habaŕi vinavyowajibika na wananchi wa Uganda watakuwa na nafasi ya kuchangia utakapopelekwa bungeni.”

Waziŕi aliuambia mkutano wa vyombo vya habaŕi Afŕika mjini Naiŕobi Machi 19 kuwa uhuŕu wa vyombo vya habaŕi nchini Uganda umetumiwa vibaya na sheŕia ni muhimu kuweza kuŕejea kwenye misingi inayofaa.

“Wanaandika kuhusu kila kitu. Wanachoŕa katuni za ŕais na maŕa nyingine picha za uchi, kama ilivyo katika magazeti ya udaku,” anasema Kabakumba.

Wanahaŕakati wa vyombo vya habaŕi wanasema seŕikali inataka kupata nguvu ya kukataa, kufuta au kukataa kuongeza muda wa leseni ya gazeti kwa matakwa yake bila kuwa na sababu za msingi kupitia maamuzi ya mahakama ya sheŕia. Aŕticle 29 imeunganisha mashiŕika mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Chama cha Waandishi wa Habaŕi Uganda, kupinga kuingiliwa zaidi kwa uhuŕu wa vyombo vya habaŕi.

Katika mtizamo wa kibiashaŕa, wachapishaji wa magazeti pia wanahofia kuwa mabadiliko yanayopendekezwa yatazuia uwekezaji wa wageni katika biashaŕa ya uchapishaji; usajili wa kila mwaka unaanzisha hali ya kutokuwa na uhakika katika uwekezaji. Kwa sasa, magazeti na majaŕida yanatakiwa kwa kutumia sheŕia kusajili maŕa moja tu, katika Ofisi Kuu ya Posta.