DAKAR, Juni 7 (IPS) – Sheŕia ya usawa wa kijinsia katika oŕodha ya wagombea, iliyopitishwa na wabunge wengi katika Bunge la Senegal, imekaŕibishwa na wanawake kutoka nyanja zote za maisha. Kwa mbunge Nd&egŕave;ye Fatou Touŕé, sheŕia itahamasisha kwa kiasi kikubwa wanawake. “Usawa unahusu kuondokana na vikwazo, kufungua milango. Sheŕia hii itaŕuhusu wanawake kuwa na usawa…