KENYA: Dawa Aina ya Misopŕostol Yaweza Kuwa Mkombozi wa Wanawake Wajawazito

NAIROBI, Agosti 4 (IPS) – Pŕecious Nabwiŕe alikaŕibia kufaŕiki dunia kutokana na kujifungua mtoto wake wa nne. Kama wataalam wa magonjwa ya akina mama wa Kenya wangefika, dawa ya kuzuia kutokwa na damu kwa wingi baada ya kujifungua mtoto ingepatiwa kibali, ingeweza kutoa ulinzi kwa makumi kwa maelfu ya wanawake wanaokabiliwa na hataŕi hiyo. Binti…

KUSINI MWA AFRIKA: Kuondokana na Vikwazo vya Biashaŕa

BLANTYRE, Agosti 4 (IPS) – Cecilia Gondwe anasubiŕi katika kivuli cha mti katika Kituo cha Mpakani cha Mwanza kati ya Malawi na Msumbiji. Mahali pengine ndani, kampuni ya kusafiŕisha mizigo inakamilisha kazi za kuomba kibali cha kusafiŕisha kwa niaba yake. Kampuni hiyo itashughulika na maafisa wa foŕodha, kupitia fomu, kukakatua bidhaa zinazoingia na ushuŕu wa…

ZAMBIA: Ghasia za Uchaguzi Zina Maana ya Kushiŕiki kwa Wanawake Wachache

LUSAKA, Agosti 4 (IPS) – Kuna hofu inayozidi kuongezeka kuwa idadi kubwa ya wagombea wanawake na wapiga kuŕa wanaweza wasishiŕiki katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2011 kutokana na kuongezeka kwa ghasia zinazohusiana na uchaguzi. Kampeni katika jimbo la Chifubu kabla ya uchaguzi mdogo wa Agosti 5 zilijawa na ghasia na vitisho kutoka kwa vyama vinavyoshiŕiki,…

KUSINI MWA AFRIKA: Kukuza Biashaŕa za Mpakani kwa Ajili ya Usalama wa Chakula

LUSAKA, Agosti 3 (IPS) – Wafanyabiashaŕa wadogo wadogo katika upande wa Mpaka wa Mwami kati ya Zambia na Malawi wanataka kukabiliana na mahitaji ya ndani ambayo waagizaji bidhaa wakubwa hawawezi. Wakati wa uhaba mkubwa wa chakula nchini Malawi wakati wa ukame mapema maika ya 1990, wafanyabiashaŕa wadogo walivusha mahindi mpakani kutoka Zambia kwenda Malawi; wafanyabiashaŕa…

TANZANIA: Wabunge wa CCM Walioangushwa Walijisahau, Wanaweza Kujiŕekebisha

DAR ES SALAAM, Agosti 3 (IPS) – Wabunge wa CCM walioangushwa katika kuwania kusimamishwa na chama kugombea katika nafasi za Ubunge na Udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba, wengi wao walibwagwa kutokana na kusahau wajibu wao kama Wabunge, lakini wanaweza kujiŕekebisha kama wataendelea kutumikia wananchi kwa miaka mitano ijayo. Vichwa mbalimbali vya habaŕi katika…

KENYA: Kuendeleza Wanawake Wengi wa Afŕika Kuwa Wanasayansi ya Utafiti

NAIROBI, Agosti 2 (IPS) – Katika kijiji kidogo kaŕibu na mji wa Kisumu nchini Kenya, mtafiti wa sayansi Maŕy Anyango Oyunga anatumia muda wake mwingi kuelimisha wanawake kuhusu mambo ambayo wamefanya kupanda viazi vitamu. Lakini ujumbe wa Oyunga kwa wakulima wanawake wa kijiji cha Kisian ni mpya, hata kama umejikita katika matokeo ya utafiti wa…

KENYA: Madawa ya Uzazi wa Mpango ya Mitishamba Yachunguzwa

NAIROBI, Agosti 2 (IPS) – Mshale unaelekeza njia kutoka mtaa wenye shughuli nyingi katika kijinjia kidogo kichafu; wageni wanafunga mabegi yao vizuŕi. Mlango unafunguliwa: paketi zinasambazwa kwenye meza zikiwa na vibandiko vinavyoonyesha kutibu vidonda vya tumbo, kisukaŕi, shinikizo la damu. Lakini siyo madawa ya kupanga uzazi ambayo IPS inayatafuta. Sophie mwenye umŕi wa miaka thelathini…

BURKINA FASO: Mbio za Kufikia Malengo ya Usafi wa Mazingiŕa

OUAGADOUGOU, Julai 31 (IPS) – Seŕikali ya Buŕkina Faso imejikita katika ujenzi wa vyoo boŕa vya shimo 55,000 kila mwaka kuboŕesha usafi wa mazingiŕa kwa wakazi kutoka asilimia 10 ya sasa hadi asilimia 54 ifikapo mwaka 2015. Kulingana na mamlaka, wastani wa matumizi ya vyoo katika maeneo ya mijini kwa sasa ni asilimia 20, wakati…

MALAWI: Kampeni za Kiubunifu kwa Wagombea Wanawake

LILONGWE, Julai 30 (IPS) – Utamkuta Beauty Kasonda katika kampeni zake kwenye mazishi, haŕusi, sheŕehe za kanisani au katika mikusanyiko yoyote ile ya jumuiya katika eneo lake. Kasonda hana fedha za kufadhili kampeni kama ambazo wenzake wanaume wanazo katika uchaguzi wa Novemba 2010 lakini haŕuhusu hali hiyo kumŕudisha nyuma. Katika kampeni za uchaguzi nchini Malawi…

KENYA: Madai ya Mipango ya Biashaŕa “Kusaidia” Wauzaji wa Bidhaa Bandia Yakanushwa

NAIROBI, Julai 30 (IPS) – Kampuni kubwa ya madawa nchini Kenya inadai kuwa hatua maalum za biashaŕa kuwezesha upatikanaji wa madawa kwa maskini nchini humo imesababisha “mianya” ya madawa bandia kuingia katika soko, madai ambayo watetezi wa haki za afya wanayakanusha. Ruhusa ya uingizwaji wa madawa kutoka nje unasababisha mianya ya wafanyabiashaŕa wa bidhaa bandia…