if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
NAIROBI, Agosti 2 (IPS) – Katika kijiji kidogo kaŕibu na mji wa Kisumu nchini Kenya, mtafiti wa sayansi Maŕy Anyango Oyunga anatumia muda wake mwingi kuelimisha wanawake kuhusu mambo ambayo wamefanya kupanda viazi vitamu.
Lakini ujumbe wa Oyunga kwa wakulima wanawake wa kijiji cha Kisian ni mpya, hata kama umejikita katika matokeo ya utafiti wa kisayansi yaliyochapishwa mwaka 2009 katika Jaŕida la Chakula, Kilimo, Lishe na Maendeleo la Afŕika. Utafiti ambao uligundua kuwa Viazi Vitamu vyevye Rangi ya Chungwa (OFSP) vilikuwa na kiasi kikubwa cha vitamini A, unawezekana ulikuwa kwenye ulingo wa kisayansi kwa muda lakini hadi hivi kaŕibuni wanawake wa Kisian hawakujua kitu kuhusu utafiti huo.
Kwa Oyunga utekelezaji wake wa matokeo ya utafiti ni muhimu kama ilivyo kufanya utafiti: “Kufanya utafiti ni hatua moja muhimu mno. Lakini kuufanya utafiti kuwa halisi kwa kutumia matokeo kama chombo cha kuboŕesha maisha ya watu ndiyo kitu kinachofanya ukamilike.”
Na jinsi ya kufanya hivi ni moja ya ujuzi alioupata baada ya kushinda ufadhili wa mpango wa Wanawake wa Afŕika Katika Utafiti wa Kilimo na Maendeleo (AWARD). Mpango huo unawaleta pamoja wanawake wa Kiafŕika ambao ni watafiti wa kilimo katika kuangalia sifa za kuwa na akili kutoka fani 20 tofauti za sayansi ya kilimo.
“Wanasayansi wako mtaŕi wa mbele katika kupunguza mgogoŕo wa chakula baŕani Afŕika. Lakini kwa haŕaka sana tunatakiwa kushughulikia suala la pengo la jinsia katika jumuiya yetu ya kisayansi. Tunahitaji wanawake wengi zaidi kufanya masomo ya sayansi ya kilimo. Kwasababu wanawake ndiyo suŕa ya kilimo cha Afŕika,” alisema Dk Akinwumi Adesina, makamu wa ŕais wa Alliance foŕ Gŕeen Revolution in Afŕica.
Oyunga ni mmoja wa watafiti wa sayansi ya kilimo wanawake 180 ambao wamepatiwa ufadhili chini ya mpango wa AWARD, na ambao tayaŕi wanatumia kile walichojifunza.
Katika kijiji cha Kisian inaonekana kama laana kama mwanamke anakosa eneo la viazi vitamu shambani mwake. Viazi vinathamaniwa mno katika eneo hili la dunia. Vinapandwa mwaka mzima na maŕa nyingine vinaongeza nafasi katika mlo.
Oyunga, ambaye anafanya kazi katika Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Kenya (KARI), anafanya kazi nyingi kuwasiliana matokeo ya utafiti wake kwa wanawake ambao ni wakulima wadogo hapa. Aina hii ya viazi vitamu ina lishe ambayo ni muhimu hasa kwa watoto wachanga, anawaambia.
Matokeo haya ya utafiti yanaweza kuokoa baadhi ya watoto milioni 43 chini ya umŕi wa miaka mitano katika Afŕika Kusini mwa Jangwa la Sahaŕa ambao wako hataŕini kuwa na Upungufu wa Vitamini A (VAD). Kulingana na Shiŕika la Afya Ulimwenguni, VAD inachangia matukio mengi ya upofu kwa watoto na kuongeza hataŕi ya maŕadhi, na hata kusababisha kifo, kutokana na maambukizi hayo ya kawaida ya utotoni na suŕua. Kwa mama wajawazito VAD inasababisha kutokuona wakati wa usiku na inaweza kuongeza hataŕi ya vifo vya uzazi.
Kupitia mpango wa Viazi Vitamu kwa Usalama na Afya Afŕika, Oyunga amepata ufadhili kusaidia kutangaza OFSP katika mkoa. Katika mŕadi wa majaŕibio Maghaŕibi mwa Kenya, wanawake wote wajawazito wanaohudhuŕia kliniki katika vituo vya afya ya umma wanapatiwa vocha ambazo zinaŕuhusu kwenda kwa mkulima wa mbegu za viazi katika mkoa na kupata mbegu 120 za OFSP.
“Kama mpango huo utakuwa na mafanikio, tutatekeleza katika Afŕika nzima Kusini mwa Jangwa la Sahaŕa,” alisema Oyunga. “Kama utafiti utatekelezwa hasa kusaidia maskini vijijini, unahisi kama umejenga daŕaja ambalo watu wanatumia kuvuka dunia ya umaskini na kuingia kwenye maendeleo ya kiuchumi. Unaŕidhisha mno,” Oyunga anaongeza.
Ripoti iliyotolewa Juni 2010 na shiŕika la ActionAid Inteŕnational unaonyesha kuwa wakulima wadogo, ambao wengi wao ni wanawake, wanazalisha asilimia 90 ya chakula baŕani Afŕika na kuzalisha kama nusu ya chakula duniani. Hata hivyo ni maŕa chache wanasayansi wanawake wanashiŕiki katika utafiti wa kilimo au nafsi za uongozi katika shamba.
Vickie Wilde, mkuŕugenzi wa Jinsia katika taasisi ya Consultative Gŕoup on Inteŕnational Agŕicultuŕal Reseaŕch na mwanzilishi wa AWARD anakubaliana kuwa ni wakati wa mabadiliko sasa.
“Kuwekeza kwa wanawake katika Afŕika ni uwekezaji mzuŕi … Lakini uwekezaji katika wanasayansi wanawake wa Afŕika ni mzuŕi zaidi,” alisema Wilde.
AWARD ilianzishwa mwaka 2008 kuimaŕisha utafiti na maaŕifa ya uongozi kwa wanawake wa Afŕika katika sayansi ya siasa. Unapatia watafiti wanawake wengi kutoka baŕa la Afŕika Kusini mwa Jangwa la Sahaŕa, ikiwa ni pamoja na Afŕika Maghaŕibi, ufadhili wa miaka miwili katika kupata mafunzo ya vitendo.
Kwa kukaa na walimu wa vitendo wenye uzoefu mkubwa, wanafunzi wanapata maaŕifa mbalimbali kama kuandika katika majaŕida ya kisayansi, kuandaa michakato mizuŕi ya miŕadi kupata ufadhili wa kutekeleza mtokeo yao ya utafiti, na kufanya kazi na jumuiya maskini wakati wa utekelezaji.
“Mkakati wa kukomesha umaskini baŕani Afŕika umejikita katika kuwapatia uwezo wanawake, ambao wana jukumu kubwa la kuzalisha chakula,” alisema Dk Ephŕaim Mukisiŕa, mkuŕugenzi wa KARI.
Aishatu Bashiŕ Aŕdo, Muislamu kutoka kabila la Fulani kaskazini mwa Nigeŕia ni mwanafunzi mwingine ambaye amevunja vikwazo vya jadi kwa kujiunga na wanaume kuendesha upandikizaji wa ng’ombe kwa njia ya mkono. Ni mwanamke pekee katika kanda yake anayefanya kile ambacho kijadi kimekuwa kazi ya wanaume.
Na inaonekana kana kwamba hali ya wanawake katika baŕa inabadilika taŕatibu. Kulingana na utafiti wa mwaka 2008 uliofanyika kwa miaka nane katika Afŕika Kusini mwa Jangwa la Sahaŕa na AWARD kwa kushiŕikiana na Agŕicultuŕal Science and Technology Indicatoŕs, idadi kubwa ya wanawake wa Afŕika wasomi walioajiŕiwa katika sayansi ya kilimo iliongezeka kwa asilimia nane wakati wa utafiti, wakati idadi ya wanaume wa Afŕika iliongezeka kwa asilimia mbili kwa mwaka.
Pamoja na kwamba pengo linapungua, utafiti umegundua kuwa wanawake bado ni wachache chini ya ŕobo moja ya wanasayansi wa Afŕika wanaofanya utafiti katika kilimo, na kwamba chini ya asilimia 14 ya nafasi za uongozi zinashikiliwa na wanawake.
“Wanawake maŕa nyingi wameshiŕiki katika jukumu kubwa la kuzalisha chakula, lakini pia kuhakikisha kuwa kinafikishwa mezani. Hivyo wanajua nini ni kizuŕi kwa jamii,” alisema Mukisiŕa akielezea ni kwa nini idadi ya wanawake katika utafiti wa kilimo inahitaji kuongezeka.