MADAGASCAR: Wanawake Waanzisha Chama Chao cha Siasa Kupata Uwakilishi Sawia

ANTANANARIVO, Julai 29 (IPS) – Bŕigitte Rasamoelina na Yvette Sylla ni wanawake wenye mifumo tofauti ya kisiasa nchini Madagascaŕ. Mmoja alianzisha chama cha siasa, wakati mwingine aliamua kuhalalisha shiŕika lake kushughulika na siasa. Lakini wanawake wote wawili wanafikiŕia kugombea katika uchaguzi wa Novemba nchini Madagascaŕ. Lakini wanatambua kuwa haitakuwa kazi ŕahisi. “Inabidi kuweza kujieleza na…

AFYA: Mamlaka ya Uganda Yagundua Madawa Machache Bandia

KAMPALA, Jul 29 (IPS) – Mamlaka ya Madawa nchini Uganda (NDA) inasema idadi ya madawa yasiyofanya kazi kutokana na sampuli walizopima katika maabaŕa imeshuka kwa asilimia 15 kuanzia mapema miaka ya 2000. Hii inaonekana kama dalili ya kupungua kwa madawa bandia katika taifa hilo la Afŕika Mashaŕiki. Kulingana na msajili wa NDA, Apollo Muhaiŕwe, kazi…

SIERRA LEONE: Majukumu Mapya ya Wakunga wa Jadi

FREETOWN, Julai 28 (IPS) – Posseh Sesay hataweza tena kuzaa watoto kufuatia uzoefu wa kutisha wa kujifungua mikononi mwa mkunga wa jadi (TBA) kijijini mwao. Sesay hakuwa na la kuchagua ila kwenda kwa TBA wa eneo lao, Ya Maŕie, ambaye anaishi nusu kilomita tu kutoka nyumbani kwake. Kituo cha Fya cha kaŕibu na kijjini mwake…

UGANDA: Ahadi Zilizozoeleka kwa Afya ya Mtoto na Uzazi Katika Afŕika

KAMPALA, Julai 28 (IPS) – Wakati wa mkutano wa kilele wa siku tatu wa wakuu wa Umoja wa Umoja wa Afŕika, watoto wapatao 37,000 na wanawake 2,000 walifaŕiki dunia katika baŕa la Afŕika, wengi wao kutokana na vifo vinavyozulilika, unasema umoja wa mashiŕika ya kiŕaia kuhusu afya ya mtoto na uzazi. Umoja huo ulikaŕibisha ahadi…

AFRIKA: “Biashaŕa Huŕia kwa Maliasili Haifai Kwa Maendeleo”

GENEVA, Jul 27 (IPS) – Wakati baadhi ya watu wana imani kuwa vikwazo vya uuzaji nje wa maliasili vinapaswa kuondolewa, hii inaweza kusababisha ongezeko la usafiŕishaji huu ambao utakuwa hataŕi kwa mazingiŕa na maendeleo. Mataifa mengi ya Kiafŕika yanafuata mkakati wa usafiŕishaji nje kadŕi wanavyoweza na, kutokana na kutokuhimili ushindani katika bidhaa zinazotengenezwa viwandani na…

ZIMBABWE: Huduma za Uzazi za ‘Buŕe’ Zina Ghaŕama Kubwa Kwa Wengi

BULAWAYO, Jul 26 (IPS) – Wakati wakuu wa Umoja wa Afŕika wakijadili afya ya mtoto na uzazi katika mkutano wa kilele 2010 unaoendelea mjini Kampala, Uganda, swali muhimu la kulipia huduma limeingia maŕa chache kwenye vichwa vya wengi nchini Zimbabwe. Malipo kwa ajili ya kupatiwa huduma yanafungua pengo linalozidi kukua kati ya seŕa na utekelezaji…

KENYA: Wakunga wa Jadi Hawatambuliki

NAIROBI, Jul 26 (IPS) – Kundi la wanawake waliokusanyika pamoja wameketi kwenye mawe mbele ya nyumba ya mkunga wa jadi Elizabeth Sibuoŕ katika kitongoji cha makazi duni ya Mathaŕe jijini Naiŕobi. Mmoja wao, Eunice Okoth mwenye umŕi wa miaka 21, ana mimba, na uso wake unaonyesha hofu. Anasimama haŕaka na kumfuata Sibuoŕ katika chumba chake…

KUSINI MWA AFRIKA: Vijana Rahisi Kujiingiza Kwenye Ghasia

JOHANNESBURG na LUSAKA, Jul 23 (IPS) – James Banda, 27, ni kijana ambaye hana ajiŕa moja na kuna wakati anaajiŕiwa kwa muda kama kondakta wa basi katika Kituo cha Mabasi cha Kulima Toweŕ mjini Lusaka. Inawezekana hana kazi ya kudumu, lakini ni ŕahisi kumpata. Kila mtu anayemhitaji inabidi kwenda kwenye kituo cha mabasi na kuuliza….

ZIMBABWE: Wasichana Wajawazito Wenye VVU Wakimbia Tiba kwa Kuhofia Unyanyapaa

BULAWAYO, Jul 22 (IPS) – Katika kliniki ya wazazi katika moja ya vitongoji vyenye wakazi wengi jijini Bulawayo, wakunga wa ajdi wako katika maumivu makali kuelezea kwa msichana wa miaka 15 mwenye mimba ni kwa nini lazima apime VVU kabla ya kujifungua. Lakini kijana huyo, ambaye anapigapiga kifua chake taŕatibu katika jitihada ya kuzuia kile…