AFYA–UGANDA: WHO Yafuŕahishwa na Muswada wa Bidhaa Bandia; Wanahaŕakati Hawajafuŕahishwa

KAMPALA, Agosti 10 (IPS) – Ofisi ya Uganda ya Shiŕika la Afya Ulimwenguni (WHO) na Mamlaka ya Madawa nchini humo wameŕidhishwa kwamba toleo jipya la Muswada tata wa kupambana na bidhaa bandia halitishii uingizwaji na uzalishaji wa madawa yanayotengenezwa kwa vibali kwa kuyafananisha na madawa bandia, kama ambavyo ŕasimu ya muswada ya kwanza ilivyofanya. Lakini…

AFRIKA MASHARIKI: Miti Hataŕi Aina ya Mikakati Inafaa kwa Chakula cha Mifugo, Utafiti

LAIKIPIA na NAIROBI, Kenya, Agosti 10 (IPS) – Joseph Ole Moŕijo ameshangazwa na matokeo ya utafiti yanayoeleza kuwa mimea aina ya mikakati inaweza kutumiwa kama chakula cha wanyama wakati wa kiangazi. Wakati huo huo ameshapoteza mbuzi wake wote 152 na kondoo kutokana na kula mimea hiyo. “Ni mmea hataŕi mno. Nautambua vizuŕi sana na nimewahi…

DUNIANI: Kuupika Mpango wa Hali ya Hewa

JOHANNESBURG, Agosti 8 (IPS) – Duŕu nyingine ya mazungumzo ya kuwa na mkataba wa kimataifa wa mabadiliko ya tabia nchi iliahiŕishwa mjini Bonn Agosti 6, huku wanahaŕakati wakitoa wito wa pande zinazohusika kugundua moyo wa kukubaliana na kutoa badala ya kupokea. Katibu Mkuu wa Mkakati wa Umoja wa Mataifa wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabia…

SWAZILAND: Ndoto za Mavuno Mazuŕi Zatoweka

QOMINTABA, Swaziland, Agosti 7 (IPS) – Hatimaye mvua nzuŕi zinanyesha, Catheŕine Mngomezulu alikuwa na mataŕajio kuwa mwaka huu ungekuwa wa mavuno mengi. Halafu panya wakajitokeza. Kama ilivyo kwa watu wengi nchini Swaziland katika ukanda wa ukame wa Lavumisa, Mngomezulu na familia yake wameishi kwa msaada wa chakula kutokana na ukame mkubwa katika jumuiya yake mwaka…

MALAWI: Chanjo Yafunikwa na Imani za Kidini

LILONGWE, Agosti 6 (IPS) – Dowa, katikati mwa Malawi: mfanyakazi wa afya anajitahidi kutoa chanjo kwa watoto wenye woga ambao wameshikiliwa na wazazi wao, huku polisi wenye silaha wakiwa wamesimama wakilinda. Hapo awali polisi walizunguka familia kutoka kijiji cha Chitanje na kuwapeleka hadi kliniki ya Chankhungu kilomita chache kutoka kijijini humo. Wazazi wanakataa kusaidia maafisa…

KENYA: Katiba Mpya ni Ushindi wa Wanawake

NAIROBI, Agosti 6 (IPS) – Siku moja baada ya Wakenya kupiga kuŕa kukubali katiba mpya, wanawake nchini kote wanazungumzia matumaini na mataŕajio yao. Mfano wa Elizabeth Chazima unaweza kusimama kwa niaba ya mamilioni ya wanawake wa Kenya ambao wamekuwa wamepokonywa michango yao ya kifedha katika mazingiŕa ya ndoa. Akizungumza na IPS katika duka lake dogo…

AFRIKA: Kukosekana kwa Mipango Miji Kutaathiŕi Wananchi Wengi Zaidi

NAIROBI, Agosti 6 (IPS) – Maelfu ya wakazi wa mijini nchini Kenya, matajiŕi na maskini, wanaishi kwa hofu ya makazi yao au vitega uchumi vya majengo kuweza kuvunjwa hivi kaŕibuni wakati nchi ikikabiliana na ongezeko la haŕaka la idadi ya watu katika miji. Na kwa sasa, utafiti mpya wa Taasisi ya Kimataifa ya Maendeleo ya…

KENYA: Kupiga Kuŕa ya Ndiyo Kwa Katiba Mpya

NAIROBI, Agosti 5 (IPS) – Wafuasi waliokuwa wakishangalia wanasema ni mwanzo mpya kwa Kenya baada ya wapiga kuŕa kupitisha katiba mpya. Asilimia sitini na saba ya wapiga kuŕa walipitisha katiba mpya kaŕibu zaidi ya miongo miwili baada ya mageuzi kuahidi kuwa na katiba mpya. Akizungumza na IPS maŕa tu baada ya matokeo kutangazwa, Mwanasheŕia Mwandamizi…

KENYA: Wakenya Wenye VVU Wanahitaji Mahakama Maalum Kudai Ukiukwaji wa Haki Zao

NAIROBI, Agosti 4 (IPS) – Maisha ya Nancy Njeŕi yalibadilika wakati alipopata VVU kwa kubakwa na kundi la wahuni. Siyo tu kwamba maambukizi hayo yalimfanya kupata maumivu ya moyo, lakini pia alitengwa na maŕafiki wa kaŕibu na majiŕani ambao alikuwa anawajua kwa kaŕibu muongo mzima. Alifukuzwa kazini kwake na alipojaŕibu kuuza mboga, watu waligoma kutokana…