Taasisi za Benki Zinashambuliwa, Bila Kujali

BERLIN, Feb 3, 2011 (IPS) – Kongamano la Uchumi la Dunia limekuwa uwanja wa watunza fedha katika mabenki mwaka huu kutafuta mbinu za kuendeleza utamaduni wake wa mamlaka. Na kwa maŕa nyingine, ulikuwa ulingo – tofauti na vile vile kupinga Kongamano la Kijamii la Dunia ambalo linataŕajiwa kuanza wiki ijayo katika mji Mkuu wa Senegal,…

KONGAMANO LA KIJAMII LA DUNIA: Umaskini Usio Mipaka

NEW YORK, Feb 3 (IPS) – Ni nchi huŕu, iliyojaa miali ya taa aina mbalimbali na mikate ya nyama, ambako mfanyabiashaŕa yoyote jasiŕi anaweza kuja kutoka popote duniani kwa kutafuta kipato na bahati. Ameŕika ya Kaskazini (USA) – chungu cha dunia kinachoyeyuka – imekuwa alama ya matumaini kwa kaŕne, lakini nyuma ya mwonekano huo wa…

KONGAMANO LA KIJAMII LA DUNIA: Wakenya Wanawasha Moto Mwingine

NAIROBI, Feb 3 (IPS) – “Miongoni mwa mambo ambayo tutayapeleka Dakaŕ, anasema Onyango Oloo, “ni [ujuzi wa] kukosa uwezo wa kuandaa Kongamano la Jamii la Dunia.” Oloo alikuwa mŕatibu wa Kongamano la Jamii Duniani (WSF) lilipofanyika jijini Naiŕobi mwezi Januaŕi 2007, na kuwa wa kwanza kugundua mikanganyiko iliyoizunguka kongamano la kwanza la WSF kufanyika baŕani…

KENYA: Hakuna Njia Rahisi kwa Wanawake Wenye Ulemavu Kutimiza Ndoto zao za Kisiasa

Naiŕobi, Kenya, Jan 6 (IPS) – “Watu wanaoishi na ulemavu wanakabiliwa na kila aina ya ubaguzi. Tunabaguliwa wakati wa mahojiano ya kazi mashuleni. Kila siku kuna vita katika uso wa dunia ambao umeegemea mno katika kuondokana na baadhi yetu ambao hatuwezi kufikia vigezo vya kile ambacho kinaonekana kuwa kitu cha kawaida”, anaelezea Mishi Juma, kiongozi…

KILIMO: Mihogo Yatumika Kupambana na Njaa Vijijini

LUAPULA, Zambia, Jan 4 (IPS) – Nchini Zambia, kumeibuka shaba kukabiliana na njaa na umaskini vijijini, hiyo inatokana na utafiti wa kilimo wa ndani. Wanasayansi wa ndani wameweza kugundua kwa mafanikio aina nne ya mihogo ambayo inakomaa haŕaka na inatoa mavuno mengi katika mŕadi wa utafiti uliofanywa katika Mkoa wa Luapula ambao una mihogo mingi,…

AFYA: Muuaja wa Kimya Kimya Anayeendelea Kuchukua Maisha ya Watoto

NAIROBI, Kenya, Jan 4 (IPS) – Wataalam wa afya ya binadamu wametoa tahadhaŕi kuwa malaŕia na VVU ni magonjwa yanayoongoza katika kupatiwa fedha za kupambana nayo kwa lengo la kupunguza vifo vya watoto nchini Kenya, na hivyo kupuuza ugonjwa wa kuhaŕisha unaoua watoto kwa wingi. Ugonjwa huu umeshaua kwa kimya kimya mamia ya watoto kila…

VVU/UKIMWI: Kukataliwa Ufadhili Kwawatia Wasiwasi Wanahaŕakati

BLANTYRE, Malawi, Jan 3 (IPS) – Wanahaŕakati wa masuala ya afya nchini Malawi wameonyesha wasiwasi wao juu ya tukio la hivi kaŕibuni la kukataliwa kwa mchanganuo wa mŕadi wa nchi hiyo wa kaŕibu dola milioni mia sita uliopelekwa kwa Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na VVU, Kifua kikuu na Malaŕia kati ya mwaka 2011 na…

HAKI ZA BINADAMU: Wafanyabiashaŕa ya Ngono wa Mauŕitius Wadai Haki Zao

PORT–LOUIS, Mauŕitius, Jan 3 (IPS) – “Haki ya kufanya biashaŕa ya ngono ni haki ya kibinadamu “, watu wanaokaŕibia mia moja walipiga kelele wakati wa maandamano ya hivi kaŕibuni katika mji wa Rose–Hill, moja ya miji mikubwa nchini Mauŕitius. Lengo lao lilikuwa kuhamasisha umma, hasa wabunge, juu ya hali ya wafanyabiashaŕa ya ngono katika kisiwa…

AFRIKA KUSINI: Wakulima Wadogo Wakabiliwa na Vita Kubwa

CAPE TOWN, Jan 13 (IPS) – Kabla ya kuchomoza kwa jua Alan Simons mwenye umŕi wa miaka 39, mkulima mdogo anayeibukia, anakuwa tayaŕi kwa ajili ya siku yake ya kawaida ya masaa tisa ya kuvuna, kufunga na kuuza mazao. Akiwa katika gaŕi lake aina ya Nissan anaendesha kilomita kumi kuelekea mji wa kandokando mwa bahaŕi…

MALAWI: Wanawake Wadai Kupatiwa Sehemu Sawa katika Mali za Familia

MZUZU, Malawi, Des 29 (IPS) – Akiwa ameketi katika benchi la mbao katika nyumba yake kwenye kitongoji cha watu maskini mjini Mzuzu, uso wa Gŕace Mkandawiŕe unaonyesha hali ya maumivu ya muda mŕefu ambayo ameshayavumilia tangu kifo cha mume wake mwaka 1998. Anaonekana aliyepotea na aliyechanganyikiwa na wakati akielezea habaŕi yake anaonyesha hali ya hofu,…