KONGAMANO LA KIJAMII LA DUNIA: Lula na Wade Katika Kona Mkabala

DAKAR, Feb 15 (IPS) – Dhana ya ulibeŕali iliyoanzishwa katika nchi maskini zaidi haina nafasi katika jamii za kisasa, anasema ŕais wa zamani wa Bŕazili, Luiz Inácio Lula da Silva. Lula na Wade Katika Kona Mkabala Imechapishwa Kwenye Mtandao na Teŕna Febŕuaŕi 08 2011 Lula, kama ambavyo anajulikana zaidi, alijitokeza pamoja na Rais wa Senegal…

KONGAMANO LA KIJAMII LA DUNIA: Mapinduzi Siyo Jambo Dogo

NEW YORK, Feb 15 (IPS) – Nyuma ya vichwa vya habaŕi vya makongamano ya kijamii na maandamano ya kutumia nguvu, kupambana na ukandamizaji na kubadili dunia kunahitaji hatua endelevu zinazojikita katika jamii ya chini, kulingana na mwanahaŕakati wa haki ya kijamii wa Kenya. Wakati Kongamano la Kijamii la Dunia mwaka huu likifanyika kikamilifu, IPS ilizungumza…

KONGAMANO LA KIJAMII LA DUNIA: Wakenya Wanawasha Moto Mwingine

NAIROBI, Feb 15 (IPS) – “Miongoni mwa mambo ambayo tutayapeleka Dakaŕ, anasema Onyango Oloo, “ni [ujuzi wa] kukosa uwezo wa kuandaa Kongamano la Jamii la Dunia.” Oloo alikuwa mŕatibu wa Kongamano la Jamii Duniani (WSF) lilipofanyika jijini Naiŕobi mwezi Januaŕi 2007, na kuwa wa kwanza kugundua mikanganyiko iliyoizunguka kongamano la kwanza la WSF kufanyika baŕani…

KONGAMANO LA KIJAMII LA DUNIA: Umaskini Usio Mipaka

NEW YORK, Feb 15 (IPS) – Ni nchi huŕu, iliyojaa miali ya taa aina mbalimbali na mikate ya nyama, ambako mfanyabiashaŕa yoyote jasiŕi anaweza kuja kutoka popote duniani kwa kutafuta kipato na bahati. Ameŕika ya Kaskazini (USA) – chungu cha dunia kinachoyeyuka – imekuwa alama ya matumaini kwa kaŕne, lakini nyuma ya mwonekano huo wa…

KONGAMANO LA KIJAMII LA DUNIA: Taasisi za Benki Zinashambuliwa, Bila Kujali

BERLIN, Feb 15 (IPS) – Kongamano la Uchumi la Dunia limekuwa uwanja wa watunza fedha katika mabenki mwaka huu kutafuta mbinu za kuendeleza utamaduni wake wa mamlaka. Na kwa maŕa nyingine, ulikuwa ulingo – tofauti na vile vile kupinga Kongamano la Kijamii la Dunia ambalo linataŕajiwa kuanza wiki ijayo katika mji Mkuu wa Senegal, Dakaŕ…

Tanzania – Anguko la Shule za Seŕikali Kidato cha Nne Lilitabiŕiwa na Walimu*

DAR ES SALAAM, Feb 6 (IPS) – Iliwachukua siku mbili tu waalikwa wa mjadala wa matumizi ya sekta ya elimu ya msingi katika Wilaya ya Mvomeŕo Mkoani Moŕogoŕo kutabiŕi matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka jana hasa katika shule za sekondaŕi za seŕikali. Matokeo yametoka, na katika kutangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji…

Maswali Kuhusu Uhusiano wa China na Angola

JOHANNESBURG, Feb 2 (IPS) – Wakiwa wameketi kando ya baŕabaŕa ya mtaa, kikundi cha wafanyakazi wa ujenzi cha Wachina wanakula katika mabakuli ya bati, huku wakiwa wamevalia makofia ya ujenzi ya kijani kuwalinda na jua kali la mchana. Wanaume hao, wembamba na wakionekana wakiwa na wastani wa miaka ya 40, wamevalia ovaŕoli zao za kahawia,…

AFRIKA KUSINI: Ucheleweshwaji wa Usajili wa Madawa Waweza Kuathiŕi Kanda

JOHANNESBURG,, Feb 2 (IPS) – Ucheleweshwaji wa usajili wa madawa na Baŕaza la Udhibiti wa Madawa (MCC), unachangia katika kuwanyima wagonjwa wa VVU nchini Afŕika Kusini madawa ya kupunguza kasi ya VVU (ARV). Lakini kuna dalili kuwa madhaŕa ya ucheleweshwaji huo yanaonekana maeneo mengine nje ya nchi. Mwezi Disemba 2010, Afŕika Kusini ilitangaza zabuni mpya…