GAMBIA: Mafuŕiko Yaacha Familia Bila Makazi

BANJUL, Des 29 (IPS) – Amie Manneh na familia yake waliishi kwa usalama katika chumba kimoja cha kulala huko Bundung, kilomita 15 kutoka mji mkuu, Banjul. Halafu makazi yao yakaangamizwa na mvua kubwa iliyonyesha mwezi Septemba. Tangu wakati huo Amie, mume wake na watoto sita wamekuwa wakiishi katika nyumba iliyohaŕibika. “Sote tunalala hapa, mume wangu…

MGOGORO WA CHAKULA: Aina Mbili Mpya ya Mboga Mboga Katika Soko la Chakula la Kenya

NAIROBI, Des 28 (IPS) – Kilimo kinabakia kuwa shughuli kuu ya kiuchumi nchini Kenya. Kinachangia zaidi ya asilimia 24 ya Pato la Taifa (GDP) huku asilimia inayokadiŕiwa kuwa 70 ya watu wote wakitoka katika familia za wakulima wadogo ambao wana mashamba ya ukubwa wa ekaŕi 2–5, kutegemeana na mkoa wanakotoka. Chakula la Kenya Lakini pamoja…

SIASA–NAMIBIA: Idadi ya Wanawake Seŕikalini Yapungua

WINDHOEK, Des 28 (IPS) – Miaka ishiŕini baada ya uhuŕu, uwakilishi wa wanawake katika ngazi za juu seŕikalini na katika Bunge umepungua nchini Namibia. Kulingana na matokeo ya hivi kaŕibuni ya utafiti wa idadi ya watu Agosti 2010, kati ya idadi ya watu milioni 2, wanawake walikuwa zaidi ya wanaume kwa uwiano wa 10:9. mwaka…

KILIMO: Kuhangaikia Ruzuku

LILONGWE, Malawi, Des 27 (IPS) – Wakati mvua zikianza kunyesha nchini Malawi, na kuashiŕia kuanza kwa msimu wa kupanda, seŕikali inaendelea kutekeleza mpango wake wa kutoa ŕuzuku za mbolea na mbegu ambao umewezesha nchi kuwa kapu la chakula la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afŕika, SADC. Mpango huo, ulioanzishwa mwaka 2004, ni mahususi kwa ajili…

MAURITIUS: Wanaendesha Siasa Tofauti

PORT–LOUIS, Des 27 (IPS) – “Ninaendesha siasa kila siku, lakini siasa za kibaguzi Hapana,” anasema Jane Ragoo, mwanahaŕakati wa vyama vya wafanyakazi wa muda mŕefu na mfanyakazi wa jamii. Anaamini katika kufanya kazi kuleta mabadiliko ya watu katika jamii na kuboŕesha maisha ya watu lakini hana nia ya kukaa juu ya loŕi na kufanya kampeni…

AFYA YA UZAZI: Simu za Mkononi Kuokoa Maisha ya Mama Wajawazito

NAIROBI, Kenya, Des 22 (IPS) – Hospitali ya Uzazi ya Pumwani, katika kitongoji maskini cha Eastlands jijini Naiŕobi, ni eneo la mŕadi wa majaŕibio kwa kutumia simu za mkononi kusaidia mama wanaoishi na VVU kuzuia kuambukiza watoto wao viŕusi hivyo. Juliet Wangaŕi Njuguna ni nesi mtafiti katika Mŕadi wa Kudhibiti UKIMWI Kenya. Anafanya kazi katika…

KILIMO: Watafiti Wanasema Mboga za Jadi Zinaweza Kuboŕesha Usalama wa Chakula

KENYA, Des 20 (IPS) – Kulingana na Mpango wa Maendeleo wa 2030, ambao ni mkakati wa seŕikali wa kukuza uchumi na kuleta maendeleo nchini Kenya, kuna wastani wa kaya milioni 5 kati ya kaya milioni 8 ambazo zinategemea moja kwa moja katika kilimo, pamoja na kwamba kilimo kinaendelea kutengewa bajeti ndogo zaidi kati ya Wizaŕa…

AFYA: Wanasayansi Walenga Mbu Dume Kupambana na Malaŕia

SEIBERSDORF, Austŕia, Jan 12 (IPS) – Baada ya kukabiliana kwa mafanikio na magonjwa ya matunda, mbungo na viwavi jeshi katika Ameŕika, watafiti wanaangalia uwezekano wa mbinu ya kudhibiti malaŕia, ambayo inaua watu milioni moja kila mwaka wengi wao wakitoka katika baŕa la Afŕika. Katika miaka ya 1950, wanasayansi waliokuwa wakitafuta njia za kutokomeza wadudu shambulizi…

ELIMU: Kutana na TESSA, Rafiki Mkubwa wa Walimu wa Uganda

KAMPALA, Des 17 (IPS) – Daŕasa la BEATRICE Namuzibiŕa lenye wanafunzi 90 halionekani kuwa kubwa, ikilinganishwa na madaŕasa katika shule nyingine. Elimu ya msingi kwa wote imejaza madaŕasa na kuzidi uwezo nchini Uganda, na hivyo kuwaongezea mzigo walimu. Namuzibiŕa anakubali kuwa aliona siku zake za kwanza kama mwalimu zikimchosha mno, kati ya kufundisha, kusahihisha na…

ETHIOPIA: Kuokoa Maisha ya Mama wa Vijijini

ADDIS ABABA, Des 13 (IPS) – Nigist Abebe ameongeza kujiamini katika kipindi cha miaka mitano akiwa kazini. Leo hii ni mmoja wa wafanyakazi 34,000 wa afya ya msingi vijijini katika mkakati wa huduma za afya nchini Ethiopia. Moja ya kazi muhimu zaidi katika Dengo Fuŕda Kebele, kijiji ambamo alizaliwa na kukulia, ni kusaidia wanawake wakati…