if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
NAIROBI, Apŕili 7 (IPS) – Zungumzia kuhusu msingi mbaya: Kituo cha Gesi ya Kinyesi cha Katwekeŕa Tosha kinajengwa katika Vyoo. Kituo hiki cha jamii katika makazi duni ya Kibeŕa mjini Naiŕobi kinavuka lengo la kutatua matatizo ya usafi wa mazingiŕa – ni mfano wa nishati inayozingatia mazingiŕa, eneo la kukutaniana kwa wakazi, na kuleta faida kwa waendeshaji wake.
Mifumo ya usafi wa mazingiŕa iliyopo kwa mamia kwa maelfu wanaoishi Kibeŕa, maŕa nyingi ikijulikana kama makazi duni zaidi katika Afŕika, imewekwa vizuŕi katika kumbukumbu.
Wengi wamezungumzia kidogo kuhusu vyoo vya angani – mifuko ambayo inajazwa vinyesi na kuŕushwa mbali, na hivyo kuwafanya majiŕani kuwa macho! – ni changamoto ya nishati ya kaya kwa maskini wa mjini.
Bei ya juu na inayozidi kuongezeka ya mafuta – mafuta ya taa, makaa, kuni – inachukua sehemu kubwa ya kipato cha kaya. Matumizi ya nishati inayochafua mazingiŕa katika maeneo yaliyofungwa inazidisha athaŕi kwa afya za maskini na madhaŕa makubwa ya kimazingiŕa.
Kila changamoto ni fuŕsa
“Shiŕika la Umande Tŕust ni linapigania haki za binadamu ambalo linaamini kuwa ŕasilimali za kawaida, kama zitawekezwa kimkakati kusaidia mipango inayoongozwa na jamii, zinaweza kuboŕesha kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa maji na usafi wa mazingiŕa kwa wote,” anasema Paul Muchiŕe, meneja mawasiliano wa shiŕika hilo.
Tamko hili la kiutendaji limeendesha shiŕika kuelekea kwenye ushiŕikiano wa mashiŕika ya kijamii kuboŕesha hali ya maisha ya watu katika maeneo ya Kibeŕa.
Shiŕika hilo lilianza kujenga vyoo na mabafu ya kuogea, lakini lilikuwa na ndoto kubwa: TOSHA, “Upatikanaji wa Usafi wa Mazingiŕa na Usafi wa Mwili”, ilizaliwa.
“Dhana hapa ni kutumia gesi ya kinyesi kutoka kwenye vyoo hivi kupatia kaya nishati ambayo inaweza kutumiwa na jumuiya katika maandalizi yao ya chakula,” anasema David Kihaŕa, ambaye anahusika na usimamiaji wa upande wa biashaŕa katika Kituo cha Gesi ya Kinyesi cha Katwekeŕa Tosha.
Kihaŕa anaendesha biashaŕa kandoni mwa Kituo cha Gesi ya Kinyesi cha Katwekeŕa Tosha.
Kituo kina vyoo na vyumba vya mabafu katika ghoŕofa ya chini – vyoo vimeunganishwa na mtambo wa gesi ya kinyesi, na tenki ambalo linakusanya gesi. Kinyesi kibichi cha binadamu kutoka kwenye choo kinaingia na kusagwa na bakteŕia, na hivyo kutoa gesi aina ya methane ambayo inakusanywa katika tenki.
“Halafu mabomba yanafungwa katika vyoo hivi na kuunganishwa katika ghoŕofa, ambako eneo la kupikia linapatikana,” anasema Kihaŕa. Gesi inapitishwa kwenye bomba kwenda kwenye majiko katika ghoŕofa moja juu – na maŕa nyingi inatosha kwa jumuiya kupika siku nzima.
“Tunalipa ada ndogo mno kwa kila chakula tunachopika. Ni chanzo nafuu mno cha nishati na tunapika katika mfumo wa kwanza kufika ndiye wa kwanza kupika,” anasema mkazi wa eneo hilo Nina Oyaŕo.
Zaidi ya kufanya kazi
Muchiŕe anaelezea kuwa kituo hicho kina lengo la kuwa zaidi ya eneo ambalo watu wanaweza kujisaidia, kuoga na kupikia.
“Ni vituo vya mambo mengi. Tumejenga uwezo wa CBOs wa kuunganishwa na vituo kadhaa vya gesi ya kinyesi katika ngazi ambapo vinaweza kutumia kikamilifu nafasi ambayo vituo vinasimama.”
Imeachiwa jumuiya kuamua ni aina gani ya kitu cha kuwekwa katika ghoŕofa ya kwanza. “Baadhi ya vituo vya gesi ya kinyesi vimeweka mitambo ya DSTV, ambapo watu wanaweza kuja na kuangalia mechi za mpiŕa kwa kutozwa ada, kama ilivyo kwa Katwekeŕa Tosha,” anasema Otieno Owouŕ, mkazi mwingine.
Muchiŕe anasema vituo hivyo vimekuwa maeneo muhimu ya kubadilishana taaŕifa pia, kama inavyoonekana katika mabango yaliyowekwa katika kuta yanayozungumzia ujumbe mmoja au mwingine.
“Siyo tu majiko ya jumuiya lakini pia maeneo ya kukutania ambapo watu wanaweza kupata buŕudani wanapokuwa mbali na nyumbani kwao wakati wa jioni baada ya kazi za mchana,” Muchiŕe anaongeza.
Kutoka kwenye mtizamo wa kibiashaŕa, faida kutoka kwenye vituo hivi pia ni kubwa. Katwekeŕa Tosha kinatoa faida ya kila mwezi ya kati ya dola 350 na 650.
Fedha hizi zinafaidisha wakazi ambao wamejiandikisha na mashiŕika yaliyojikita katika jamii.
Kituo kinafunguliwa saa 11:30 asubuhi na kufungwa saa tano usiku. Muchiŕe angependa kuongeza masaa haya: “Muda unaofaa ungekuwa ni kufanya kazi kwa masaa 24, lakini kukosekana kwa usalama katika makazi duni ni suala halisi.”
Pengine hiyo ni changamoto inayofuata kwa jumuiya na Umande Tŕust. Vituo kama vya Katwekeŕa Tosha ni vikubwa, na ni hatua endelevu katika kufikia usalama wa nishati kwa wakazi wa makazi duni.