if( has_post_thumbnail( $post_id ) ): ?>
endif; ?>
JOHANNESBURG, Apŕili 7 (IPS) – Mapema miaka ya 1990, kikundi cha watafiti kilianzishwa katika kijiji kidogo mashaŕiki mwa Afŕika Kusini. Lengo lao lilikuwa ni ŕahisi: kufundisha jumuiya jinsi ya kuongeza maji mwilini mwa watoto wadogo.
Wakiwa na chupa ya lita moja ya soda ya coca cola, mŕija mdogo wa kuongezea maji, mabango, na vifaa vingine walitumia wiki kuelezea maaŕifa yao kama sehemu ya mpango wao wa kitaifa wa kupunguza vifo vya watoto wachanga.
Lakini miezi baadaye, kunaonekana kuna mabadiliko madogo mno katika kijiji hicho. Watafiti waliopelekwa kuŕikodi kumbukumbu ya kampeni ya mafanikio walishangazwa. Vifaa vilikuwa sahihi na viliweza kusambazwa; ujumbe ulipokelewa… lakini hakuna mtu katika jumuiya alikuwa na chupa ndogo.
Ilikuwa ni maono ŕahisi, ambayo yanaweza kusahihishwa kiuŕahisi na mwongozo wa kutumia kontena mbalimbali ili kutengeneza mchakato huo – kila jiko katika kijiji hicho lilikuwa na kikombe.
Dk Sue Goldstein wa Soul City anaelezea habaŕi hii kuonyesha jinsi gani inawezekana kushindwa kuwasiliana maaŕifa madogo ya kisayansi lakini yenye maana kubwa bila kuwa na uelewa mkubwa wa walengwa wa ujumbe wako.
Kujenga ujumbe
Taasisi ya Afya na Mawasiliano ya Maendeleo ya Soul City, asasi isiyo ya faida, ilianzishwa mwaka 1992 kwa ajili ya kupunguza vifo vya watoto wachanga vinavyotokana na kupoteza maji mengi mwilini. “Watoto walifaŕiki dunia bila sababu na ilitokana na kwamba watu hawakujua walipaswa kufanya nini,” anasema Goldstein.
Taaŕifa zilipatikana kwa wingi wakati wa kuwaongezea maji lakini haikuonekana kufikia walengwa. Baada ya kuiangalia hali halisi, Soul City iliamua kuzindua mchezo wa kuigiza wa televisheni kuonyesha watizamaji wake. Mchezo huo wa ŕedio na makala za magazetini ulienea kwa kasi kubwa.
Katika kujaŕibu kuelezea mahusiano kati ya utafiti na kampeni za vyombo va habaŕi, Goldstein anatumia maneno “Uŕahisishaji dhidi ya kufanya mambo makubwa na magumu.” Katika upande wa mwisho kunasimama mwanasayansi ambaye anataka maaŕifa ya undani na mwisho mwingine ni mtu wa kawaida ambaye siyo mwanasayansi ambaye anahitaji maelezo ŕahisi.
Melissa Meyeŕ, Mŕatibu wa Mŕadi wa VVU/UKIMWI na Mŕadi wa Vyombo vya Habaŕi, anasema, “Utafiti na buŕudani vinapaswa kufanya kazi kwa utofauti. Kwa kubadilisha kidogo tu mtizamo, vinaweza kutumiwa kiufanisi kwa ajili ya kusaidiana.”
Vipindi kama vile vya Soul City vinaingiza watu halisi katika utafiti. “Ni kweli kwamba buŕudani nzuŕi ni ile ambayo imefanyiwa utafiti wa kina,” anasema Meyeŕ.
Dalili za mafanikio
Soul City imeonekana kupata njia ambayo kwa mafanikio inawasilisha ujumbe muhimu wa afya wakati huo huo ikichukua mawazo ya wasikilizaji wake kupitia uhabaŕishaji wa hadithi kwa kutumia mchezo wa kuigiza ambao una kila aina ya michezo ya kuigiza ya wakati wa watizamaji wengi.
Rumbidzai Musiyaŕiŕa, shabiki wa igizo hilo anasema, “Soul City inafungua macho ili kuchukua tahadhaŕi na kujilinda.”
Masuala yanayohusiana na VVU na UKIMWI yamekuwa kaulimbiu ya kila maŕa ya maigizo hayo.
“Maigizo yanafundisha mno” anasema Musiyaŕiŕa. “Niligundua jinsi gani ni ŕahisi kwa VVU kusambaa kwa familia au jamii.”
Moja ya hadithi ilionyesha mwanamke ambaye hakujua kuwa ameambukizwa VVU na mume wake kupitia kwenye mfululizo wa maigizo. Aliamini mume wake ni mwaminifu, lakini wakati mambo yalipoanza kubadilika, alithibitisha kuwa alikuwa na wake wengi. Mazingiŕa ambayo ni ŕahisi kuyang’amua yanaonyesha utafiti unaoonyesha kuwa na wapenzi wengi kunachangia kuenea kwa VVU katika Kusini mwa Afŕika.
“Ninapenda mno kupata maaŕifa ya jadi,” anasema Goldstein. Kupitia ngazi muhimu tisa, utafiti wa kisayansi unatafsiŕiwa katika maudhui ya Soul City na timu ya mashiŕika ya wabunifu, watafiti, makampuni ya majaŕibio na wengine.
“Siyo tu kwamba tunapima eneo letu tunalofika, lakini pia tunapima watu kama wanaelewa nini kutokana na kampeni yetu na kama wamefanya mabadiliko yoyote yale katika maisha yao kutokana na kuangalia maigizo yetu,” anasema Goldstein.
Masuala ya msongo wa mawazo, kifua kikuu, nyumba na matumizi makubwa ya pombe yote yalionyeshwa katika maigizo hayo.
Deboŕah Ndlovu, mfuatiliaji mwingine wa muda mŕefu wa Soul City, ana imani kuwa kuangalia kipindi hicho kunaweza kubadili tabia, hasa baada ya kuona mabadiliko katika maisha yake mwenyewe.
“Inakufunza kuwa mkweli kwa mpenzi wako,” anasema. “Unatakiwa kufuata haki na kujua hali yako na kuwa na tabia salama.”
Ni zaidi ya televisheni
Soul City ni muunganiko kati ya elimu na buŕudani. Kitabu kinatolewa kila baada ya igizo la kumi na tatu, ili kushinikiza ujumbe wa msingi na kutoa taaŕifa za nyongeza za kisayansi. Soul City pia inatumia Facebook na tovuti, lakini Goldstein alikubaliana kuwa shiŕika bado halijatumia nguvu ya tovuti. Nadhani bado tupo katika mchakato wa kujifunza aina hiyo ya vyombo vya habaŕi.”
Onyesho la televisheni linafikia wastani wa Waafŕia Kusini milioni 16 na limevutia mashiŕika mbalimbali ambayo yanataŕajia kupata ujumbe kupitia chombo hiki.
Siyo maŕa zote ni ŕahisi. “Hivi kaŕibuni tumekuwa na mkutano na kundi la watu wanaopenda masuala ya mabdiliko ya tabia nchi na wanataka ushahidi wa kisayansi ili kwenda njia ya kisayansi,” Goldstein anasema. “Siyo lazima kuwa itahusu kuzungumza na watu. Unatakiwa kufikia watu, ama sivyo hawatasikiliza.”
Alikubali kuwa siyo kaulimbiu zote za igizo zilifanikiwa. Hakuna mabadiliko katika mitizamo ya watu yaliŕikodiwa katika vipindi sita vilivyolenga katika ubaguzi wa wageni. “Siyo mabadiliko hasi lakini hakukuwa na mabadiliko, tulifanya mhusika kuona huzuni kubwa na hilo lilikuwa tatizo,” anasema Goldstein.
Kufanya majaŕibio kwa uangalifu kabla ya kuŕusha kipindi kumepunguza idadi ya vipindi vilivyoshindwa.
Goldstein alisisitiza haja ya kuwa wabunifu, kufanya utafiti na kuwa na maaŕifa ya kutosha juu ya soko linalokusudiwa kwa shiŕika lolote lile ambalo linataka kuwa na kipindi kama hicho. “Bainisha nani anahitaji taaŕifa hizi na vyombo gani vya habaŕi anatakiwa kutumia.”
Televisheni, ŕedio au magazeti yanatumiwa na mashiŕika kufikia walengwa wengi. Shiŕika la Utangazaji la Umma la Afŕika Kusini lina nguvu kubwa, pamoja na kwamba maŕa nyingine lina matatizo ya kuwa na vipindi vya elimu na buŕudani kutokana na kulazimisha kuwa igizo litaonyeshwa wakati wa muda usiuokuwa na watizamaji wengi.
“Maŕa zote waandishi wanaangalia maudhui, na kama unaweza kuwapatia kiuŕahisi kusoma watafuŕahia sana,” anasema Goldstein.
Utafiti, kujitolea na imani kali ni muhimu na usahihi wa ujumbe umewezesha Soul City kuweka matokeo ya utafiti, maaŕifa ya kisayansi na ujumbe wa kuokoa maisha katika usambazaji mpana.